Ahsante kipenzi chetu Ww ni mbadala wa kipenzi chetu,mzee wetu,mzazi wetu,sheikh wetu,na Kiongozi almarhoom maalim SEIF Kiukweli tumekubaliana na maamuzi ya Allah but bado tunamkubuka na kumjali na kumtaja kwa wema aliyotuwachia Tunakuomba na ww pambana ktk kutafuta haki ya nchi ya Zanzibar mpaka tupate taiga letu lenye mamlaka kamili
Chamsingi zanzibar miaka iyi 5 zifungue barozi zao katika nchi zote duniani apo ndipo zanzibar itapatikana sasa na paspot zetu za zanzibar zirudishwee mwenyezi mungu atusimamie🙏🙏🙏
Tokea Othman Masoud kua 1st vice president anapopita kuzungumza na wananchi hazungumzi kichama wala kisiasa bali anazungumza ki nchi. Yani anawaeleza watu zanzibar ni nchi gani, ina haki gani, ilikua vipi. Hicho ndio nimekiona kwake.
Ndio amelenga hapo kwa kuanzia safari ni hoja muhim na msingi sana kuna watu wa vizazi vya 80s kwenda juu wao wanaamini znz imeanza bada ya mapinduzi sasa wanaposikia hivi vitu vinashituwa
Muhimu Muungano usiwepo. Vyama vimefunganishwa na Muungano kwa kufuli nzito, huwezi kusema unaikomboa Zanzibar ukiwa ndani ya Chama chochote cha siasa. Huko ni kutetea tu ulaji. Kama Karume kaunganisha nchi kwa mamlaka yake kama Rais na Amani Karume akapitisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa mamlaka yake kama Rais. Iwe je maamuzi ya Rais Amani Karume ilomfanya leo awe Makamo wa 1 iwe ni maamuzi HALALI lakini ya Marais wengine ni HARAMU. Tunahitaji Wanaharakati na sio WANASIASA.
@@hajihassan5433 sio uwongo Amani K alikua mtakaji wa GNU ndio maana ikafanikiwa lkn unajua baadhi ya wakati usiwe msahaulifu mwaka 2009 watu walipiga kura ya maoni lkn hayo ya 1964 yamefanyika hata kwa njia za ubabaishaji hazikufikiriwa. Zanzibar inakomboleka kupitia vyama itategemea na siasa za chama husika tu. Unasema hivyo kwa sababu hawa unaowaona ktk madaraka smz na chama chao wameshajipangia utawala wa milele Tanzania kwa ujumla sasa wana haja gani tena ya kupangua?? Ndio maana hawataki katiba mpya kwa mfano kwa sababu hawataki kujipunguzia ktk yale ambayo tayari wameyahodhi na lolote wanaloliona ni hatari kwao hata liwe na manufaa kwa wengi watalikataa. Akili za kuchanganywa ongeza na zako ndio utapata uyakini wa mambo.
Sijuwi Kama kuna wanaccm wanaweza kuisikiliza hotuba hii wazanazibari tunahitaji nchi yenye heshima kwa kila mtu haiwezekani tuwe na chaguzi yenye hujuma kwa upande mwengine!
WATANGANYIKA AWANA AKILI JSPOKUWA TUMEWAPIGA TOCHI NCHI YA ZANZIBARI IWEHURU BADO HATUNA UHURU NCHIYETU YA ZANZIBARI SASA KWANINI WARANGANYIKA VICHWA VYAO VIBOVU WA BAADHI YA CCM AU MCC SASA HAWA WANATWITA ETI MKOWA WAPUMBAVU MUUNGANO UMEKWISHA HSTUUTAKI
Ulikuwa unataka aendelee kulala ili wazidi kudhulumiwa ,waamshe waliolala wapate kuamka ,Zanzibar ilipo kimaendeleo haikustahiki kuwepo hapo ilipaswa iwe mbali mno tena sana .
Vunjeni haraka muungano ili tumuulize raisi wetu samia ni rais wanchi gani? Kama mnataka jambo kwa nguvu hivyo mtalipata lkn itakayoumia sio tanganyika.
Kwahiyo hata namba za simu kufanana nalo tatizo hamwoni huo ni wazimu mtakuwaje na jamhuri yenye code number mbili? Mnaelewa maana ya jamhuri ya muungano?
@@simkotec3091 sasa y nn kujua hilo jamhuri y muungno ukshndwa fnya utafiti kwnn upnde mmoja wanakataa hli n mwngne unang'ang'ania...sual lianze hpo..? Jiulizee
Tatizo lako una chuki za kinguruwe, lakini hiyo code 259 ni muhimu sana na ndio maana wazanzibar walipotishia kuirudisha watanganyika wakaufyata na kuruhuru zantel Zanzibar. Sisi wazanzibar tumemuelewa Mh Masoud
Wallah hutochoka kumsikiliza Mh.Othman namna anavyoyachambua mambo kwa falsafa. So Lectual&intelligent person.
Assa lamu alaikum bro samahani nina shida ya kuongea na ww sijui ntakupata kwa njia gani ila samahani
Nakuomba coz nina shida muhimu please 🙏🙏
Ahsante kipenzi chetu
Ww ni mbadala wa kipenzi chetu,mzee wetu,mzazi wetu,sheikh wetu,na Kiongozi almarhoom maalim SEIF
Kiukweli tumekubaliana na maamuzi ya Allah but bado tunamkubuka na kumjali na kumtaja kwa wema aliyotuwachia
Tunakuomba na ww pambana ktk kutafuta haki ya nchi ya Zanzibar mpaka tupate taiga letu lenye mamlaka kamili
Huwezi kuwa mzalendo kama si msema kweli, hongera mh: Othman kwa kusema kweli.
Freedom fight countinous. #FreeZanzibar
Chamsingi zanzibar miaka iyi 5 zifungue barozi zao katika nchi zote duniani apo ndipo zanzibar itapatikana sasa na paspot zetu za zanzibar zirudishwee mwenyezi mungu atusimamie🙏🙏🙏
Itafungua je Balozi wakati nje ya nchi Zanzibar SIO nchi. Hata hivi vyeo Makamo wa 1 na 2 havitambulikani Kikatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hajj kwan kiti cha umoja wa kimataifa linatumika jina gan ukipata jibu bx kupua ulale kake
@@hajihassan5433 mbona zipo balozi ndogo zinaiwakilisha Zanzibar
unajua ata gharama ya kuendesha balozi moja we mbumbumbu na wkt hali yenu yenyewe maskini watupu
Gharama za uendeshaji wa Balozi unazijua ?
After long running, Zanzibar will regain it's sovereignty inshallah.
Safi mkuuu Tunakuamini
ZANZIBAR kwanza kufa kupona
nimekuwelewa baba asnte kwa heshima yako
Tokea Othman Masoud kua 1st vice president anapopita kuzungumza na wananchi hazungumzi kichama wala kisiasa bali anazungumza ki nchi. Yani anawaeleza watu zanzibar ni nchi gani, ina haki gani, ilikua vipi. Hicho ndio nimekiona kwake.
Ndio amelenga hapo kwa kuanzia safari ni hoja muhim na msingi sana kuna watu wa vizazi vya 80s kwenda juu wao wanaamini znz imeanza bada ya mapinduzi sasa wanaposikia hivi vitu vinashituwa
Yaan kaanza kuvaa viatu vya maalim seif. Mungu amtie nguvu amiin🙏🙏
Muhimu Muungano usiwepo. Vyama vimefunganishwa na Muungano kwa kufuli nzito, huwezi kusema unaikomboa Zanzibar ukiwa ndani ya Chama chochote cha siasa. Huko ni kutetea tu ulaji.
Kama Karume kaunganisha nchi kwa mamlaka yake kama Rais na Amani Karume akapitisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa mamlaka yake kama Rais. Iwe je maamuzi ya Rais Amani Karume ilomfanya leo awe Makamo wa 1 iwe ni maamuzi HALALI lakini ya Marais wengine ni HARAMU. Tunahitaji Wanaharakati na sio WANASIASA.
Ndio lengo si chama lengo ni nchi
@@hajihassan5433 sio uwongo Amani K alikua mtakaji wa GNU ndio maana ikafanikiwa lkn unajua baadhi ya wakati usiwe msahaulifu mwaka 2009 watu walipiga kura ya maoni lkn hayo ya 1964 yamefanyika hata kwa njia za ubabaishaji hazikufikiriwa. Zanzibar inakomboleka kupitia vyama itategemea na siasa za chama husika tu. Unasema hivyo kwa sababu hawa unaowaona ktk madaraka smz na chama chao wameshajipangia utawala wa milele Tanzania kwa ujumla sasa wana haja gani tena ya kupangua?? Ndio maana hawataki katiba mpya kwa mfano kwa sababu hawataki kujipunguzia ktk yale ambayo tayari wameyahodhi na lolote wanaloliona ni hatari kwao hata liwe na manufaa kwa wengi watalikataa. Akili za kuchanganywa ongeza na zako ndio utapata uyakini wa mambo.
Daa ni kweli
NI KWELI WAPO WATU WAZURURAJI HAWAJUI WANALITAKA.
Mzee nimekusoma
Actually the shoes of the late Maalim SEIF have fitted you kiongozi. May Allah protect you.
Hahahaa,,,,,, whether he fits or not, Sultan will never come back!!!
Mzee sasa anaanza kazi.
Mkuu nimekuelewa ,tuko pamoja na wewe kufa kupona,viatu vinakufaa
Freedom is coming tomorrow
Afadhali tumepata msemaji,,lazima tuyafanyie KAZI
Inshaallah khery
Muongo uyo but Zanzibar (this code is assigned in E.163, but use Tanzania, 25554)
@@chepason7212 toa video yko useme ukwelii...vundo weee
Hakika umevivaa viatu vya maalim
Mashaallah... kiboko hii
Shukran sana
Kwa maneno hayo lazima ccm waseme nchi imeuzwa kwa wapinzani
hhhhhhhhhhhhh ww
Hapo hakuna Muungano
Mimi mwenyewe naona
Sijuwi Kama kuna wanaccm wanaweza kuisikiliza hotuba hii wazanazibari tunahitaji nchi yenye heshima kwa kila mtu haiwezekani tuwe na chaguzi yenye hujuma kwa upande mwengine!
Unajua lakini Konde washainyakua?
Watanganyika tunahitaji rahisi wetu na sisi 😁😁
Ina faida gani hii code?
Kuna bunju mmoja alisema wenzetu wajenga maghorofa wakati yeye ndie raisi huyo tuseme inallilah waina ilayhi rajiuna
safi sana kiongoz tupo nyuma yako mpaka mwisho wa maish yet
Ipo siku tutafanikiwa na Zanzibari itasimama hata km tukifa sisi
WATANGANYIKA AWANA AKILI JSPOKUWA TUMEWAPIGA TOCHI NCHI YA ZANZIBARI IWEHURU BADO HATUNA UHURU NCHIYETU YA ZANZIBARI SASA KWANINI WARANGANYIKA VICHWA VYAO VIBOVU WA BAADHI YA CCM AU MCC SASA HAWA WANATWITA ETI MKOWA WAPUMBAVU MUUNGANO UMEKWISHA HSTUUTAKI
TUNAITAKA COUNTRY CODE YETU YA ZANZIBAR.
Kila lakheri mzee
Waaleykum ssalaam
Bola zanzbali iwe na mamlake yakee mnaonewa sanaaa msikubarii
Mwisho atakuvua UTU WAKO HAKIKA BABA AAAA ....
Mfiuuuuuu
Mhh langu jicho
Ni haki yetu kupigiana nchi yetu
Vipi wazanzibar bona mwanzisha vurugu tushasahau watanzania ssi sote n ndugu
Vurugu gani ww kichogo😊
Ww nikichogo ww ni mjuku wa nyerere
Upinzani unahaki gani kikatiba kuleta mabadiliko hayo??
Nenda ukaulize baraza la wawakilish
Hujayapenda maendeleo Zanzibar ,unataka waendelee bar Zanzibar tukawaombe
Zanzibar people together
Hakiitapatikana
Ila huku kwenye MUUNGANO ROHO zinaumiza
Hongera mkuuu
Tumepata commander wa kweli. Mwenye, kuelewa Dollar ya zanzibar, tumuombee Allah , tuipate Dollar yetu, umoja wetu ndiyo Silahaa
Nchi yetu hatujakopeshwa! Baba sema! Tunakuamini Baba Tusomeshe!
@@saidmohd7240 vimemtosha kabisaaa
Duh. Kweli tumefunikwa tena kwa kifuu dume
@@salehomar3499 what do you mean?
Mapinduzi Daima nipe pesa zangu
Intanet haisahau. Matamshi yangu.
KUMBE MZEE ANAPIGA KIARABU
☂️☂️☂️
Tupo pamoja
Hamuna chenu la maana fitna tupu kwa kweli muogopeni mungu wenu
Duh!!!🤭🤭🤭😲
Haya matatzo hatakuja kuleta Hussein mwinyi wapemba c watu hawa km Baniisrael
Sio mtu ww so wapemba ustuchomoe tumetulia acha ujinga
Kwni kinakuuma nini hasa kama mpemba c mtu na we c MTU hujielewi maendeleo Zanzibar uumie
Lana ya mapinduz
Utakapobakia utasema
Hiyo nishani alipewa na Wazanzibari au Wageni waliokuja kuitawala Zanzibar? Fafanua
Alisema alipewa Zanzibar! Fahamu hvyo kama unataka kufahamu! Na huyo mwenyewe kasema kapewa Zanzibar!
Hakupewa Tanganyika!!!
@@saidmohd7240 let zanzibar have their country
weweu uko wapi amefananua
Hayo ndio tunayo yataka kwa zanzibar sio kila kitu kutegemea tanganyika
Allah atuwezeshe dua kwa wingi inshaallah
Hovyoooo
Ww uumwetu tunataka kujitowa katika makucha yawadhalim
Ulikuwa unataka aendelee kulala ili wazidi kudhulumiwa ,waamshe waliolala wapate kuamka ,Zanzibar ilipo kimaendeleo haikustahiki kuwepo hapo ilipaswa iwe mbali mno tena sana .
Yp
Vunjeni haraka muungano ili tumuulize raisi wetu samia ni rais wanchi gani? Kama mnataka jambo kwa nguvu hivyo mtalipata lkn itakayoumia sio tanganyika.
Watakao umia n watanganyika ndo wanaonga'ang'ania muungao et
@@ibnismail8831 Tumeanza kuona tunajibemba sana mwisho itatukost kama mnataka kuvunja vunjeni kilakitu sio vitu vyenye maslai kwenu tu.
Kwahiyo hata namba za simu kufanana nalo tatizo hamwoni huo ni wazimu mtakuwaje na jamhuri yenye code number mbili? Mnaelewa maana ya jamhuri ya muungano?
Kwnza jiulizee kwnn mpka kudai hv..?
Kwnn hpo mwnzo htukudai..?
Ttzo nyie watangnyika hmna nia njema n znznbr na kila uchwao nia inzd kubdlika zd y wznzbr kwhy acha uvunjike 2 tuone itkavo kuwa
@@simkotec3091 sasa y nn kujua hilo jamhuri y muungno ukshndwa fnya utafiti kwnn upnde mmoja wanakataa hli n mwngne unang'ang'ania...sual lianze hpo..? Jiulizee
Hamna kitu hapo!!
Badala ya kuongea ya maana unaongelea Code namba aisee mnatabu saana mola wasamehe
Wewe mnyamwezi au mmasai rudi kwenu.. zanzibar haikukhusu
@@salyali7807 poles sana kumbe hata nchi yako huijui uctumie akili za ndani ya box tu fikiria na nje ya box poles sana
Lazma useme ww nana acha uboya amka pumbavu ww
@@abdulkarimsalim6309 mpumbavu wee huko usojijua akhui fata yako maisha akhui mambo ya kipuuzi hayo