No one invented trap bongo bro.... Aliye mbele ya muda bongo alikuwa jose mtambo na noorah kasikile flow zao.... Albert was a great rapper and hit maker.
NGWEA NALIA KAKAAA NATAMANI UNGEKUA HAI SEMA TAMAAA MBAYA MY BROTHER ONE LOVE SIKU ZOTE NAKUAMBIA SIKU HIZI KUNA CON BOI GOSBY NA UNDER GROUND WENGI NITAKUAMBIA KAKA YUPO HOOOD WOLF WAPO THE FAMILY FROM TAASUBA TUNAKUJA KAKA ❤
Kifo hakina huruma. Eeh Mungu uwe unatutabira mwisho mwema mana dah!Dunia hii inatumeza. Tarahe ya 28 mwezi Mei 2013 tulimpoteza Ndugu yetu 《Albert MANGWEA》nakumbuka Msiba huu umenikuta nikiwa BOKO-MSKITINI-BUNJU:Aliitwa majina mengi,wengi tumemfahamu tofauti kupitia Mziki,kiukweli kaitangaza TANZANIA,Jamaaa alipendwa na kila LIKA,alikuwa ni mtu wa watu,pia mcheshi,Mtani sana,Kajuwa mambo mengi mbele ya mda.Wengi tumeyajuwa leo. Kuna VESI moja kaiimba na Chid BENZ kama vile alijuwa :"Ata nikifika leo pengo langu halina SPEA(=Not Expired).Kazi ya Mungu haina Makosa,tukikosea tunakufuru. Tupendane bado tukiwa hai ndg zangu.Tusipendane umauti unapotukuta.Sio vema. R.I.P COW-BOY,COW OBAMA.
Huyu jamaa alfanya mambo ambayo yalikuwa yanatakiwa kufanya mwaka 2070 lakin yeye kayafanya nyuma ya muda RIP bro mangwea
2023 naisikiliza tena na tena......R.I.P MANGWAIR
Jamaa alikuwa mbele ya Muda ...wanafanya trap Sahi ... mwanachemba alifanyaga zamani Sana ...we really miss you Albert.
No one invented trap bongo bro.... Aliye mbele ya muda bongo alikuwa jose mtambo na noorah kasikile flow zao.... Albert was a great rapper and hit maker.
@@sparlonso_lb_7662Abert alikuwa mbele kasklize Getto Langu, majibu baki nayo...kasklize ile flow ya Alma..rudi kwenye dk 1 ya 2005 huko
@@sparlonso_lb_7662 Ngwea alikuwa mbele ya mda... Ukiongeza uandishi wake na punch lines.
kwa his flow 2023 bado we ni rapper bora wa muda wote RIP ngwear😭😭
2022 anyone? hits different now that i'm grown! RIP Ngwair
Tupoooook hapa
Mkal wa free style endelea kupumzika mngoni mwenzngu ngwea😭😭
Still the freestyle killer in 2024, Rest easy Albert
2024mangwea bado pengo alizbiki Rip mchizi wa histizu🙌
Verse ya Squeezer 🔥🔥🔥🔥
Nouma man🔥🔥🔥🙌🏼
Kila siku tupo juu.... rest easy champion
2023 anyone here?.likes za mangwea tafadhali,the best rapper to ever conquer this game.
NGWEA NALIA KAKAAA NATAMANI UNGEKUA HAI SEMA TAMAAA MBAYA MY BROTHER ONE LOVE SIKU ZOTE NAKUAMBIA SIKU HIZI KUNA CON BOI GOSBY NA UNDER GROUND WENGI NITAKUAMBIA KAKA YUPO HOOOD WOLF WAPO THE FAMILY FROM TAASUBA TUNAKUJA KAKA ❤
Ngweir kwangu ni bora mda wote urale unono master
Hardcore rapper mweny mistar na radha MTU mzma mim aka brother weny chuk wamepga mbiz maj ya ugoko wachaw walisha deal kaz kwenu wanoko Haaalah.
GOT Ngwear r.I.p
Rafikii wa kweli money, and that's true au sio majani tupo juu.
Imagine kupiga mbizi maji ya ugoko😂😂😂
Albert why lakin dah huyu jamaa tuliomfaidi niwachache sana jamani dah
Uganda 🇺🇬🇺🇬 It's 2021 I remember this song used to be ma favorite among top 10 East African TV.....Ngwair made swahili rap sound so easy
Hata marekan wanasikiliza Hii nyimbo Hii ndo hip-hop
Pumzika kwa amani ya milele, mkali was BongoFleva. Tutakukumbuka kwa milele, ndugu. 🙏
Aise mwamba 😢
Aah squeezer noma sana " mpuuziii mpumbavu toka juzi"
Kifo hakina huruma.
Eeh Mungu uwe unatutabira mwisho mwema mana dah!Dunia hii inatumeza.
Tarahe ya 28 mwezi Mei 2013 tulimpoteza Ndugu yetu 《Albert MANGWEA》nakumbuka Msiba huu umenikuta nikiwa BOKO-MSKITINI-BUNJU:Aliitwa majina mengi,wengi tumemfahamu tofauti kupitia Mziki,kiukweli kaitangaza TANZANIA,Jamaaa alipendwa na kila LIKA,alikuwa ni mtu wa watu,pia mcheshi,Mtani sana,Kajuwa mambo mengi mbele ya mda.Wengi tumeyajuwa leo.
Kuna VESI moja kaiimba na Chid BENZ kama vile alijuwa :"Ata nikifika leo pengo langu halina SPEA(=Not Expired).Kazi ya Mungu haina Makosa,tukikosea tunakufuru.
Tupendane bado tukiwa hai ndg zangu.Tusipendane umauti unapotukuta.Sio vema.
R.I.P COW-BOY,COW OBAMA.
Amen
Pole sana broo inaonekan kifo chak kilikugusa sana
Here in 2024
2024 Cowboy still living
Rafiki wa kweli ni?
Huyu alikuwa 2pac wa bongo mangwea
Tumeshafunga ndoa na mtaa Shenga ni Hip hop
R.ip mkali hizi ngoma bado kali
R.I.P🙏🙏Mangwair tulipoteza mwana hip hop wamana daaah😭😭😭😭👏👏
Daaah fundi...🙌🏿 na haya mabiti yalikuwa hatare
pancho latino hyo
kapiga dar ya chid benz
high by godzilla
Mung akupunguzie adhabu ya kaburi kaka
2024 same vibe🎉
2024 ngwair to the world
The full time banger...keep resting in peace Albert
It's 2022 Wakuu.. Still listening to this Masterpiece ✊🏼🚀
One love broo
Kaz kwenu wanoko 2024
RIP Ngwea ulikua mtu mbaya sana
Nyimbo ya 2030
Mbona kama jux na mond walipita kwenye mistari ya ngwair😅😅😅.
Hakuta tokea fundi zaidi ya Gwear Tz hii Tena aisee
2023 still listening hit🎧
Rip mwamba 2024
Nackiliza 2024
1.1.2023 R.I.P MANGWEA
Sisi sio saizi Yao
😂😂😂😂
Kizazi bro
Si sio Saizi yao. Ngwair
Ngwair 🔥🔥🔥🔥 r.i.p Master of freestyle
Fid q said recently that 90% of his songs were freestyles
Hii nyimbo bado Kali sana
It's real hip-hop R.I.P Gwiji Ngwear
Pp
Pp
Ll
Best Song🔥🔥🔥🔥
Duh mwamb Alikua noma sana
Kizuli akidumu daima mungu anabakisha usicho kipenda tumebakiwa nasitoli alikuwa fundi ndobasi tena
Ujazo mwamba
This is amazing bit
Kuna pengo la hustla music since Ngwea atangulie..
Miss u man!
pamoja sana
Yaani back na shine, you better go for yours and I go for mine.
squeezer aliua sana
R.I.P Ngwair
Albert alikua noma ila squzer huku alifanya sana
Rip gwea 😭
R.I.P.Mangwea.....
2024😭😭😭
Daaaah ngwea alikua hatari
Kama vile ngo leo RIP ngwea
💥🌈🙏
Legendary
gweaaaaaa
2021..bado org
2020 nani anaskiza bado
Dah...
Kumamake...
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🔥😢
Rip Gwear..😢
nov 2025 still hot
❤❤
2024
R.I.P(Mwana Chemba)
Poooo
#2024
Wacha waseme sisi si lever zao
♥️🇰🇪
Nostalgia
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
R.I.P Ngwear
Rlp
G H M
June 2022
P2024
R.I.P Ngwair
This is amazing bit
❤❤❤❤❤
2024
R.i.p ngwear