MSIFUNI YESU MWOKOZI - JAMES ELLOR | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Wimbo: Msifuni Yesu Mwokozi
    Mtunzi: James Ellor
    Oganists: George Bingi
    Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza
    Maneno ya wimbo
    MSIFUNI YESU MWOKOZI
    Msifuni Yesu Mwokozi, enyi malaika, enyi malaika mwekeni
    Mfalme wa wote
    Kamvike, kamvike, mvike, kamvike kilemba
    2. Enyi Waisraeli mliokombolewa, mliokombolewa mwekeni Mfalme wa wote
    3. Watu wa mataifa katika dunia, katika dunia mwekeni Mfalme wa wote

КОМЕНТАРІ • 24