URUSI KUILIPUA IKULU NA BUNGE UKRAINE KWA KOMBORA LA ORESHNIK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 2 дні тому +4

    WAOOO THAT'S WONDERFUL 😂😂😂

  • @kbiaboss1231
    @kbiaboss1231 День тому

    ❤ asante kaka

  • @silaokal2074
    @silaokal2074 2 дні тому +3

    Oreshnik Kiboko ya ulaya na marekani!

  • @AziziRashid-x8f
    @AziziRashid-x8f День тому +1

    Hakika..imekuw n mbaya

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 День тому

    Safi sana 🇹🇿

  • @godfreymaunga4947
    @godfreymaunga4947 26 хвилин тому

    Lipua

  • @JothamGabagambi
    @JothamGabagambi 2 дні тому +1

    Wa magharibi wamechanganyikiwa Putin anabadili makombora yanayo onekana mapya kwao Kila uchao:mpaka wanakaa vikao

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 2 дні тому +1

    Huu mkwala wanaotoa urussi utafanyika kweli wakiendelea na mashambulizi ndani ya urussi Ukraine wawe makini wajichimbie mapema Ukraine itapukutishwa yote haitabaki hata magofu🤣🤣🤣🔥🔥

  • @Benevolence2022
    @Benevolence2022 2 дні тому +1

    Adam Hussein

  • @salumomar5234
    @salumomar5234 День тому

    Baba Putin msamehe huyo ni mwanawoo tuuuu😅😅😅

    • @KamardinTebe
      @KamardinTebe 19 годин тому

      Shida yake zelesk kiburi sana

  • @emmanuelsegeche7197
    @emmanuelsegeche7197 День тому

    Hatari😅😅😅

  • @Shabaniomari-f9l
    @Shabaniomari-f9l 2 дні тому

    Hili Bomu ni hattareee vibaya mnooooo linauwezo wa kugeuza ardhi

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p День тому

    Magharibi Walisema urusi ana silaha za kizamani tangu enzi ya Soviet,hebu watuonyeshe zao za kisasa

  • @ClementLeonard-h9m
    @ClementLeonard-h9m 2 дні тому

    Oresiki moja tu kimya

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 дні тому

    Urusi anatakiwa kusambaratisha ukrein yote ili kuokoa muda ona sasa wahuni wamemuongezea majukumu tena kule siriya

  • @NassoroDigalu
    @NassoroDigalu 2 дні тому

    Mimi nilifikili sisi tu watu weusi NDIO atunaga akili kumbe hata wazingu wapi wasiokua na akili kama zelenski

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 2 дні тому

    Ss unapigiiiiiika ndo ukubali😂😂

  • @AmeHussein
    @AmeHussein 2 дні тому

    msamehenii duhhh anatia hurumaaa

    • @نجمهجمعه-غ8ق
      @نجمهجمعه-غ8ق 2 дні тому +1

      Hata Mungu haezi kukusamehe mpaka ukubali na uombe msamaha ndio akusamehe

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 дні тому +2

    SHIKAMOO ORESHNIK !!

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 2 дні тому

    Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kulazimisha kujiunga na nato!? Ona sasa wanayopitia

  • @saifalyazeedy8351
    @saifalyazeedy8351 2 дні тому

    Hurrrraaaaaaaaaa

  • @Benevolence2022
    @Benevolence2022 2 дні тому

    Naomba namba yako. Tutaongea

    • @theworldnews-r6w
      @theworldnews-r6w  2 дні тому

      chat.whatsapp.com/DcYpF2X83XB5P7sZB9xyG0
      JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP UTAPATA NUMBER YANGU

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 дні тому

    Hahahaha mnajidanganya na ujinga wenu 😂😂😂

  • @BreezyMnyama
    @BreezyMnyama 2 дні тому

    Propaganda izo 🤣 🤣

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 2 дні тому

    Malengo makuu ya Urusi yalipaswa kuwa Ikulu, Bunge na Zelensky mwenyewe toka kitambo, wafanye hivyo hima kabla ya mambo hayajabadilika.
    Zelensky anatakiwa aumie kutokana na uzembe na ujinga wake.

    • @karimhamisi4627
      @karimhamisi4627 20 годин тому

      Pale ikulu ilitakiwa putin aingie anywe chai ndio maana muda wote iliachwa hailutupiwa hata jiwe licha ya ukraine kushambulia ukumbi wa mikutano wa klemlin