Shekh wetu, Kauli nyingi za viongozi wa nchi ziwe za kiislamu au zakiarabu, au za wapenda amani hao wengi wao ni wanafiki au waoga, au wanaogopea madaraka yao. Muhimu sana sisi waislamu tusio nguvu au ushawishi wowote wa kidiplomasia tuelekee kwa Allah kwa kuzidisha dua'a kumuomba Allah alete nusra na ushindi kwa wapalestina na wote wanao pigana pamoja nao.
Tuna taka ghaza liingie jeshi laki isilamu lipigane vita kwa imani kabisa kwajili ya Allah hapo tuta shinda lakini liki ingia kwajiri ya ukabila rangi hatuto shinda kabisa liingie jeshi lipigane kwa imani kwajiri ya Allah hao mazayuni tuta wangamiza tu kwa uwezo wa Allah mijitu ina roho mbaya kama nn dar
unafki wa viongozi wa kiarabu una poteza nguvu na imani kwetu sisi wa fuasi, wa Falestin, Lakini Sasa kwa kuwa Mungu yupo pamoja na wa nyonge, Hamas bado wapo Tena wapo kabisa na Wana pambania nchi yao, insha Allah, Ushindi utatokea.
Hao waturuki hamna kitu,tangu awali hawakujua umuhimu wa kuunda jeshi moja la kiislam kama ilivyo NATO?Kwa nini uturuki walijiunga na NATO badala ya kuanzisha jeshi la pamoja la nchi za kiislam?Na amekuwa aking'ang'ana kujiunga na Umoja wa nchi za Ulaya.Mpaka sasa viongozi wa nchi za kiislam na hasa Erdogan amekuwa anabweka tu.Kwani anashindwa nini kuanza yeye kupeleka jeshi liungane na HAMAS.Wanamasilaha mengi na majeshi makubwa wanasubiria kupigana na nani?Hawa viongozi wengi wa kiislam na kiarabu ni vibaraka wa Marekani na Ulaya.Kikubwa Tuzidishe Dua tu.
Mnadhani mko sahihi kushsbikia maadui wanaotaka kuishambulia Israel! Kasomeni vizuri kwenye maandiko ya Unabii wa siku za mwisho kuhusu Mataifa yote yatakayojikusanya ili kuishambulia Israel nini Mungu atakachowatendea! Zakaria 12:1-10 na Zakaria 14:1-9. Mnapingana na Mungu mwenyewe. Ktk Hali tu ya kawaida,hamfikiri kuwa mpo kwenye mtego? Kweli Mataifa yote ya kiislamu mnajikusanya kwa umona wenu kwaajili tu ya kataifa kadogo hivyo? Hamjiulizi swali kuna nini pale? Jikusanyeni nyote ili mpigwe vizuri.
NCHI YA KIUME NI IRAN TU, NA HUU NI UTABIRI WA MTUKUFU MTUME (SAWW). IRAN NDIYO NCHI PEKEE INAYOWAUNGA MKONO WAPALESTINA NA VIKUNDI VINAVYOPAMBANA NA MAHARAMIA WA KIISRAELI
Huyu mjerumani Alsisi wote ni wale wale, hiyo hiyo Ujerumani inaisaidia israel kwa njia mbali mbali. Ma huyo rais wa Misri kama angekuwa mkweli mwenye chembe ya imani ya ubinadamu mpaka wa Rafaa ungedhibitiwa na nchi yake ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia ghaza. Lakini kila mara utasikia kikao cha kutafuta usimamishaji vita, yote ni unafiki
Rais wa uturuki ni mnafiki hana lolote wake yeye mdomo tu marekani na washirika wake wanaungana kuwauwa wapalestina marekani na washirika wake ni wauwaji wakubwa Mwenyezi Mungu inshallah awsadhibu marekani na washirika wake. Marekani anajifanya yeye ni muungu anachoamua yeye ndio hicho hicho Mungu amuangamize marekani na washirika wake inshallah
Mungu muangamize rais wa marekani na Netanyahu amiin
Shekh wetu, Kauli nyingi za viongozi wa nchi ziwe za kiislamu au zakiarabu, au za wapenda amani hao wengi wao ni wanafiki au waoga, au wanaogopea madaraka yao. Muhimu sana sisi waislamu tusio nguvu au ushawishi wowote wa kidiplomasia tuelekee kwa Allah kwa kuzidisha dua'a kumuomba Allah alete nusra na ushindi kwa wapalestina na wote wanao pigana pamoja nao.
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
Hasbiyallahu waneemal wakil🖐
Inshaa Allah Waislamu Allah atutangulie
Allahu-akbar
Mashekh habari bila vitendo ni unafiki kuweni mashujaa na siokuwawaoga mnapenda kuishi kuliko kufa imani hamna mnaelimu
Waislamu hawqna action manenomatupu.
Tuna taka ghaza liingie jeshi laki isilamu lipigane vita kwa imani kabisa kwajili ya Allah hapo tuta shinda lakini liki ingia kwajiri ya ukabila rangi hatuto shinda kabisa liingie jeshi lipigane kwa imani kwajiri ya Allah hao mazayuni tuta wangamiza tu kwa uwezo wa Allah mijitu ina roho mbaya kama nn dar
Kweli kabisaaa.Allahu Akbar!
unafki wa viongozi wa kiarabu una poteza nguvu na imani kwetu sisi wa fuasi, wa Falestin, Lakini Sasa kwa kuwa Mungu yupo pamoja na wa nyonge, Hamas bado wapo Tena wapo kabisa na Wana pambania nchi yao, insha Allah, Ushindi utatokea.
Tena wewe Mungu ana hasira na wewe uliwahi kumtukana Mungu
Alimtukana kivipi?Nyoosha maelezo basi.Funguka basi.
Hamtaweza kw taifa la mungumu
Kwahiyo mataifa mengine ya nani?
Damu za waumini zinamwagwa kisha mnasema haziwahusu sasa habar za nn sihaziwahusu ,Ache hatakutupa habar mnatusumbua na habar bila ,
Tuombe sana
Mashekhe na taasisi za kiislam ikohaja ya kutangaza maandamano ktk kila nchi ilikupingamauaji ya Wazayuni yanayo endelea Palastain
😂😂😂😂😂😂
Mie nataka za mwez wa 10/2024 jaman sina raha vooo
Kipindi Gaza iko chini ya Misri na West Bank iko chini ya Jordan mbona hamkudai uhuru wenu!?
Edrogan ni sawa na mbwa anaebweka nyuma Simba wala israel hamuiwezi
Shida Apo ninnch za kialab kuwa wanafik wangekuwa wakwel naiin lsrail asinge tamba kwa aina hiy ila erdugan anacho sema nikwer
Hao waturuki hamna kitu,tangu awali hawakujua umuhimu wa kuunda jeshi moja la kiislam kama ilivyo NATO?Kwa nini uturuki walijiunga na NATO badala ya kuanzisha jeshi la pamoja la nchi za kiislam?Na amekuwa aking'ang'ana kujiunga na Umoja wa nchi za Ulaya.Mpaka sasa viongozi wa nchi za kiislam na hasa Erdogan amekuwa anabweka tu.Kwani anashindwa nini kuanza yeye kupeleka jeshi liungane na HAMAS.Wanamasilaha mengi na majeshi makubwa wanasubiria kupigana na nani?Hawa viongozi wengi wa kiislam na kiarabu ni vibaraka wa Marekani na Ulaya.Kikubwa Tuzidishe Dua tu.
Kwaani Shia ni waislam
Kumbukeni Israel hayuko peke yake
huyu sheikh habar zke zinakua za kuwajaza watu fulan iv mihemuko tu lkn kumbe ni kinyume na uhalisia wa mambo na matokeo yke
Mnadhani mko sahihi kushsbikia maadui wanaotaka kuishambulia Israel! Kasomeni vizuri kwenye maandiko ya Unabii wa siku za mwisho kuhusu Mataifa yote yatakayojikusanya ili kuishambulia Israel nini Mungu atakachowatendea! Zakaria 12:1-10 na Zakaria 14:1-9. Mnapingana na Mungu mwenyewe. Ktk Hali tu ya kawaida,hamfikiri kuwa mpo kwenye mtego? Kweli Mataifa yote ya kiislamu mnajikusanya kwa umona wenu kwaajili tu ya kataifa kadogo hivyo? Hamjiulizi swali kuna nini pale? Jikusanyeni nyote ili mpigwe vizuri.
NCHI YA KIUME NI IRAN TU, NA HUU NI UTABIRI WA MTUKUFU MTUME (SAWW). IRAN NDIYO NCHI PEKEE INAYOWAUNGA MKONO WAPALESTINA NA VIKUNDI VINAVYOPAMBANA NA MAHARAMIA WA KIISRAELI
Huyu mjerumani Alsisi wote ni wale wale, hiyo hiyo Ujerumani inaisaidia israel kwa njia mbali mbali. Ma huyo rais wa Misri kama angekuwa mkweli mwenye chembe ya imani ya ubinadamu mpaka wa Rafaa ungedhibitiwa na nchi yake ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia ghaza. Lakini kila mara utasikia kikao cha kutafuta usimamishaji vita, yote ni unafiki
Iran anaingili yasiyo mhusu, tangu lini Shia wamekuwa waislam,kaeni pembeni
Nawe tangulini waisrael wakawa wakristo?
Rais wa uturuki ni mnafiki hana lolote wake yeye mdomo tu marekani na washirika wake wanaungana kuwauwa wapalestina marekani na washirika wake ni wauwaji wakubwa Mwenyezi Mungu inshallah awsadhibu marekani na washirika wake. Marekani anajifanya yeye ni muungu anachoamua yeye ndio hicho hicho Mungu amuangamize marekani na washirika wake inshallah
😂😂😂
ERDOGAN NI MNAFIKI. HANA LOLOTE HUYU MZEE
Hilo jeshi la waislam lipo wap?
😂😂😂
@@raymrashyou tube
Biden, wewe nzee una siku zako, Uta juta wewe