Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukusanya malaki ya watu kama siyo Mwamposa. Rayvanny alijua hili ndo maana kaimba na mwamposa kabisa ili apate nafasi ya performance hii leo
Kinawakati mwingine watu wataaza kufamapema kwaajili ya chuki nawivu Acheni wivu wakijinga huyojama katoa choo zuri sana kilawakati nipo naweka bando kwaajili ya kitazama shoo alio ifanya diamongi hakika shoo ilikuwazuri kinomanoma
Rayvan mziki umekukataa kwa muda mrefu Sana...awezi shindana na iyo hali...mwishowe utafikilia umelogwa kumbe Wala.. it's just a games magic...hata lava lava huwa anaimba nyimbo nzuri ila ndio Hivyo hana nyota pia game limemkataa....kwaiyo kwasasa Bora utafute shuguri za kufanya au wekeza kwenye mipangi mingine...usi force kwenye music...mziki umekukataa kabisaaa miaka mi 3 sasahv nyimbo zote unazitoa mbaya...azina Raza ata kidogo especially wewe ndo huna flavor kabisaaaa Bora unao washirikisha kidogo...wanaleta Raza🤞💯
Wanaoamina RAYVANNY ni Muimbaji wa kwaya tujuane apa❤
Uuuuuwi congratulation Tz 🎉🎉🎉this so much love.. more love from kenya🎉🎉🎉🎉 wakenya wenzangu kujeni tuongeze likes hapa na comments, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am watching straight from Haiti 😢🎉🎉❤❤and you gave me more heart to keep on fighting 🎉💯🇰🇪✅
Acha niseme initoke gonga likes ya 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hivi ilikuwa Bure ao jamani big up my favorite artist in world❤
Mungu akubaliki
Talk about the crowd!🥳.This is what is called God's speed❣️🙏
Wote motoni hapo
Mmmhh mwampo angekuwa mwanamziki wa dini 🙌🏽🙌🏽
Wapi likes za first viewer🎉
Rayvanny to the world.
Wapi likes za kenyan 🇰🇪 fan
Wakwanza Leo naomba like zenu
❤VP KK
Leo ume,surprise watu kaka, nilishangaa kukuona umefika, safi sana👏👏👏
Kumbe upo Dsm hapa kaka?.......
@danrappergangamaa1190 🤣🤣 Naam nipo DSM kaka
Kam unamkubali rayvanyn gonga like hapa
Kama unampenda rayvanny ni liké zenu
🎉❤😊my niggah from TZ. You're a real Gee💪🥳🔥
you are numéro 1 Ray big up sana
Ndio mjue Kua mungu ana nguvu zaidi duniani ukimuamini ndo huu umati unawezekana
Kabisa you are right...
💗 BIG UP 💗 LEGEND🌍
Love from Kenya. Tugonge likes
This is so beautiful 🔥🔥💜
More winnings chui🏆🐆
Rayvan alijiandaa na hiyo Event maana siyo poa!
Rayvanny NI msanii mkubwa walai ❤❤
Wew rayvanny again
WE ni chuyi lazma uraruwe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
HAPA KUNA MWAKYUSA, MWAMPOSA, ALAFU KUNA MIMI MWANJOKA GONGA KWA WANYAKYUSA WOTE
Wa kwanza nipeni likes zangu 😅
Mungu anawaokowa watu wake amin tu
Bigup bro
Hiii😮😮😮😮 hii ni zaidi yah kujaza ❤❤❤❤
Wow #Chui chui ❤❤❤❤
🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩goma drc😮
❤❤❤
Willy pombe ataweza kweli
@rayvanny 🔥🔥🔥👑
Kwa kuimba live...amna kma ray
CHUIIIII 🐅
Dah!!! Nilikuepo mungu mkubw❤❤
Congo nakupata sana
Acha kabisa mwamposa ni next lecel .
Fire 🔥
I really love this guy ❣️❣️
Ray Ana adabu sana aisee❤
Alafu kuna kenge umemsaidia amekushirikisha kwenye nyimbo yake alafu anaiita takataka daaaaah binadam awana jema
🇰🇪🇰🇪❤💜
#rayvanny 🔥🔥🔥🔥
Mwenyezi Mungu akubariki sana unaye soma coment hiiii 🙏🙏
Mungu nifanye mwema kwakoili nifanikiwe
Unatisha sana kaka
🔥🔥🔥
Respect Tanzania ❤❤❤❤❤❤❤
Nduguangu pambana sana wote hao 500K ni wafuasi wa mwamposa sio mashabiki zako 😂mbona unarudi kinyume nyume?
😂😂😂😂😂 anajifanya shabiki zake 🤗😂😂😂
Chui ⭐️
Inawezekenaje 500k? Like zangu jamani from 🇲🇿🇲🇿
Ni ibada ya Yesu
@@FrancisNgowi-k1h Apo sawa ❤️
Rayvann anajua kuchukua pointing muhimu
Gonga like kama na wew unamkubali rayvanny
sijaona liki zangu
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤚🤚✌️
I love it from Kenya 🇰🇪 😍 😄 🤣 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Chui Nation ✅️🙌🔥🔥
Wewe❤❤
Kudadeki ila wakiristo kweli pepo ni siri hiii ni hatari sasa yaani Mungu nawasaniii wa bongo flavour wapi na wapi
Kwa bahati mbaya HAKUNA MUNGU
Unachuwa majukumu ya mungu kuhukumu
Haaa waseme Tena tunasonga nayo umenifrahisha sana
Much much love
Hii nayo ni kama show mkuu 🙄🤔
Sema big up sana chui 🙌🔥🙌
Kwani population ya Tz inakuanga ngapi ? Asking on behalf of Kenyans 😢😂😂❤
Hahaha.
Wakenya mnatafuta nini kwa post za wa Tanzania ?umealikwa?
@@Vinny-j8e uuuuuuweh ... acha ndugu zetu buana.
60m
60M
nakubari
Nice
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Watanzania tunaomba mtupatie rayvan yuwapee will paul
Mbona walisema huwezi kuimba live😂
majungu tu
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kukusanya malaki ya watu kama siyo Mwamposa. Rayvanny alijua hili ndo maana kaimba na mwamposa kabisa ili apate nafasi ya performance hii leo
Yes amefanya vzr sana kutangaza music wake ,keep up Rayvany u are doing good
Mmmmhh😮😮😢😢 hawo ni watu
Rayvany shenzi kabisaaaaaaa🏮🙌
Sema izi kiki zitawaua
😂
Mbwa nyinyi najua mko huku 😅😅
kumbavu zetu...
King ni king tu
Hii dini inanichanganya
Mhhhhhh SI Kwa mwamposa ukooo😂😂😂
THE AFRICAN TIGER🫡🫡🫡🙏🙏🙏
Kwahyo rayvanny amejaza uwanja
😂😂😂😂😂
Nice one 👍
🎉🎉🎉🎉
🇰🇪❤Lit🎉
Chuiiiiiii ❤
Willy Paul njoo uone show
Ndo uache ushamba wa kisenge
Rayvanny kafumua pak nywele
Kinawakati mwingine watu wataaza kufamapema kwaajili ya chuki nawivu Acheni wivu wakijinga huyojama katoa choo zuri sana kilawakati nipo naweka bando kwaajili ya kitazama shoo alio ifanya diamongi hakika shoo ilikuwazuri kinomanoma
🎉🎉🎉🔥🔥
WILLY PAUL YUKO WAPI ....CHUI TWENDE ZETU 😂😂😂😂😂😂😂😂
Rayvan mziki umekukataa kwa muda mrefu Sana...awezi shindana na iyo hali...mwishowe utafikilia umelogwa kumbe Wala.. it's just a games magic...hata lava lava huwa anaimba nyimbo nzuri ila ndio Hivyo hana nyota pia game limemkataa....kwaiyo kwasasa Bora utafute shuguri za kufanya au wekeza kwenye mipangi mingine...usi force kwenye music...mziki umekukataa kabisaaa miaka mi 3 sasahv nyimbo zote unazitoa mbaya...azina Raza ata kidogo especially wewe ndo huna flavor kabisaaaa Bora unao washirikisha kidogo...wanaleta Raza🤞💯
Kazaaaa mzeee😊
We noma sana kk
Hakika hii imeendraaaa 🎉🎉❤😂
Michel Jackson 🎉
Nikajua show yako kumbe Ni mwamposa
Damn 🤔
Like za mpiga kinanda jaman😂
Ray kila konayupa kbs
Chuiiiii🦁🦁🦁🎉🎉
254
🎉🎉🎉🎉
Naomba like zenu ❤❤❤🎉
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️