SLINDE ASIMAMA NA WAZEE TASSAF KATETE HALMASHAURI YA MJI TUNDUMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Wananchi wa kata ya katete katika halimashauri mji Tunduma hasa wazee wametoa kero zao kwa mbunge wa jimbo la Tunduma mh.David silinde juu ya kutopata pesa za TASSAF...
    Wanachi hao wameeleza kuwa imekuwa ni kero pindi wanapokwenda katika maeneo ya kupata pesa hizo huku baadhi yao majina yakikosekana katika daftari la usajili...

КОМЕНТАРІ • 2