Muuza magari afunguka ukweli kuhusu gari namba E, Bora gari Milioni 10 hupati kiwanja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 15

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 Рік тому +2

    Daaaa aiseee napenda magari jmn daaa

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 Рік тому +2

    Kuagiza ni bora zaidi kuliko kununua apa, coz hapa unaweza uziwa gari imefanyiwa modifer....

  • @naswiruzubair7436
    @naswiruzubair7436 Рік тому +1

    Huyu jamaa Ana discourage watu wasiagize magari njee, yeye anatoa wapi magari?

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Рік тому

    Mimi. Naomba namba ya sm ya uyo muuzaji wa magali nikiludi tz. Nitamtafita

  • @latinusjohny6906
    @latinusjohny6906 Рік тому +2

    Tafuta chuma Kali, alaf invest kwenye business, then enjoy maisha.
    🍻

  • @emamhusseinmohsinsaleh7944
    @emamhusseinmohsinsaleh7944 Рік тому

    Hajui Kitu Namba A B Na C Zilikua Pmj Na Pikipiki😂

  • @lilianhigilo2527
    @lilianhigilo2527 Рік тому

    Naomba namba yako Kessy

  • @kabakaba4203
    @kabakaba4203 Рік тому

    Bonsoir muze ist ningapi

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Рік тому +1

    Number d ilichelewa kutokana na number zilichanganywa na pikipiki ndio maana number zilikuwa zinakwenda kwa Kasi ilai Sasa pikipiki ni mc Kisha number

  • @saidseif1860
    @saidseif1860 2 роки тому

    Huo uogo milion kumi kiwanja wapata yategemea maeneo gan wataka vipo viwanjavya miradi kibao na hela ya msingi yabaki

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Рік тому

    We ujui bwana number d

  • @amrysaid3437
    @amrysaid3437 Рік тому

    Sw

  • @castoryngonyanitv2185
    @castoryngonyanitv2185 Рік тому

    Naomba namba yako Kessy