Sijui ka Kuna mahali unaezaongezea apo South Rift hakuna kura yake ata ya mwenye ako na wazimu amemkataa🚮🚮🚮🚮🚮🚮 congratulations for a nice n true song❤❤❤❤
Natafuta comment za wakale and so far I am very happy. This particular one has made me a happy soul tonight. All tribes must uinite against this monster, Ruto. I am a Kamba.
Marakwet daughter is an iron lady, may God bless you for adressing Ruto in the languege he is understanding, sasa unless he is a deaf ujube umemfikia that kenyan are not happy
Nice one watu wa mlima wapi likes zenu
Twende nalo sasa 🤣🤣
Twende nalo 😂
Tuko ndaaani 🎉
😂😂😂
Ameshikwa mtoto wa wtu😢 juu ya hii song
Hapo kwa helb si ya babako 😂😂😂tunalala njaa comrades bana😂🎉❣️hii song iende
Hio n pesa ya mwananchi usizae watoto uleee na hio akili buda
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
In love with the song but nahofia Maisha yako
@@hannahseur1552kitu ikimfanyikia tuta fanya maandamano
Nangoja kuona genz ni wangapi uku they are so happy on TikTok wacha tuone kama wanafika one million . Wakuje uku Sasa piga like tukisonga 😂😂😂😂😂😂😂
Hii lazima tufike 1 million
I'm here on behalf of my fellow kipsigis subtribe... kama unakubali tutatoa huyo mnandi 2027 weka like❤❤
Huruma ulizika Sugoi utu ukazika Kapsagir I love this🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Inject kabisa
😂😂😂 huyu jamaa ni umbwa sana
Kap jagir
😂😂😂😂
😂😂😂😂
@cherotichsharon8859Cool down mummy
Tulikuwa tumekutoka lakini tumerudi 😅😅😅😅😅😅
Umesema hii ni mwaka ya kusema ukweli 😅
😂😂😂😂
😂😂banaaa
😂😂😂😂
😅
Hii itafikisha one millions wapi like watu wanguu
NHIF ilikuwa sawa kabla ulete kiherehere. .magonjwa tunatuma.kwako hii imeweza marakwet Daughter... With love from Mlima
Wewe ogopa ndunia ukichukiwa Hadi mtoi utanjionea chemta makumi😅😂
The fear is gone 😅
Hapo ametuma ya ukweli
Amen
Umeamua kumtumia hadi magonjwa😂😂
Love you Marakwet daughter ♥️
Wapi likes za watu wa ukambani......hii wimbo ni tamuuu bana injeeeeect
Twi vamwe mwa!!❤❤❤
Mee mevete
Uu akainukya mee akaime😅😅😅
Nilikuwa nimekuchukia but nimekusamehe. You have spoken out mind. Go go girl
😂😂😂many feel the same
Same. I will now even listen to the earlier one😅
😂😂me tooo
😂
She is forgiven
From TikTok mbio watu wa mlima let gather here
Let's support this girl. Hii song ifike 10M views.
Ashashikwa huyu mtoto 😢😢😢 imgn dictator in the making
😂😂😂😂😂😂wee nikunoma 😊
Watasema hii ni GACHAGUA alitunga akapee Marakwet daughter.... Speaking for 55 million KENYANS
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂
The lady is fearless, God bless. 😂😂😂 Magonjwa kwa mwenye mamlaka
😂😂😂walai
NHIF ilikua sawa kabla uweke kiherehere,magonjwa tunatuma kwako😂😂😂😂😂 this is a banger🤭
I like that😂😂😂😂
True
Back to the sender 😂😂😂😂😂
Kabisa😂😂
Wenye wametoka tiktok wapi likes
Watu WA bomet mko wapi...come here we send kasongo home na Farouk wake
Direct
Kama wewe ni mkipsigis na mkikuyu weka like tukisonga
Kimii
Kaende sana..
Ruto akwende , very corrupt and incompetent president arrogant
Kimii
Alituma Farouk akuje atukumbushe kuhusu kazi yetu ya kuzaa😂😂😂
This song should be played everywhere kasongo anaenda....
He will ban it😢
Sema ikutoke, feeling represented with 99 others😅
Na Incase kitu imfanikie tuanguke hapo sisi wote
Kama wee ni mkale na hii maneno ni ukweli pike like
Mimi sio mkale lakini na weka like😢
Kwa hii sote ni wakale
Hii song imerudisha watu wako wenye walikua wametoroka 🙏🙏
I clicked the song not to listen to it thinking it's a praise song, kumbe you are doing the Lord's work 😅. Amalize aende!
😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
😅
What a hell is the lords name doing in your comment🤣🤣
Msifikiree nimebaki nyuma nimetoka tik tok❤❤❤
Yooh 😂😂😂
ua-cam.com/video/b3_of-mQw1c/v-deo.htmlsi=71YcQfiEw8XDFbE-
NHIF ilikuwa sawa kabla uweke kiherehere😹😹😹😹😹😹
😂😂😂😂
Na asitume subaru_kasongo
THIS LADY IS A HEROINE..WATU WA MT.KENYA WAPI LIKES ZA MARAKWET DAUGHTER😍🥰🥰😜
Apo sawa kenya ni yetu sisi wote ,awache kutufinyilia , congratulations marakwet daughter,hakuna siku ruto atareta unga kwa kila nyumba ya mkalee,
How can I like twice? 🙌🔥
Am waiting for you ukijua niambie
Like all the other comments
THIS SONG SHOULD BE PLAYED IN RIFT VALLEY CLUBS AND CHURCHES 😅😅
The fear is gone..infact it should played everywhere 😅😅
Sijui ka Kuna mahali unaezaongezea apo South Rift hakuna kura yake ata ya mwenye ako na wazimu amemkataa🚮🚮🚮🚮🚮🚮 congratulations for a nice n true song❤❤❤❤
Aki juu Mulima alitukosea Zaidi
Mulima mnamkataa juu ya kashakwa sisi south rift hatumtaki juu ya ujinga yake ya kuja kutuombea@@Maggiepattie254
Natafuta comment za wakale and so far I am very happy. This particular one has made me a happy soul tonight. All tribes must uinite against this monster, Ruto. I am a Kamba.
Kenya tunaumia sote bila ukabila....asante
.
😂😂😂😂😂😂kumbavu zanguuu,,,,we huwez Fanya nicheke kwa plot ivi
Our Marakwet daughter😘😘😘Tumempenda Tena ni wetu Sasa😂😂😂
😂😂😂😂
I support Marakwet daughter. Leteni likes
She is so fearless 😢
Big support
Those who will vote against Ruto wapi likes zenu?
Freedom of expression, go go go mummy, you nailed it, Kudos ..wapi likes ya marakwet Daughter❤
Kama ulikukuwa umeroroka Marakwet Daughter kama Mimi na wimbo hii imekurudiaha, Piga Like❤
Helb loan umevuruga na sio Mali ya baba yako😂😂😂hiyo imenibamba sana being a comrade💪💪
Comrades power
Moi ni tugenin koyaam chepkelbai mwenye hekimq nyingi congratulations ours hii tufikishe million sasa
Meaning ya hiyo ni nini 😂
Sasa tumekusamehea🤣🤣🤣hii ni Kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂kali sana
Wale mmekam after Sudi kupost iko wapi likes zenu....
Ni kweli lakini umesikia watu hupotea kweli😂😂
❤❤❤
😂😂😂😂😂
😂😂
Achungane sana na masubaru😂😂😂
@@njerumukami831😂😂😂
😂 hatari
"NHIF ilikuwa sawa kabla uweke kiherehere"😂😂😂😂
Helb si ya babako 😂😂😂
And am back coz of this song,,,inject it our Queen,,we love you @from Nandi
Kama wewe ni supporter wa Dr.Fred Matiang'i weka like hapa😊
Ruto tano tena. Who is Matiangi?
@@lorraineatieno6544matiangi ni mamako mbwa
Congratulations 🎉,,,say it loud,,,pengine atasikia hiyo kwasababu ni Lunga yake,, Congratulations,,marakweti❤❤❤❤
😂😂
Song of the YEAR wah tamu kama maharagwe iliharibika uhapewa uende umwage wewe unaoimana na mama
NHIF ilkua sawa kabla uweke kiherehere 😜😜 yaani unakataliwa hadi kwenu Kaongo😂saaalaaaaleeeee
😂😂😂hehe
Kamba people and our GEMA cousins give me likes ndio ijulikane Ruto is not only a problem in mt.Kenya but in the entire country
Tuko hapa😂😂😂
Tuko hapa❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
Hii vita ni yetu wote si ya eneo moja speak the truth ❤
Kama ulikwama hapo kwa Kiherehere weka like😅😅😅
Numefurahi sana
Welcome to mt Kenya tukufiche huku😂😂😂kasongo hakujangi huku siku hizi😂
TUMEMFICHA HAPA TRANSNZOIA, KWA SIMBA YA JEHOVA WANYONYI
🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Kasongo aje huku na atujibu tulimkosea wapi!! Very informative song! The words are on the walls!
Bitter truth lakini naona ikileta shida😂😂stay safe hatutaki kusikia you are missing 😂
Rumour has it that she is missing😢
She is abducted/arrested already 😢
Kama umetoka tiktok mbio mpaka hapa finya like
WOW AMAZING You have spoken on behalf of All Kenyans...KUDOS For Speaking the Truth.
Waauh I love this mummy but mungu akulinde juu huyo mtu hapendi ukweli kabisa.
Kweli msichana ameongea
Wakamba tutampea panadol akiona Subaru anaturn mchanga 😂😂
Good song ukweli tupu wekeni like s
Hii nayo imeweza I like it🎉🎉🎉
Aimbwe kabisa kanyaga yeye😂...kama unaukubali huu wimbo unaongelelea ukweli kuhusu kasongo gonga like🥰
Here after NCIC summon 😃
Marakwet daughter is an iron lady, may God bless you for adressing Ruto in the languege he is understanding, sasa unless he is a deaf ujube umemfikia that kenyan are not happy
Uko na loya😂😂😂😂
Umesema ukweli kabisa
I think this is the only language he can understand coz sisi tumejaribu na lugha zigne ata parables na asikii
Hii I hope ataelewa
Enyewe hii umeambia kaongo ukweli....lazima tuifikishe 1m❤😂
kazi safi marakwet daughter🤝kimwae ukweli😊mamii kazi arap ruto
Nilikutusi but Leo naomba msamaha, huu wimbo uko sawa
Kule ministry of interior imesikika loud n clear
Kwinished kelee kiherehere iko wapi😂😂😂😂
Kasongo magonjwa ni yako ng'ang'ana nayo😢😢😢😢
Kele aliweka NHIF Kiherehere ooh 😂😂
Hapo umemaliza
NHIF,,,cbc itaramba arap ruto
Kiherere imeniua 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 mpaka nguvu imisha kwa miguu
@deborahogechi6008 huyu ameamua violence
😂😂😂alichoma but issorait
Nlikua nmekuchukia sana lakini ni sasa you are the best 😂😂😂
Hii naona ikileta shida😂😂
Stay safe wherever you are
n kumoto manzee
my thought too...will be pulled down
My thoughts too,hasiende missing coz of this song message 😊
Either she will be forced to pull it down or she will be Abducted 😂😂😂😂 system ya majambazi 😂😂😂
Tugenin koyam .....hii wimbo marakwet ameamua kusema yote imtoke
Mission ni kutoa hiyo jamaa hapo~Gachagua
Wakale wameungana na wakenya 😂😂😂😂❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂akili
Luos mko wapi wapi likes zenu
Maandamano anthem!! Reject finance bill 2025!👍🏾👍🏾👍🏾
Reject finance bill 2025
Perfect kapsaaa #Reject finance bill 2025
😂😂😂mali safi you deserve a recognition award 2025
Ukwelii tupu...no lies
Let's gather here,huruma kazikwa wapi? wonderful ❤❤🎉🎉
NHIF ilikua sawa kapla uweke keherehere 😂😂😂😂😂😂😂😂, hii ndio kenya ya sasa
Wooiii... Nilikuwa nimekasirika lakini nimekusamrhe
🤣🤣Nice song,sisi watu wa Kalonzo we vote this as the song of the year
Nilikuwa nimekuchukia but sai nakupenda Bure juu ya kusimama wima na kusema ukweli 🥳✊🏼
#FreeMarakwetDaughter 😂😂😂😂😂 Good job,umeimba ikakutoka mamaa😂👏👏
Kwani ameshikwa?
Haha hii nae imeweza😂😂 ati magonjwa ametumiwa apambane nae😂😂
😂😂😂😂
Kwa yeye mwenye mamlaka😂
Hii beat inaguza hadi maini
😂😂
From Tiktok to this place; you acquired another subscriber
Hapo sasa.... Finyeni yeye kila mahali.kazi safi marakwet girl
Fear is too expensive to buy😅😅😅 one million likes
Hii iko chonjo,,,,
I see Genz have so many ways of protesting, wakingoja kwa Barabara bado wanainject hata through songs 😂😂😂😂
Twende nalo ❤❤❤❤
Wale wanaosema hii ni mugithi nione kwa mikono😂😂😂salaaale kumbe mnajielewa 😂
Ata sisi wakikuyu tunajiulizanga tulimkosea wapi ....
And when I remember your TikTok 😂 video 📸 requesting for state job naisha nguvuu😅😅😅
😂😂😂ua yeye kabisa,😂😂may ugonjwa locate him
Ruto must Go,,,,Wanandi kujeni hapa.
More love marakwet daughter ❤️
Unajifanya Moi wa pili lakini Moi ni Tugenin kamili...mwenye hekima😂😂😂
Who came here after her arrest?
I have played this song so loud that all the neighbors are giving me likes and 50bob per like😂❤
Huruma ulizika sugoi utu ukazika kapchagir😂😂😂😂🔥🔥✅
Mimi kama mkipsigis, nakubaliana na wewe Marakwet daughter🎉.
Thumb up daughter of Rift valley, love from the lakeside
Nice work continue fighting for Kenya my hero 💪💪💪💪
moto kama pasi "helb ulivuruga na sio mali ya baba yako"nhif ilikua sawa kabla uweke kihere here
Mgn bna
This is the role of artists and musicians.To speak the truth to power!