Daa,kazi yakulinda nchi ni ngumu kama kutafuna mawe kwa meno,Mungu awasaidie sana wahusika wote🙏na hii nyongeza ya kazi waliojipa Dr na Nurse wake jamani ubinadamu ni mgumu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
hila Danni ww kaka ni noma kwaivyo kila mwanamke unakula vipi kaka una pepo au ya ww na shaka ni baba mmoja hila kule umekula mtoto na mayai yake hiyo ni mbaya Sana kaka 😂😂😂 hongera Sana mwandishi kaka mwenyewe pesa zake jamani hila Danni punguza
Lakini nyinyi wanaume wa Tanzania shikamo, muko wa sharati sana wakupindukia kabisa, umukule mama tena umupende mtoto wake, siolaana hiyo kweli. Hamuna heshima nyinyi huko kwenu. Wapangani nyinyi, Mungu awasamehe ma thambi zenu
Nipeni maua yangu mimi muandishi Eddazaria….Nizidi kuwaandikia vitu vitamu kama X, SIN na AIISSII YOU KILL ME😂😂
😂😂😂😂 tuandalie kitu kipya jamani🎉🎉
♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏
🎉🎉🎉🎉Mungu akubalki🙏 kazi zako🔥🔥🔥💯👏💪
😂😂😂Channel 0
@@ankojay_😂😂😂😂
Mda mrefu naona watu wanakimbia kuwa wakwanza nawazoom tuu,,,leo nimerejea❤🎉wa 1
Asante anko jay 🪑🪑🪑🎧🎧🎧 mambo nimoto 🔥🔥🔥tumekuwelewa anko 🪑🪑🎧
ahsante anko jey Allah akupe afya njema
Waooooh hatimae sehem ya tatu anko j Asante San kwa kaz nzur
wee anko weee lazima earphone hii simulizi banae duuuh ❤❤❤😂😂thanx anko 🇰🇪🇰🇪
Jamani Leo nimekuwa wa 9 like zenu anko jay unatufurahisha sana hapa nilikuwa nimekaa nasubiri kwa ham sana❤❤❤👌🏾👌🏾
❤❤❤ from Australia 🫶👌
❤❤(No9)Jaman kwakiasi nimewah,Hakika mzingo 🔥🔥,Ankojy asante,, leo mapema ad raha🙏🎧🪑🏃
Atimaye jamn kitu kimetoka daah nilikuanasubir atary😂❤
Wa kwanza leo,listening from Kenya much love.
Anko eeee em fikisha izi salama kwa Eddazaria G Msulwa.
Ohooo nahivi nawai kabisa 🤷 acha ni 🪑🎧 Ankojay ahsante 🙏
Asante Anko Jay kwa mwendelezo wa simulizi
Waiiiiipiiii time Amamu kelele mingi kwa Eddazaria na Anko jey 😂😂❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤😂😂love you
Asante ankojay unatupa rahaa 🎉🎉🎉🎉 ❤❤
Mambo vp wanafamilia WA anko je kazi zuri sana
Nahisi maana edda zaria kapita mule mule
Haya tunaendelea pale tulipo ishia 😂 lawama lazima maana napatabu na lala peke yangu 😂😂 Wakubwa wanafaidi nyama ya bata 😂
Leo nimewahi jamani like 5 n mm🎉🎉🎉🎉❤❤
Nimewai na mm leo jamanii love you ank jay❤❤❤❤
simulizi ni tamu sana anko j ongera sauti yako ni nzuri sana ❤❤❤
Leo kwa mara ya kwanza na comments apa kwa kweli Anko leo umenifurahicha mzigo akukawiya
Dakika Saba kumejaaa,sijui nakanyaga wp pole nitakae mkanya wadau Aya twendeni nayo asubui na mapema thanks Ankoo J ❤❤❤
Daniel mwakitombile hatari🙌🤣Asante Anko jay♥️🎧🪑
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mhmm jamani sijui kama nitakuwa salama leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Huyu kiboko
Co mwakitombile TU shoga ni mwakitombile na mwakifire
Kwanza mie🎉🎉🎉🎉
Wooh leo nimewai manshallah asante Ancojey zaasubui wadau toka nianze kuskia simuliz sijawai kipata like 100 daah 😢❤❤❤
❤ ❤❤
Q
Wooow asante broo kwa muendelezo ubarikiwe kwa kilajambo utakalo lifanya kwenye maisha yako❤❤❤❤❤❤❤
Nimewah🎉🎉🎉🎉
Anko maua yangu❤
ndio nmepata mda wa kuskiliza jamani late commer 🎉❤❤
❤❤❤❤❤
Wa kwnz
Eddazaria kula 5 simulizi tamu imekutana namtalam anko jay anaitendea haki hongeren sana❤❤
Alhamudillah Namim nimewahi 😂😂😂 Asante ankoj ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yule mdada wa kutoa like mdogo mdogo naingia kuwapa like zenu ❤🎉 0:15
Na leo tena nimekuw wa 8 like zng asnte anko jay nazid kukupenda tu❤❤😂😂😂😂😂😂
Mambo ni moto ila sasha ulete ❤😂😂
@@ashleymohamed6935 akileta hii tu mm nashkr sna
😅😅subutu
@@ZenaidaDaniel-r9d ndo kwnz unasikiliz au me nipo nairdia mara ya 2 saiv
Afadhali sasa movie limeanza part 1 sijaipenda kabsa mudinyo tuuh 😂
Leo kweli ningepoeka sana lkn anko jay umejua pongezi sana bro 🎉🎉🎉🎉🎉
Hii simulizi ni kali sanaa
Inakimbizana sanaa na X japo x inabaki kuwa simuliz bora sanaa
Top writter and the best narrator keep it up I love you
Nauliza huyu Danny na eddy yule wasimulizi wa x hivi ni mapacha😂😂😂😂😂
Baba mmoja mama tofaut 😂😂
@@Bintiali-kg3xe wamechangia damu ndo mna ila Dan amezd
Wa kwanza like zenu jamani
Ila anko bwana Sasa mafuta ya P diddy yanaingiaje hapo😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Daa,kazi yakulinda nchi ni ngumu kama kutafuna mawe kwa meno,Mungu awasaidie sana wahusika wote🙏na hii nyongeza ya kazi waliojipa Dr na Nurse wake jamani ubinadamu ni mgumu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi tena😂😂❤❤❤
Hii stori nzuri hila haielezei vzr KAMA hile ya SIN
Utatuuwa na raha anko much love❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
IV anko jay awa Marais huwa unawatoa wapi 😂😂😂 mbona siwafahamu😂😂
Asante sana anko je
Haya kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
We love you anko mapesa🎉🎉🎉❤❤
Oyaaaa anko j njoo Oman nkupe mariali kwanza mana unamotooooo🎉🎉🎉
asante anko jay naomba like zenu
Nime mukubali eddazaria anajuwa wangapi tume mukubali like moja
Waaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Jamani nimechelewa lkin nimefik Ahsante sana ANKOJAY may God bless you🙏❤
Hii simulizi🔥🔥ila dani unapenda vitumbua jamanii😂😂😂😂😂😂
Atr nanusu jamani aiii kitu hasa we anko jey we2 noma😂❤
hila Danni ww kaka ni noma kwaivyo kila mwanamke unakula vipi kaka una pepo au ya ww na shaka ni baba mmoja hila kule umekula mtoto na mayai yake hiyo ni mbaya Sana kaka 😂😂😂 hongera Sana mwandishi kaka mwenyewe pesa zake jamani hila Danni punguza
Haya asante Anko wetu twakupenda❤ na waleteam Dan tujuane apa kwa like❤️
EARPHONE ZIFANYE KAZI QWA HII SIMULIZI MCCHEKUSEMA CKUWAAMBIA OOO ..SAUTI YA ANKOJ INAINGIA MBK QWA UBONGO MAISIA NN 😂😂😂.
Good job anko jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉u handsome boy wetu Mr anko jay wetu be blessed all ❤ love you so much anko
Hiki ndo tunacho kupendea Huna baya kabixa 🎉🎉🎉
Dany kijana wa sikati loooh kazi na mapenzi wapi na wapi
Ila Danny jaman kwa wanawake ni noma zaid ya Eddy mwamba wa X 😂😂😂
Mpka saiv tng simuliz inaanz ndo kwnz ata mwez hajamaliz lkn tyr kashatia wnwke 5
@@Babyfaty-m3y jamaa🤣🤣🤣noma
@@MoshiMoshi-qy8dq kanishinda tabia 🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu kibo kashindikana wa6 njo kishalala nawo
@@WernerJunior-wc5uq kwel nilisahau kumbe wale malaya wte aliwapelekea moto ila Dan.kashanishinda tabia🤣🤣🤣🤣
Aaaaaah! Hii kitu ni bonge la dude aise! Asante anko tuletee part 4
😂😂😂 eti niguse uwone duh mama zet wanaujasili waajabu atali salut kwako mama
SANAAAAAA NO 17 TUPO TUNANYEGESHWA NA DANI NYIE WA GULF VIP MNAHALIGANIHUKOOOO😂😂😂😂😂KIKE
Anko hii 🤗 aki tuna kuaminia kings of simulizi
😂😂😂Dan kashikia jini bastola badala ya kuangalia paja😂ebhanae anko J songesha raha hii ni motooooo😊
JAMANI kitu kimeshatoka waoooh ❤❤❤❤
Ahsant Anko 🎉❤😂
Wadau Edazaria anatufanyia nn hiki jamn da! 😊😊😊
Thank you my anko😂😂😂❤
Wadau WA ankojay mpoo 🎉🎉
Yaan hii simulizi n kiboko sidhan kama wengine tutakua salama maana kitambo umalize kuskiliza aaah wee chini nako kunaita😂😂😂
Wa 74 jamani ankojay umeamua eeeh😂😂😂😂😂 haya bwana ngoja tu enjoy kwanza 😂😂😂
Asante sana anko kwa utamu wa aiss you kill me😂😂❤❤❤
Tupeleke speed hakuna kulala hii ya Dan ni tamu mno
Cnaa imani na latifa mm do wale walee😂😂😂😂😂😂 hayaa maimuna pachaa wako Oliver yupo hukuu
Asant anko jey simuliz tamu
❤😂❤😂❤simulizi murwa kabisa 😂❤🎉🎉🎉Asante sana anko jay ma edazaria গ. Msulwa
Sasa anko wewe ndo you kill us, maan unatufanya hatukai tukatulia🙄🙄
Anko jay jmn unatabia mbaya silali kitandan nalala you tube 😂😂
Nipeni na like jamani familia ya ankojay ❤❤
Ankoooo tupe laha sisi wa you tube ubariliwe sana kipenzi chutu
Jamin nimelipenda sn hii sml ila naomba sehemu ya nne tafl
Humu ndan mumejaa wasaliti hujuw ata umuamin nan na ww latfa ndo utakoma kumtetea msalit uyo luca anatak kufa tu
Kasi nzuri dani
🎉🎉mauwa ya eddazaria
Dani Dani Dani mbonakama hautaki kufanya kazi kwa weredi wa haliyajuu usituangushe tunakuamini
Dan kashapata mpnz jini naona mamb ya kweny SIN ya jini maimuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jini tena😂😂😂😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655🤣🤣🤣🤣jini olivia
@@Babyfaty-m3y 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bado sijamaliza kusikiliza.
@@Evelynmoreen3655 me natamn kma kungekuwa na muendelez hapa saiv
@@Babyfaty-m3y hapa hadi kesho🤣🤣🤣
hamulali nyiye
Leo imekuja mapema usingizi wa asubui tuliupeza kenya Kwa warabu hakuna kulala so tunakesha pamoja na sauti ya Ankoo J
Hi nayo daaaah 😂shukrani sana ankojey
🤪🤪🤪🤪dan round hii ulipata mwanamke mwenye alikushinda kimisuli wueeeeeh huyo maid wenu alikuwa hatari sana moto wa kuotea mbali kweli
❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Hatari na nusu
😂😂😂😂😂😂😂euddia kilimuramba alikipata kichapo cha mbwa
Jamani hiii simulizi yanichekesha sana kaah😂😂😂😂😂🪑🎧🔥🔥
Lucus anafaa akufe juu ya ushariti wake
Lakini nyinyi wanaume wa Tanzania shikamo, muko wa sharati sana wakupindukia kabisa, umukule mama tena umupende mtoto wake, siolaana hiyo kweli. Hamuna heshima nyinyi huko kwenu. Wapangani nyinyi, Mungu awasamehe ma thambi zenu
@@NsimireMurumbi usidhani ni TZ peke yetu,hata huko kwenu wapo,tuseme hivi,dhambi siyo matangazo zinafanyika sirini,nikwavile Eddazaria ameyaleta na Ankojay katusimulia,vinginevyo tusingeyajua,upon 😂😂😂
Jmn SIN bd iko juuu ❤