Waliochelewa km mm Leo tujuane kwa like bana 😂team strong mko wapi 😢unajifunza nn kupitia kijana tajiri aliejifanya maskin nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦💕💕💕💕💕💕🥰🥰🥰
Wanaokubaliana na mimi kwamba Amina hatamfikishia ile hela aliyopewa na Brown kwa ajili ya Vicky tufahamiane. Mi niko hapa Bujumbura. Najua Amina atapiga ile Hela.
hizo part zaku fata si nzuri unatafuta mwanamke mu hali hauna pesa sasa izi zawadi ukimupa si atakupenda kwa sababu ya zawadi ? bora kufanya mambo mazuri kuwatu wengine ila atokeye kupenda tabiya
Hakika hii kitu inapenya vema sana hadi kwa mtima. Hongereni wote kwa kazi nzuuuuuri mno. Brown na James pokeeni maua yenu. Vick na hasira zako za kutufundisha jamani mauwa yako pokea mama.
NA MIMI LEO WA KWANZA JAMANI NIPENI LIKE ZANGU 😊🥰
Aminia tupo pamoja from Dodoma bungeni kaz nzuri
Viki anaboa Sasa
@@HashimuMilanzi-ko8xm Sana kumbe umeona eee
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Vick anaboa utazani kauliwa mama yake hum anavulunda
Oyaaaaaaaaa wakwanza Leo from Dodoma bungeni naombeni like 10 tu wakuuu nawakubali sana
Kend naye anampenda brown waah patamu hapo😂😂😂
Uyo Vicky nae Mwehu tu 😂 Haki James na uko Sahihi na Vicky tupa kule 😅😅😅
Nimeipenda sana. Movie yenu naipenda sana
Ila huyu Vicky anakera huu uhusika haumpendezi😂😂
Kabisa yani nimetokea kumchukia aki
Hata mm sipend 😢
Tena anakera kweli kweli broun aachane nae
Yaan huu mchezo wote anauharibu yeye
Kumbe mnaona kama mim anaboa kweli anautoa ladha movie yote😢😢
Waliochelewa km mm Leo tujuane kwa like bana 😂team strong mko wapi 😢unajifunza nn kupitia kijana tajiri aliejifanya maskin nawapenda nikiwa Riyadh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦💕💕💕💕💕💕🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂😂 Mimi ndiye huyo Victoria
Pamoja siz😂😂😂❤
@@ashamwanganzi6400 😂😂😂❤️
huyu vick anaharibu kabisa anakera mim kipande chake huwa naruka kabisa kuagalia
😂😂😂
Nimewahii kidogoo nipigeni na like
Nmependa James n majibu yko kwa Tina watu kama hao wanastahili majibu kaa hyo🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jemsi nakupenda umemkomesha tina kwelii❤❤ hongera jemsi tina kinaumana kusikiya brauni anamkee 🎉🎉🎉
Brown Mbona Kev hatumuoni jaman?
Ako kwa sugar mummy anakula bata😂
Huyu Vick nae habadiliki jambo ilo halishi bac ha😅
@@MwanakomboAliKhamis anakera Sana
Yani anakera had anakera tena
Nakbare james , umechochea kuni kwa tina. Hahh😅😅😅
Deal done 😂😂
Ooooooooooooh hapo sas jamn yeye sindo ametak asimuriwe au gongen like zang sas🔥🔥🔥🔥
😂😂uhusika mwingine wadada punguzen dharau weng mnapitwa na bahat kujidai wajuaji Vick mfyuuuu
😂😂😂umeona eee
Mfyuuuuuuuu mbona 😂😂😂😂😂
Vik anakera kisenge yan mda mwingi yupo na jazba akwendreeeeee😅😅😅😅
Na inaonekana hata uhalisia wakawaida Vicky
Ndivyo alivyo yaani ndio tabia yake
Vicky anakela anafanya movie isipambe mtoeni huyo
Tina susha pressure 😂😂😂
Susha 😂😂😂
Vicky mtoenii anaboa banaaaa aaaaaaash
Yn ana boa sana
fala tu 😂@@CHRISTINAMAGASI
Wenae kelvin kila siku mambo vip ma hatukuoni ndani ya mchezo😂😂au ndo yule mwanamke kakufungia
Vick ACHA shobo😢
Hongereni kwa kazi nzuri nawapenda Sana from kenya
James kagogelea msumari kwa Tina 😂😂😂😂😂 Tina heri hungeuliza 😂😂😂
Huyo vick ndo nini sasa anajifanya anamsimamo kama vile yeye hajawahi kufanya kosa anakera sasa
Nahic bora yako yaani mimi simpendi Vicky mpaka basi
Apo leo James umenifurahisha sana kwa majibu ulio mupa tinah 🎉🎉🎉🎉
DJ AlingoVumah 🎉🎉🎉🎉🎉
Wallah james kaweka limau. Na pili pili kwenye chambari 😂😂
😂😂😂😂😂
Vicky unaboa unakaza na uko broke ebu punguza makali😂😂
Vicky anakera bwana hiyo misimamo haiishi tu tumechoka 😏😏😏
Yaani anaringa wakati msura wenyewe wa Babu yake 🤦
Yani vick anaboa tena sana tyuu mkali tumemchoka gubu limezidi
Wanaokubaliana na mimi kwamba Amina hatamfikishia ile hela aliyopewa na Brown kwa ajili ya Vicky tufahamiane. Mi niko hapa Bujumbura. Najua Amina atapiga ile Hela.
Sipendi vip jaman Vicky unakela
Filamu nzuri ila vicky anaharibu
Anakera mkazo huo labda alitendwa
@@MwajumaMaulid-v5tnyie me ikifika sehem yake napeleka mbele Aaah nimechoka 😃😃😃
Kabisaaa
@@ZuhuraAnuary-y5b anamkazia jamaa wakat Hana maisha
James 😂😂😂 bna maelezo mengi umenichekesha anamke blauni
I'm the first, ❤🎉🎉
Vicky anazid sasa adi anaharibu movie
😂😂😂
Niko upande wako kama wanasoma comenti za mashabiki wabadili mchezo vicky anaharibu mno
Nabrown nae apende kungine bana kushindia jitu moja tu inaboasana bora awaache apende mwingine wajutie badae😮
Yani angempenda huyo rafiki yake Vick ili baadae aje kujuta ,..huyo vick😅@@kadzosaid9376
Wallai anaboo sasa
Kweli victory anakera ,punguza masiyara bana
Waaaoh apo broo umempatia uyo Binti kinga'nga'
Brown achana na vick oa candy😅😅😅
Oooh!! Vicky haelew fraha ya Brauni penda sana iyoo:
Haaaaa Jem's hapo umeweza kwa Tina ila Tina nakupenda Sana dadaangu ❤❤❤❤
Brown achan na huyo vicky alishatupwa na wakati amezeeka, tafuta mtoto mzuri Candy❤❤❤
ila vick km ananiboa vile mhh
Mimi mwenyewe ananikera anaharibu utamu wa movie 😂😂😂
Mi sijui broun ameona nini kwake anashindwa hata kuachana nae
Mim nafanya kurusha nakerekwa kweli 😥😥😥
Mm mwenyewe ananiboa yaan muda wote kang'ang'ania hilo hilo
Sio wew tu mi ananiboa sana tu sehemu yake naluka
hizo part zaku fata si nzuri unatafuta mwanamke mu hali hauna pesa sasa izi zawadi ukimupa si atakupenda kwa sababu ya zawadi ? bora kufanya mambo mazuri kuwatu wengine ila atokeye kupenda tabiya
😂😂😂 James umejua kupigilia misumar kwa Tinnah🤣
Apo amenikosha kweli 😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
@@ManaseMoleli 🤣🤣
Aki nmpenda sifa za James kumsifia Tina kuhusu mchumba wa Brown❤❤❤❤
Like za jems niapa jamani yani amenifurahisha mpaka basi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂James siyo mtu 😂😂😂😂😂ani anamuumiza ex wa shemeji yake😂😂😂
Anafurahisha mpaka nikapiga kigelegele
Cio ww tuu ak James jaman kajua kumchoma mwiba Tina mpk nimependa Yan nmecheka mm 😂😂😂😂😂😂😂 hongera james
James leo umejua kunifuraisha😂😂😂umemkomesh tena
❤❤❤❤❤ vicky c unipe iyo chance bna Acha roho ngumu mama
Wakwanza mm Leo aya wadau naomben like zangu apo😢😢
Leo wakwanza naomba likes zangu 😂😂😂
James James yaaan unampa umbeya Tinah had kaona kero
James nafasi yake kaitumia vizuri apa❤
😂😂😂😂😂😂 jems hapo umeuwa baba umemuweza tina
😂hadi brwn pia anaboa
Hila Tina ww umeuliza mwenzio kuhusu brown unapewa full information sasa waanza kupanic🤣🤣🤣🤣
ila vicky unaboa😢
😂 kabisa
😂😂😂
Movie naiyona mbaya kwa Vick uhusika huu haumfai 😥😥😥
Sanaa anaharibu
@HudhaimaYussuf kabisa
Courage ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂Kelivin nawe uko kunakoenda sasa unaboo na app ya swahili max tuko nayo sasa ivi uache kutukata steam ya kuwotch series😂😂 ila nawapenda sana❤❤🎉🎉🎉
Jems yani umenifurahisha kaka yangu nakupenda sana umemujibu tina ❤❤❤❤
Jmn mlegezen uy vick jmn m at nachok kuangalia kw kwel 😮😮
Demu mbaya halafu eti unatuchukia wanaume
Mtoeni huyo vick anakera nahiyo misimamo yke ya kijinga🤔😏😏😏😏
Kabisa anaalibu movie
Ukosa hihi hadi movie naichukia kwaajili ya Vicky anakera
Anaboa sana walai
Anaker san ten san hhhh sijapend
Unachosha
Upo vizuri Vick kama autaki mwanaume itakua nawe unauume kiasi flan sehem zako flan azipo poa
James upewe Maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤ much love from Kenya 🇰🇪❤❤❤
😂😂😂😂nimemuona James n Tina unyama kibao haloooooo😂😂😂
Vick ipo cku ✍️ utajua jutia ,,hayo n majarib tyuu ,chukulia tu yalivyo had yesu alijaribiwa vivyo hyo so mpende tyuu😂😂❤much lov❤❤❤
Na Mimi naombeni za kwangu jamnii
Vicky acha ushoga ukipendwa pendeka much love from kenya
Brown sasa unalazimisha mapenzi ❤❤.
Brw Ally konamby mkenekeze mke ndo alivyo atakupenda uyo
Amina unayaweza kuyaunda na kuyatengeneza❤❤❤🎉
James umejua kumnyoosha Tina Kha!
😢😢 jamnii vicky badilikaa tyu umexemwa xanaaa. Pleee
Hakika hii kitu inapenya vema sana hadi kwa mtima.
Hongereni wote kwa kazi nzuuuuuri mno.
Brown na James pokeeni maua yenu.
Vick na hasira zako za kutufundisha jamani mauwa yako pokea mama.
🤣🤣James naomba anywe grand malt yabarid Sana aisee🙌🙌🙌
Amina wew wajua Brown ni adui wa Vicky Tena wamuelezsa Brown matatizo ya Vicky wakati Vicky anachukia Brown
Jemsi umenifurahisha kimjibu Tina aiseee from Moro Holo town
Vikc ushakua katuni wa bilaun sasa wewe unajitia kukaslika mwezako anafulahi siumkubalie tu yaishe aa unaboa kilasiku jambo hilohilo tu😂😂
Huyu brown nae mwehu yani unamfanya vip Vick akupende bila hata mia akati umeshampelekea zawadi kwahiyo umenunulia karatasi hizo zawadi
Nakuheshimu james tufanye kazi.fullstop😂😂😂😂😂😂😂
Brown achana ma Vick
Mfuate Candy Tuu
Tina umepigaje hapo!!James saluti kwako✌ victory unakela
Amina Kumbe Saa ZENGINE Unakuwa Mtu mzuri kumbe ww Ndio una tengeneza Mpango na ww
James mauwa yako hayooooo💐💐💐💐
Nihatali hiiii kazi
Tunaopenda maneno kuliko pesa 😂😂😂😂😂 kusifiwa rahaaa
Amina napenda saut yako nzrii mmwaaaa
Umuu jemus ndio mwamba sana❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana 🎉napendaga sana kazi zenu 🌹
Jemsi mpuuz anamboa tuna❤
Kaka mpe mpe uyo mdada😂😂😂😂😂😅😅😅😅nmependa san
daaaàaaah Tna wataka kujua mambo ya Brown mbona unauliza James Tina ulipoteza randa pamoja na mbao
nimechelew kidgoo lakn mambo ni motoooooo
Vicky nae anasumbuwa sana Brown anakufa nini
Vick anaharibu move ila jams yupo vizuri
James nakukubali kabisa.Vicky unaboa na hiyo misimamo yako
Mnamlaum Vicky buree, yeye kauvaa uhusika tu.
wasee mko fty sana
I first
Jemes . 😂😂😂😂😂😂 endelea kumu elezea tina😂😂😂😂😂😂😂