TUNDU LISUU AUNGANA na MPINA "Waziri Bashe Akamatwe kwa Uhujumu Uchumu" KUNA UFISADI,.....!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 3 місяці тому +1

    Tundu Lisu ukosahihi Kwanini Mpina ashambuliwe hivyobungeni tena nawabunge wengiwa ainamoja kama watanzania waligunduahilo....

  • @AthonySaimon
    @AthonySaimon 3 місяці тому

    Mama aliwaambia waibe kidogo😂😂😂😂

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 3 місяці тому

    Mzee wa kudandia hoja,hana agenda zaidi ya kuvizia umbea na kupiga makelele kwa lisauti lake libaya.

    • @Beauthoms
      @Beauthoms 3 місяці тому

      Umeona ee hana jipya huyu

    • @mesharothuman2443
      @mesharothuman2443 3 місяці тому

      Akili mmepewa lkn mmeamua kutozitumia

    • @EmmanuelSabibi
      @EmmanuelSabibi 3 місяці тому

      Kwani hapo hasemi ukweli kwani,mbna anasema ukweli ,ambao alishausemaga hata kabla haujatikea kuhusu sukar na maisha yanayeleta ugum kwasabab hizo hizo ,au hujamfatilia eti

    • @Robust78
      @Robust78 3 місяці тому +1

      Eti lisauti Lake, wewe unamwona hana hoja lakini kwa taarifa yako ndiye anayependwa na kuungwa mkono na wananchi waliowengi. Wananchi wamemlipia matibabu alipopigwa risasi wakamgharimia na familia yake na sasa wanamchangia apate gari jipya aachane na hilo lenye laana ya watesi wake. Endelea kumwona hana hoja.

    • @jeniphajohnson2538
      @jeniphajohnson2538 2 місяці тому

      Wewe ndo libaya