Rostam Aziz Press Conference (2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Igunga MP, Mr. Rostam Aziz, talking to the media during a press conference he called at Kempinski Hotel, Dar es salaam, on 03 May 2009, to respond on allegations of corruption from Businessman Reginald Mengi

КОМЕНТАРІ • 88

  • @zulekhasuleiman5295
    @zulekhasuleiman5295 5 років тому

    Ahsante mkweba kwa kutukumbusha watanzania waheshimiwa msiwatafute waasian tu na mengi pia tajiri kapata wapi utajiri safi Rostam ongea baba

  • @gmustafabaloch6989
    @gmustafabaloch6989 5 років тому +1

    Great my baloch proud of you

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 років тому

    mwongo na mwizi Rostam Azizi kaa kimya

  • @esthernsami7732
    @esthernsami7732 4 роки тому

    Hutaki kuwa mkweli kwa mambo unayoyafanya.Wewe unaiba na kupeleka pesa nje.Yeye antumia pesa yake kujenga Tanzania.Wewe sio Mtanzania

  • @sadamissa7221
    @sadamissa7221 5 років тому +1

    I can , i must , i will

  • @paulzubery3844
    @paulzubery3844 5 років тому +6

    wote wapigamadili JPM hawatak mtatajana sana tu! Sema nimekukubal kumuumbua mwenzako

  • @sayyidally
    @sayyidally 15 років тому +5

    Rostam umeongea baba nakubali! Mengi Mwizi wa Kichaga Fitna tu!

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 років тому +2

    Upo vizuri sana

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 років тому

    vizuri Baba yetu Magufuli rais wetu mpendwa sasa mafisadi yameanza kutajanana yenyewe warudishe mali za Watanzania na wafungwe

  • @festusjapharychunya1392
    @festusjapharychunya1392 4 роки тому

    Aziz wewe Ni mwizi tu Apo unajitetea tu halafu wewe sio mtoto Ni mtu mzima na mengi hawezi kuwa Babu yako..Vipi na dowanz na uongo sio kweli..

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 років тому

    Pesa nyingi zilizokuwa zinaingia nchini kwaajiri ya Watanzania wote, ni mstsjiri tu walikuwa wakizogawana. Serikali ilikuwachsijiekewe. Thibutuvwakati huu wa Rsis Magufuli

  • @monsieurmwanga1157
    @monsieurmwanga1157 5 років тому +2

    Wezi wanatajana.....Takukuru mpo wapi?

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 5 років тому +3

    Mapapa yameanza kutajana wenyewe lazima tuwafunge hiii nchi imeliwa sana

  • @gracetitus9963
    @gracetitus9963 5 років тому +1

    Matajiri wengi Tanzania wamejitajirisha kwa ujanja kutumia pesa za WATANZANIA kwa njia ya wizi na ujanja wa tenda. Sasa ni Wakati wa kutajana wote hawa ni wezi. Shida kubwa wanayoyafanya Rais Magufuli siyo Rais Kikwete, Magufuli hali na mafisadi wamekwama.

  • @georgemahembe4778
    @georgemahembe4778 5 років тому

    Sema baba sema mh mengi ameihujumu nchi yetu sana tumuombe JPM amchunguze kwa makini akibainika rungu limpitie Makonda oyeee, JPM oyeee

  • @edwinievaristi8363
    @edwinievaristi8363 5 років тому +1

    Mbn nyie makalasinga mnajidai ivoooo ...ooohhhb mengi ooohhh mengi rudin india mamae

  • @kinotasontravel3883
    @kinotasontravel3883 5 років тому +2

    Mmh mengi ni mkweli

  • @christophermgoli2292
    @christophermgoli2292 5 років тому +1

    Kwanini hukusema hayo mapema na nini kakupa habari zote hizo?? Kwanini usiwambie takokuru?? kumpeleka polisi??

  • @omaryweza7293
    @omaryweza7293 5 років тому

    Kweli alikuwa mpambanaji kwa kujizolea pesa za Watanzania Maskini

  • @vivianlenard3618
    @vivianlenard3618 5 років тому

    Alafu mzee mnafii sana huyo, na msaliti na muhoga pia so atawaxhochea sana

  • @abubakarobthany4157
    @abubakarobthany4157 5 років тому +6

    Hi report inaa miaka kumi na tatu saaa duh

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 5 років тому +1

    Wote nyinyi ni wezi

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 років тому

    Hakuna mtu Tanzania katajirika bila ya ufisad. Mstsjiri wrngi waneeanyonya wanyonge

  • @hoseamtiro4439
    @hoseamtiro4439 5 років тому

    hio miaka 3 tu cjui baada 6 kupit nn kitaenderea mjomba ni shida

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 5 років тому +3

    Mlizoea kupiga dili kwa awamu hiii mtatajana wenyewe na mashahidi wenyewe na tutawafunga

    • @zulekhasuleiman5295
      @zulekhasuleiman5295 5 років тому

      Ulilala wapi ww hii spich ya Rostam si ya leo inamiaka baada ya spich hii jamaa akaachia ngazi hutaka tena kuendelea na kazi na huu utajiri wa Rostam si wake toka enzi ya ukoloni mababu zake Rostam si fisadi na huyu jamaa alikuwa mfanya kazi muadilifu historia yake inajulikana

    • @jumandewa3152
      @jumandewa3152 5 років тому

      hii ya miaka mingi awamu ya jk. so lazima kuchangia kama ujui chochote unakausha.

  • @chrispinsinkala7082
    @chrispinsinkala7082 5 років тому

    Lkn Muongo kipindi kile waziri wa madini amewahi kumshutumu kwa ufidi lkn kilicho mpata nikutolewa kwenye uwazili

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 5 років тому

    Wewe ulimhinga mzee mstaafu binti, mwache mengi ni mzalendo

  • @abdallahnamkulya9607
    @abdallahnamkulya9607 5 років тому

    watanzania tuna Mila na destur huyu nae ana Mila na destur ? anatuibia ana uzalendo fisad mkubwa wee

  • @tinaclement3321
    @tinaclement3321 5 років тому +1

    yaani mm sielewi kuwa hivi Rostam haya anayozungumza sialiyajua siku nyingi kwa nn hakusema ? wewe hata kwa Mungu utakuwa wa kwanza kuhukumiwa alafu wengine watafuata

    • @zulekhasuleiman5295
      @zulekhasuleiman5295 5 років тому

      Hii mnakumbushwa tu kuwa wapo mafisadi wengine hawafatiliwi wameandamwa watu weupe tu ndiyo mjue kuwa na hao wanaojiita wazalendo na wao wamoooooo

    • @martinndaga7600
      @martinndaga7600 5 років тому

      Tina Clement

  • @yusufabrar66
    @yusufabrar66 5 років тому +1

    Kimenuka

  • @dominashirima873
    @dominashirima873 5 років тому

    Inawezakana vp mtu uchukue hela alafu usilipe!!!!?

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 5 років тому

    Uwi! Mengi kumbe ni bonge la fisadi!

  • @furahamwajeka3708
    @furahamwajeka3708 5 років тому

    mmmh ya kweli hayooo rostam

  • @edwinievaristi8363
    @edwinievaristi8363 5 років тому

    By the way what is your motive exactlly

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 5 років тому

    Hii ya Lini tena

  • @renardjoseph7103
    @renardjoseph7103 5 років тому +3

    Mtasema yote namwisho tunawa funga, Kama wewe Ni mwema kwann huku sema mwanza, nyie ote Mme nyonya Mali zauma,

    • @zulekhasuleiman5295
      @zulekhasuleiman5295 5 років тому

      Hii ni makumbusho tu aliongea miaka kumi na tatu iliyopita wakati akiwa mbunge wa Igunga na baada ya hapo akaamua kuachana km hamjui msiwe mnatoa shutuma jmn

  • @robertkaaya5391
    @robertkaaya5391 5 років тому

    Wewe fisadi

  • @abuaymanalshirazy2472
    @abuaymanalshirazy2472 5 років тому

    Mengi nilimjua muda mrefu kuwa ni mpigaji

  • @shukranicharles958
    @shukranicharles958 5 років тому

    Tusipokuwa makini na haya matamko ipo siku hili taifa litakuwa la kimbea xna , rostam alikuwa mbunge na hakuwahi kupeleka hoja binafsi kuhusu kubinafsishwa nbc leo eti anaibuka nini kimemuibua au na yeye anayake anaanza kujihami?

  • @kibilawazebanga7455
    @kibilawazebanga7455 5 років тому

    Ulifilisi chama ccm ulipokuwa mhasibu

    • @zulekhasuleiman5295
      @zulekhasuleiman5295 5 років тому

      Usilolijjua ni sawa na usiku wa.giza huyu alikuwa mbunge wa kweli kasaidia sana jimbo lake la Igunga msiwe mnatoa shutuma msizojua hii spich ya mda mrefu watanzania muwe mnafatilia habari za nyuma

  • @jumahassan5683
    @jumahassan5683 5 років тому

    I love President magufuli

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 5 років тому

    Nchi imevurugwa na nn?

  • @twahirmjeda4580
    @twahirmjeda4580 5 років тому

    mbona wakati yupo hai hukusema huuu ni uongo na mnacho taka kufanya ni kuzichukua mali zake tu na wizi wenu huo

    • @jamaldahir5284
      @jamaldahir5284 5 років тому

      Twahir Mjeda hii ni miaka mingi sàaana iloyopita

    • @twahirmjeda4580
      @twahirmjeda4580 5 років тому

      @@jamaldahir5284 basi wivu tu hihihi ila ww una kumbukumbu mzee

    • @jamaldahir5284
      @jamaldahir5284 5 років тому +1

      Twahir Mjeda mjomba hii ilikua yamoto saana mpaka wakina mpoki wakamtungia nyimbo ya shangazi aise

    • @mohamedhatibu4046
      @mohamedhatibu4046 5 років тому

      Angalia published mwaka gan

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 років тому

    mbona wewe Rostam Azizi na wengine wakina Patel etc kwa nini hamkuyasema haya wakati akiwa hai ? wote wezi mnajidai matajiri wote mna utajiri wa kuibia watanzania

    • @tzmny4909
      @tzmny4909 5 років тому

      Iyo clip inamiaka 3 nduguyangu

    • @israelmwanri9412
      @israelmwanri9412 5 років тому

      Bora mwizi mzalendo kuliko wewe mwizi wa kigeni

    • @lexisavage1770
      @lexisavage1770 5 років тому

      mwizi wewe pia mie sio mgeni

    • @lexisavage1770
      @lexisavage1770 5 років тому

      mwizi wewe pamoja na huyo unayemtetea mnatakiwa muende gerezani na murudishe mali za Watanzania

  • @edwinievaristi8363
    @edwinievaristi8363 5 років тому

    I cant believe even you aziz you consider yourself clean in public...eti kutusaidia maskin umewasaidia wangapi

  • @bossmolellsisiya4101
    @bossmolellsisiya4101 5 років тому

    PASUANENI TU SISIS YETU MACHO HIZO PESA HAZITUHUSU

  • @godluckdenismalisa8736
    @godluckdenismalisa8736 5 років тому +1

    Umemjuaje ni mwizi kama Ww c mwizi iyo ni roho mbaya

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 5 років тому

    unatumiwa na serikali ww

  • @lujulapaulo2999
    @lujulapaulo2999 5 років тому

    Picha