Kweli malipo dunian..shimo alilolichimb kaingia mwenyew..majuto jaman…mwisho w ubaya n haibu…funzo zuri sna…ila ypo yanafanyik haya..Mungu akipanga utapata yani hata iweje utapata2
Siku zote alipangalo Mungu mwanadamu haezi kulipangua...hii movie nimejifunza mengi....mwisho wa ubaya fedheha..mama wema hayo ndo malipo ya ubaya wako
Duh 🙄 hii kali kwakweli nime furahi sana tu pale ogena kapata alo andikiwa pongezi za dhati kwako Bibi ulo fanya juchini kumleta ogena kwako mabruq kwake ogena kapata wake wahali alipangalo mungu mwanadamu haezi lipangua kwa kudra ya Allah wema hongera kumletea mamaako zawadi ya mjukuu.asanteni sana wasanii wote.🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
Hakika mungu analipa hapa hapa duniani tuacheni roho mbaya Kwa watt WA wenzetu kwani NAO Wana haki staili mama wema ushapotezaa vitu muhimu Sana tubu Kwa iyo roho ya kikatili
Malipo ya ubaya ni ubaya2,,,,,na m,mung hakupi unachotaka ila anakupa unachostahili,,,,,,,mshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya mungu ni uzma wa milele.
Hivi Kwann munapenda kututesa jmn tutoleeni vipande viwili Kwa siku au munatk mupoteze washabiki munazingiwa Kwa kwel au muntk tusiwafatiliye ten filamu zenu
Dah kweli dunia duara huzunguka kwa kila siku na mchimba kisima huingia mwenyewe umelikoroga mama xx linywe japo kuwa chungu na linanuka lazima ulinywe pole mama wema dunia ndo hii hii mpangaji ni mmoja tu kamwr usilazimishe lililopangwa na muumba utadhalilika mama
Kweli nmecheka movie nzuri sana...... chizi n mjukuu juu
Mwisho wa ubaya ni aibu nimeinjoy sana inafundisha sana kweli apangalo mungu akuna wa kulipangua
Kabisaaa Asante sana
Daah Asante sana movie kali... ❤️❤️🇴🇲🇴🇲🇴🇲
🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Cjachelewa sana mambo ni 🔥 asanten kwa muendelezo
Umewahi
Wallai bilaha thallah mungu analipwa jpo kuchelewa lkn malipo umfka wakti wke,,,mchumia juani hulia kivulini Kula mma mavuno yko❤❤❤
Kabisaaaa
Mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea.... Ila hongereni sanah Mungu awajalie muendelee kukuza kipaji
Inshallah
Asante sana
Duuuh Leo nimekuwa wa Kwanza naendelea kuichek movie Kali Sana 🙏🙏
Hongera sana kwa kuwa karibu nasi
Nimeipenda sana hii movie
Mwajua hongera
Asante sana @Amina
Kweli malipo dunian..shimo alilolichimb kaingia mwenyew..majuto jaman…mwisho w ubaya n haibu…funzo zuri sna…ila ypo yanafanyik haya..Mungu akipanga utapata yani hata iweje utapata2
Ni kweli kabisa, ukitenda Ubaya lazima ukurudie
Dah mashaallah movie kali sana na ina mafunzo kweli Allah awabarik
Inshallah
Aiseeeee kweli ridhik ya mtu haipinduliwi🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🙏🙏🙏🙏🙏
Mmetishaaaaaa💋💋💖💖💕❤️💘💘
Asante sana, nadhani umeona episot zote eeeh
Hawa ni fireeee🔥🔥🔥 ila huyu baba wema ni mzee lkn anatoa mafunz sann anajua kuekt
Asante sana 🙏🙏
Mama wema amepigwa na kitu kizito duh God is good all the time
🤣🤣🤣🤣
😂 karma is a bad bitch
🙌
Hatari sana roho mbaya haijengi masikini mama wema aibu imekupata
Mama Wema Mungu anamuona
Mzee nakubali xna,SKU ZTE bahati y mwenzio usiilalie mlango wazi
Kabisaaaa
Mama wema jamani ana niumiza mbavu etibinadam awana imani 😂😂😂😂😂😂😂ongereni sana kwa kazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤ ❤
❣️❣️❣️❣️ Asanteee Sanaa jamani
Daaah aisee imenifunza kitu jaman mama wema mchuma janga hula nawakwao
Kabisaa Mchuma Janga ula na Wakwao
Mwisho wa ubaya ni aibu tena majuto ni mjukuuuu
Mashaallah mungu halali kweli atakalo panga ndio huwa👌👌👌👌🥰🥰🥰🥰💯💯🤣
Kabisaaa hakuna anaeweza kuizuia riziki ya Mtu
Siku zote alipangalo Mungu mwanadamu haezi kulipangua...hii movie nimejifunza mengi....mwisho wa ubaya fedheha..mama wema hayo ndo malipo ya ubaya wako
Kabisaaa
Kweli ukimtendea mwezio baya na ww unakipwa hilohilo hapo nimepata funzo zuri sana
Kabisaaa
Good xana kazi nzuri hinamafundisho
Asante sana
Mashallah kazi nzuri saana
Asanteeee
In God wetrust big up 💯💯💯🤞🏾mama aaaaaaaha eti wanakijijiwamemroga🙉🙉🙉🙈🙈🙈
🤣🤣🤣🤣
Hongeleni wagizaji mupo viziuli sana
Asante Sanaa
Movie nzuli Asante 🙏🙏🙏
kwa walo shiliki
🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana movie nzuri sana mungu hawabariki big up bidii na kazi iendelee
Asante sana Juma
Yan nataman kuendelea yan movie kali sana mungu aibariki mlete nzuri nyingine
Asante sana, usiache kuangalia movie zetu
Daaaaa iko poa!!!! Kila aliee cheza hii flam ni super Star
Asante sana
Asanteni Sanaa kwa mafunzo mazuri. Shehe nakuona
Asante sana @Maria
Umemuona Remmy hahaha ndugu yako eeeeeh @Maria
Kila muigizaji amecheza vizuri sana pati yake....movie ipo vzr mnooo MB zng hazijenda bure 🤣🤣🤣😆
Asante Sanaa kipenzi
Dar ugena yupo vzr Sana nampa Big up My sister ugena
🔥🔥🔥🔥
dawa ya Moto ni Moto
Kabisaa
Duh 🙄 hii kali kwakweli nime furahi sana tu pale ogena kapata alo andikiwa pongezi za dhati kwako Bibi ulo fanya juchini kumleta ogena kwako mabruq kwake ogena kapata wake wahali alipangalo mungu mwanadamu haezi lipangua kwa kudra ya Allah wema hongera kumletea mamaako zawadi ya mjukuu.asanteni sana wasanii wote.🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
Asante sana 🙏🙏🙏 kiukweli huwa navutiwa mno na comment zako
Daaa nzuri sana
Asante sanaaa
Ndio tunaambiwa mwisho wa ubaya aibuuuu 😃😃😃😃😃
Ni kweli kabisa
Noma sana ....kazi nzuri👌👊
❤️❤️❤️ Asante sana
Uliambiwa utalilia choon beba hilo mama👌
🙏🙏
Move nzurii mnooo
Asante sana
Hakika mungu analipa hapa hapa duniani tuacheni roho mbaya Kwa watt WA wenzetu kwani NAO Wana haki staili mama wema ushapotezaa vitu muhimu Sana tubu Kwa iyo roho ya kikatili
Kabisaa Mungu analipa hapa hapa
Kaz nzuri sana hongereni jamani mlohusika
Asante sana
Tusaidie ku share
Movve inafundisha Sana hii jamani daaar kwwr jasho la mnyonge ulipwa na mungu
Asante sana
Tusaidie kushare ujumbe ufike
Mov zuli Sana inafundisha mbalikiwe
Asante sana
Etiii atakaaa sawa😅😅😅😅
🙏🙏
Wallah malipo dunian hakujua hatma ya maish y mwanae ytakuaj
Umeona eeeh
Shekhe Pepe kale Tisha sanaaaa🔥🔥🔥
Hahaha
mashaAllah 😘 Mzee nakupenda buree maana sio kumpasha uyo kisunuko
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka jmn mbona Kaka Moyo pole mama wema Acha wenye nyota zao ziwafikie heri zao
Kabisaa 🙏🙏
Malipo ya ubaya ni ubaya2,,,,,na m,mung hakupi unachotaka ila anakupa unachostahili,,,,,,,mshahara wa dhambi ni mauti Bali karama ya mungu ni uzma wa milele.
Asante akika umejifunza mengi
Namuonea huruma Sana huyu dada wanaowanyanyasa vipofu mungu awalaan
Kabisaaa
Nzur san aiseee
Asanteee
Mafunzo ya Khali ya juu ikiwa unaakili utatia akili 😂😂😂
Asante Sanaa
Hivi Kwann munapenda kututesa jmn tutoleeni vipande viwili Kwa siku au munatk mupoteze washabiki munazingiwa Kwa kwel au muntk tusiwafatiliye ten filamu zenu
Alipangalo Mola alishindikani kisicho kua Rizki hakili kbs
Akika
Mko vizuriiiiiii🤝🏼🤝🏼🤝🏼
Asante Mno
Mungu kawaumbua wema na mama yake komeni na mjifunze siku za mwizi kweli ni arobaini
Kabisaaa
Mshahara ya ubaya ni aibu mama wema ona fedheha sasa alipangalo mungu itabaki tu vile
Kabisaa
Baba wema humu nimekupenda mno kweli majuto ni majukumu mma wema kapata majukumu kutoka kwa wema na mjukuu anaitwa majuto 😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Sophi kawa chizi
Chezea Mapenzi 👉🏻🤪🤪
Baba wema Safii sana
Asanteee
Hahaha wamemjaza
wema 🤣🤣🤣
Yani 😄😄
Kazi nzuri ongera
Asanteee sana
Dah kweli dunia duara huzunguka kwa kila siku na mchimba kisima huingia mwenyewe umelikoroga mama xx linywe japo kuwa chungu na linanuka lazima ulinywe pole mama wema dunia ndo hii hii mpangaji ni mmoja tu kamwr usilazimishe lililopangwa na muumba utadhalilika mama
Kabisaaa Asante kwa Ujumbe Mzuri akika umejifunza mengi Mnooo
@@busatitv naam nimejifunza jamani wanawake tuwacheni roho mbaya hasa kwa wamama
Aswaaaa upo sahihi
Siku zote mungu hafunzwi
Kabisa
😂😂😂😂😂 baba wema amenifuraisha
Mungu awabariki sana hongereni
Asante sana
Kazinzuri sana ndugu zangu ilanataka unisaidiejina lauwo wimbo tafazali 🙏🙏
Huu wimbo unaitwa Kidawa maalum kwa movie zetu haujatoka bado
Okay nashukuru nitunasubiri ilani meipenda sana uwowimbo
Asante sana
😆😆😆😆😆 etiamekua Sasa anamimba
🤣🤣🤣
huuu wimbo kaimbaa nani jaman nauitaj😥😥😥
Anaitwa Man Clever
@@busatitv asante
Karibu tena
Duuuuuh mkovizuri jamani hili nifunzo
Kabisaaa
MWISHO mzuri 🔥💯.
Asante Sana
Hii move ilikwamia hapa jameni na vile ni tamu
Majuto mjukuu haya mama wema mtoto amekuwa chizi na mjukuu juu😢
Inauma sana
Surprise 🎉🎉🎉
👌👌👌👌
Ama kweli malipo hapa hapa Duniani
Kabisaaaa
Mama wema mwisho waubaya niaibu
Mwisho wa Ubaya aibu sanaaa
Mwizi kashafukuzwa😅
😀😀
Hapa kuna kufunzo kubwa sana
Umeona eeeeeh
My Best film 🎥
Welcome
Alolipanga mungu binadam halipangui
Kabisaaa
Mama wema umekosa mwana na maji ya moto
Yani
Kazi nzuli
Asante sana
When Jesus say yes,😔😔🇺🇬🇺🇬😂😂😂🌍🌍🌍🏃🏃🏃🤗🤗🤗💃💃💃💃🙏🙏🙏
💪💪💪😍😍
Kazi nzuri
Asanteee
Daah mwana kuritafuta mwana kulipata duniani hiii 😭😭😭
Hatari sana
Nzuri
Thanks
Utajifunza ishi na watu vizuri mamahake wema kimekuramba sio .umevuna ulicho kipanda
Asante sana
Dawa ya roho mbaya hio
Kweli Kabisaaaa
Mama wema kiboko
Balaa sana
Mwisho wa ubaya ni aibu
Umeona eeeeh
Mama wema roho mbaya haijengi
Tena sana jamani Roho mbaya haifai
Mama wema majuto mjukuu
Busat mugetuengezeea na ya 6 tukapa kuburudika vzur
😂😂😂
Aca akome yeye ariwaza mwenyezimungu Yuko
Mwana kulifurahia mwana kulilia
🔥🔥🔥
Ina mafuzo mzuri sana
Aswaaaaa
Daaaar dunia iyi nihatar
Sanaaa
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Mtihani huo mama mkorofi jamani mtihani mkubwa
Hatari sana
Season 2 iko wap my
Malipo nihapa hapa duniani
Kabisaaa
Mwana kuritafuta mwanakuripata
Kabisa
Move nzur san nawapend nyote washirik
Asante Sana