Mungu akupe pumziko la milele, tulicheza mziki wako Oyster Bay Police miaka ya 80, Police Hall miaka ile" ni safari ndefu ya Maisha, Mungu atujalie mwisho mwema hapa duniani Hamisi Dale Boston USA
naskia sauti Bwana Modest Morgan kwenye chorus, mziki huu unaufunuo the reality of every human being at one point we must say goodbye to this world strong message from Dr. Remmy Ongala
Oh God, may I die full time christian, filled with Holy Spirit and singing Gospel music like Dr Remmy Ongala!
Mungu akupe pumziko la milele, tulicheza mziki wako Oyster Bay Police miaka ya 80, Police Hall miaka ile" ni safari ndefu ya Maisha, Mungu atujalie mwisho mwema hapa duniani Hamisi Dale Boston USA
Waaah
Chidumule anaimba chorus,, remmy anaimba vers,,,wote waliimbaga band moja zamani kabla hawajaanza kuimba nyimbo za dini
Chorus inaimbwa na Modest Morgan
This song made me shade tear of joy for forgiveness of sin in the name of jesus
naskia sauti Bwana Modest Morgan kwenye chorus, mziki huu unaufunuo the reality of every human being at one point we must say goodbye to this world strong message from Dr. Remmy Ongala
Mungu akipenda akufungulie mbingu ndugu Remy uingie paradiso
Mashujaa hawafi bali wanapumzika°😪
Kweli m wimbo huu nimeupenda sana
Amemaliza vizuri
Nenda shujaa nenda mpambanani
Very great song indeed.....but can we please get the rest of the gospel songs by Remmy and modest Morgan ? I really loved them ❤
Ohhh this song revives my spirituality alll his doings are m8ne friends lets pivk on christ
You finished the race in the PERFECT way Sir! You are in a better place Dr. Remmy Ongala aka Sura Mbaya.
This song lives rent free in my mind
I can only praise our Lord God through this meaningful song.
Nmekumiss my Dad
Ongala
This guy finished in style
Hongera! R.i.p big bro.
Du kumbe alijua kwaheri dunia
Dah am speechless. We miss you Remmy
Safi sana"song mrua lenye ujumbe mzito"barikiwa sana
Jamaa Alishindwa kufa
Mtu hafiii...Dr Remi ongara..
Am mourning my friend and colleague Muhoro following his untimely demise. This song reminds us that we are here but for a time. RIP Muhoro.
Pole
old is gold💪🙏
Hakika hakuna lisilowezekana kwa Mungu
Nipo msibani nausikiliza huu wimbo unanigusa sana, pumzika kwa amani Dr remy ongara.
Vita ulishinda pumzika mzee
Daaaah Strong Message from late Remmy Ongala
good message 🙏
R.I.P papaa
Maneno mazito kutoka kwake Remmy Ramadan Ongala na Chidumule
Huyo ni modest sio chidumule
Nice song
Lo maximo
amen amen
R.I.P
r.i.p
Amen
Nice song