Hayo ni maelekezo toka juuu. Vitendo vyote vinavyofanyika kuna kuvu nyuma yake. police wanaelekezwa tu. Na huyu mwenye kuelekeza hawa polis mwisho wake umefika wala hafiki mbali.
Kwani mwabukusi umekuwaje baada ya kupata uongozi mbona hubweki kama wakati uleee ivi huona taabu wanayoipitia wapinzani mbona kimya hivyo au umesharidhika sasa unakula kwa Mrija ,hebu rudi kwenye harakati haraka ujue ulipigiwa kura za imani yenye matendo acha ukimyaaaa
kwani kuna tofa uti gani ya mkolani na aya maisha ya sasa sabu mkoloni sija muwai lakini kistolia nilivo isikia ya mkoloni mbona kama ina fanana naaya maisha tunayo ya pitia waki panga lolote polisi wana fanya
Labda kùna agenda za siri za kuwadhuru kisayansi!!! KWA NINI WANAPENDA KUWAWEKA NDANI HATA BILA SABABU???? HUKO NDANI KUNA NINI WALICHOKIWEKA WAKALE AU WAKAGUSE AU WAKAVUTE???? TNA MASHAKA NA HIZI KAMATA WEKA NDANI ZAO
UONEVU WA POLICE KWA UPINZANI NI TOOO MUCH!!!! SERIKALI YA CCM INAHARIBU AMANI HALAFU WANASEMA WANALINDA AMANI !!!!!!!! MVUNJA AMANI ANALINDA JE AMANI RAIS YUKO KIMYA KUTHIBITISHA KUWA NA YEYE ANAKUBALIANA NAO!!!
HIVI POLISI WANATUMWA NA KULIPWA KWA WANAYOYAFANYA ? WA - TANZANIA TUKATAE KABISA HAYA. KWANI KODI ZETU ZINATUMIKA VIBAYA,NA HAYO YANAYOTOKEA KWA HAO YATATUPATA , KAMA SIO SISI NDUGU ZETU.
Kwa mujibu wa Katiba ya nçhi yetu, wote tuko chini ya Sheria na wala hakuna aliye juu ya Sheria . Katiba pia inatoa Mamlaka kwa Mahakama kuwa ndiyo chombo pekee kitakacho tafsiri Sheria na kutoa Haki kwa raia wote . Sheria inaelekeza mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani ndani ya Saa 48 . Leo Polisi wanajiamulia kumweka mtu rumande kinyume na sheria . Ipo haja ya kuwashtaki Polisi kwa majina yao na si kwa vyeo vyao . Nitaunga mkono iwapo zitachikuliwa hatua haraka iwezekanavyo ! Huu sasa ni uhuni .
Tunaomba tupewe account no. Watanzania tunajitambua tunajua pia umuhimu mkubwa wa wanasheria wetu jasa ktk Hali ya uvunjwaji wa Sheria unaendelea tupo tayari kuchangia tupewe account namba tutachangia hongera Mwabukusi na wenzako
Hatujawahi kuwa na kesho la polisi tuna jeshi la CCM TU Mungu tusaidie
Mungu akurinde Mwabukusi kwakutetea haki zawatanzania.
Mwabukusi watanzania tunakutegemea sana, mlikaa na mapolisi lakini awapendi kuwasikiliza kwanini?? Tunakuta uongoze maandamano ya kudai aki
Tunaomba akauti Ili tuchangie Ili haki itendeke
Inaumiza sana kudifanya mungou watu watalipa siku inakuja
Kinachofanyika si haki inchi hii tunaonewa sana hasa jeshi la polisi mwabukusi tusaidie
Police fanyakazingatia Sheria Mtaleta vita Tusifike huko Mama Okoa Taifa Mungu awageukia !!
kwanini. hawapolis si wanaishii miitani. kwanini. hawalipuliwi angalau. wawili watatu. ili. waone maumivu ya kutowa. watu roho zawatu na mayanyaso
Hayo ni maelekezo toka juuu. Vitendo vyote vinavyofanyika kuna kuvu nyuma yake. police wanaelekezwa tu. Na huyu mwenye kuelekeza hawa polis mwisho wake umefika wala hafiki mbali.
Wa nataka nini kama wanateka hela waseme tutachanga ila kwenye uchaguzi watuache tuchuane ccm na chadema
Sio wsnanchi wate Zanzibar hawana iyo kula
Mbona kila siku ninupinzani tu Mungu ata2atetea tu
Kwani mwabukusi umekuwaje baada ya kupata uongozi mbona hubweki kama wakati uleee ivi huona taabu wanayoipitia wapinzani mbona kimya hivyo au umesharidhika sasa unakula kwa Mrija ,hebu rudi kwenye harakati haraka ujue ulipigiwa kura za imani yenye matendo acha ukimyaaaa
CCM Allah ata waraani mfe vifo vibaya
kwani kuna tofa uti gani ya mkolani na aya maisha ya sasa sabu mkoloni sija muwai lakini kistolia nilivo isikia ya mkoloni mbona kama ina fanana naaya maisha tunayo ya pitia waki panga lolote polisi wana fanya
Labda kùna agenda za siri za kuwadhuru kisayansi!!!
KWA NINI WANAPENDA KUWAWEKA NDANI HATA BILA SABABU????
HUKO NDANI KUNA NINI WALICHOKIWEKA WAKALE AU WAKAGUSE AU WAKAVUTE????
TNA MASHAKA NA HIZI KAMATA WEKA NDANI ZAO
Ccm wana shindwa kujenga ndomana wanakamata viongozi wa chedema ili kufifisha chama kiludi nyuma kwajiri hawana hoja niwizi tupuu😅
Tunaomba wanasheria muungane kuokoa.tanganyika
Kila siku mbeya ivi polisi mbeya ni wababe sana?
Unaesema mwenyekiti amewatelekeza waliotekwa,unataka yeye afanyeje? Wameongea,wameitisha maandamano,wananchi mmekataa,wakaandamana wenyewe. Unataka afanyeje zaidi
Asali mbaya bhana ww acha ale bataa
UONEVU WA POLICE KWA UPINZANI NI TOOO MUCH!!!!
SERIKALI YA CCM INAHARIBU AMANI HALAFU WANASEMA WANALINDA AMANI !!!!!!!!
MVUNJA AMANI ANALINDA JE AMANI
RAIS YUKO KIMYA KUTHIBITISHA KUWA NA YEYE ANAKUBALIANA NAO!!!
HIVI POLISI WANATUMWA NA KULIPWA KWA WANAYOYAFANYA ? WA - TANZANIA TUKATAE KABISA HAYA. KWANI KODI ZETU ZINATUMIKA VIBAYA,NA HAYO YANAYOTOKEA KWA HAO YATATUPATA , KAMA SIO SISI NDUGU ZETU.
Sio wote ni.wale walijiandikisha na wale wenye sifa
Mdude mi simfahamu.Sasa amepata matibabu kutokana na kipigo?
Kwa mujibu wa Katiba ya nçhi yetu, wote tuko chini ya Sheria na wala hakuna aliye juu ya Sheria .
Katiba pia inatoa Mamlaka kwa Mahakama kuwa ndiyo chombo pekee kitakacho tafsiri Sheria na kutoa Haki kwa raia wote .
Sheria inaelekeza mtu akikamatwa apelekwe Mahakamani ndani ya Saa 48 .
Leo Polisi wanajiamulia kumweka mtu rumande kinyume na sheria .
Ipo haja ya kuwashtaki Polisi kwa majina yao na si kwa vyeo vyao .
Nitaunga mkono iwapo zitachikuliwa hatua haraka iwezekanavyo !
Huu sasa ni uhuni .
Tunaomba tupewe account no. Watanzania tunajitambua tunajua pia umuhimu mkubwa wa wanasheria wetu jasa ktk Hali ya uvunjwaji wa Sheria unaendelea tupo tayari kuchangia tupewe account namba tutachangia hongera Mwabukusi na wenzako
Uonevu.utaishalini
toanamba yaAkaunt
Mwenyenzi mungu sikia vilio vya wanao watendehaki wakuogope wewe mwenye kutuumba
Hatujawahi kuwa na jeshi la polisi tuna jeshi la CCM TU Mungu atusaidie