Amos Malingita _ Mwana Mpotevu (Official Music Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @KapejiTz
    @KapejiTz 2 місяці тому +7

    Mwana Mpotevu Kazi Kubwa Sana

  • @ABDICLAZARUS
    @ABDICLAZARUS 2 місяці тому +1

    One love brother piga 🙏kazi mwaka huu👇 wakipata hata watatu washukuru sana😂😂

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Uhakika kila hatuabdua

    • @ABDICLAZARUS
      @ABDICLAZARUS 2 місяці тому

      @@wachachesana hao mm naona ni wachache sana

  • @GereMwenyewe
    @GereMwenyewe 2 місяці тому +1

    Kaka ukopowa sana

  • @PaulCharles-ox9pg
    @PaulCharles-ox9pg 2 місяці тому +4

    Safi kaka amosi malingita naomaba ya mageleza nayo niisikie 🎉

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +2

      Kwa sasa Nimeanza Kuachia Nyimbo Usijali Utaipata Siku Yeyote Boss Wangu

    • @HassanWilson-f7q
      @HassanWilson-f7q 2 місяці тому +1

      Achana nao make so Saiz yako

    • @HassanWilson-f7q
      @HassanWilson-f7q 2 місяці тому +1

      ​@@wachachesana2po pamoja sana brother ❤

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +2

      Nahisi hassani tumewalipua ya mwisho mana wali nitemea maneno machafu sana nawatema nahiii ujumbe wasiludie ​@@HassanWilson-f7q

    • @kalivideoproduction
      @kalivideoproduction 2 місяці тому +1

      Se​@@wachachesanaSEMA UKWELI KAKA NAKUKUBALI SANA❤❤❤

  • @Lugatayonalugatayona-tp4sf
    @Lugatayonalugatayona-tp4sf 2 місяці тому +2

    kalibu mwana mpotevu sisi tupo kwenye matolo pole.kwakupote myaka.yote hiyo hiii kalisana mwanawetu.

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Sahahani ndugu zangu munisameee sana

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 2 місяці тому +1

    okay, siwezi hukumu sanaa cjui yaliyo kukuta, pole lakin mungu yupo

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Heshima yako lafiki pia mpendaa wasani mitano yako

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Ubalikiwe lafiki mitano yako kazi iendereee kushauli wasani

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 2 місяці тому

      @@wachachesana Ndg kuimba unajuaa, Omba mungu akupe njiaa ya kutokeaa na wew huenda huu ni wakati wako wa mafanikio, lakin hii nyimbo ungeifanyaa hata dk 16 sory lakin

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 2 місяці тому +1

      @@wachachesana sasa kwa huu upepo ulionao achia nyimbo tenaaa ili uzungumuziwee zaid kaka, mim napenda wasanii sanaaa

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 2 місяці тому +1

    Kumbe naweww ulikuwa umeingia huko mzee! Mi nikajua unaimba tuu!! Yote sawa ahsante kwa kusema ukweli mr..

  • @nongajlumala-t5j
    @nongajlumala-t5j 2 місяці тому +1

    kaka tena

  • @KalichoTz
    @KalichoTz 2 місяці тому +2

    Kazi Nzur Kaka Angu

  • @Adizowamachale
    @Adizowamachale 2 місяці тому +1

    Hongera Kukumbika Nyumbani Mjukuu Sese

  • @Songa.Record
    @Songa.Record 2 місяці тому +1

    Moto Umewaka Tena Dani Ws Watakaaaaa2

  • @EdinaWillison-tr3dz
    @EdinaWillison-tr3dz 2 місяці тому +1

    Mungu yupo mmewang awawez kukupangia mwisho wako ambaye anapanga ni mwenye zimungu tu pambana haki itapatikana tu love forever mungu ndo anapanga sio mwanadam asiye kubali kushindwa sio mshindani

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Nashukulu mkewangu ila uje utoe hiyo picha kwenye akauti najua ukijua lafiki yako lakini alinizuguka na kunituna vibaya kesho ubadili ila mm hawataweza najua pia nifundi wakae macho kuniomba samani nita wapoteza kusikilizwa kabula ya wao walioniombea wao nakupenda mkewangu

    • @josephjohn5
      @josephjohn5 2 місяці тому +1

      Kwani kuna haki gani mmeo hajaipata unasema apambane haki ataipata?

  • @stgtz
    @stgtz 2 місяці тому +1

    Mtahangaika sana kumshusha Gude Gude nyie

    • @HassanWilson-f7q
      @HassanWilson-f7q Місяць тому

      Kumbe kuna ki2 hujaelewa bado hajaimba kumuchafua 2 ila ameamua kufichua siri ya hao hata kama itatokea kushuka wa gude mbl ni matendo yake yatamshusha make kila atakea imba naye lazm 😢😢😢😢 kwa yaani kiufup asha zoea kuchukua nyota za wenzake

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 2 місяці тому +1

    kuimba unajuaaa nimesikiliza nyimbo zako nyingi, apa tatzo nn picha ya gude apa?????? umewekaa nin kimekukuta ndg

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Bola ya picha kuliko mutu kuku ones wivu namajungu yasiyo nafaida wakati ulikuwa unamueshimu

  • @DawaDawa-l2f
    @DawaDawa-l2f 2 місяці тому +1

    Wewe yangu macho 😅😅😅

  • @NdelemaYamlinga-r4c
    @NdelemaYamlinga-r4c 2 місяці тому +1

    Kazi.zuri.ila.gude.daaaaaa❤❤❤❤❤

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Uhakika lafiki wengine hatunaga nafasi yakuongerewa vubaya napia sipendi alinikera sana mm kuniambia sitasikika sema nawaacha nahiii

  • @SamweliNgandi
    @SamweliNgandi 2 місяці тому +1

    like jakutosha bakukaya jike ahaa

  • @ManyanyaTz
    @ManyanyaTz 2 місяці тому +2

    Obheja Gowiza Ukushoka Kaya Ng'wana Ong'wise Hado Ujimejiwe

  • @Suzi_Ndatulu
    @Suzi_Ndatulu 2 місяці тому +1

    Mmmh Haya Sawa 🤔🤔🤔

  • @erastoyohana4318
    @erastoyohana4318 2 місяці тому +2

    Mimi nikushaul tu bwana mdogo amos fanya kazi usipende kurusha nyimbo kama hivi kwa ajiri kufaidisha watu imba nyimbo kwa ajiri ya usanii wako sio bifu kumbuka changamoto kila mtu humtokea kwenye kazi yake na ndo humfanya mtu akomae yan zinakuaga kama daraja la kuvukie kwenda ng'ambo ko usiichukulie changamoto kama pigo bali uchukulie kama funzo ili kesho uwe imara zaidi. Kingne unapendezaga sana ikiimba nyimbo zako za kisanii kuliko hizi achana nazo kabsa wewe fanya mambo yako kimya kimya tuwe tunaona kazi zako tu zinazid kuimproove kwa kasi kubwa na ndo ukubwa tunautaka sasa yaan inshort iga kwa father yako.mwisho mpambanaji wa kimya kimya ndio mara nyingi huibuka mshindi acha kumtangazia adui siraha zako au hasira zako atajiandaa kwa maana anajua umechukia na upo tayar kurusha chechote kwake.fanya kimya kimya mpaka uhakikishe yeye ndo anaanza kuropoka kwa watu .hapo utakua umemuweza tayar.by

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +2

      Nimekueeewa Sana erasito yohana kwakutambua kuna muda watu wanawwzaa kukukera mpaka ukapitiliza poa ngoja tumalize nao nahiii🙏🙏🙏🙏

    • @erastoyohana4318
      @erastoyohana4318 2 місяці тому

      ​🤝🤝🙏

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 2 місяці тому

    Hapa tuletee vidio tu mwamba si tuendelee kuenjoy

  • @kachelengwa
    @kachelengwa 2 місяці тому +1

    Sawa sawa

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 2 місяці тому +1

    ww kasikilize tinginaga nse ya gude, utaelewa😂

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Bado sanahiyo kasikile ngwana mpanda utaerewa

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 2 місяці тому

      @@wachachesana ngoja nkasikilize

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 2 місяці тому

      @@wachachesananmesikiliza mwanampanda, kuimba unajua sanaa, pole sana, sasa hii nyimbo ya mwanampotevu hii ndy itakutoaa kaka na ujulikane coz umeimba vzr sanaaa,

  • @PashangaOfficial
    @PashangaOfficial 2 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r 2 місяці тому +2

    Ukiona mtu mzima analia hadharani bila aibu ujue maumivu alopitia ni makubwa sana ko nyie mnaopinga maamuzi ya mwamba huyu ni kama vile siwaelewi. Na kingine nilichokipenda kutoka kwako Amos ni kwamba wew ni muwazi maana ake ni kwamba mtu akizingua hamna Cha mafumbo Tena Bali ni kuchanana live na ndio inavotakiwa Kwa mwanaume sasa

  • @josephjohn5
    @josephjohn5 2 місяці тому +1

    Kwani ukiimba tu bila kuweka picha ya mfalme gude gude ujumbe uliokusudia hautafikia?

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Sijajua ila kuupata ukweri neno mufalume utamuita muchungaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MohamedSaid-vw1hg
    @MohamedSaid-vw1hg 2 місяці тому +1

    Hahahahaaaa nahene

  • @willsontigiti8363
    @willsontigiti8363 2 місяці тому +1

    Tupo na ww mpaka gude gude akutoe kafara

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Aya kalibu kwenye kafala yangu sawa ila ukweri nitaujuatu

  • @msomezsaid
    @msomezsaid 2 місяці тому +1

    sasa sijaelewaa, hiyo picha ya fundi wa mashair ya nn, kumbuka huyo ni anatokea kwa mwanampogomi, na mwananengo, humuwez😂

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому +1

      Siwawezi kweri namm sina ushinsani ila napenda kuweka wazi maombi yao kwangu kisa shagwe LA mashabiki ulizia segese ndooo unilaumunsema nini basitu sikupenda napia namba akaae kimya liwe jiwe lamwisho hili mana naweza nikashuka mazito yahapa💪💪💪💪💪💪💪

    • @MasanjaSamweli-b3r
      @MasanjaSamweli-b3r 2 місяці тому

      MUNGU na mpogomi wapi na wap au umetumwa

    • @msomezsaid
      @msomezsaid 2 місяці тому

      @@MasanjaSamweli-b3r acha usenge, unadhani namchukiaa amos malingita namkubal sana💯

  • @DawaDawa-l2f
    @DawaDawa-l2f 2 місяці тому +1

    Wewe yangu macho 😅😅😅

    • @wachachesana
      @wachachesana  2 місяці тому

      Uhakika mm nipo watuwengine hatupendi kuchokoswa