Wimbo wakunitosha majonzi sana hapa Bukavu DR Congo. Pumzika kwa Salama Ni Shakila. Ulitumikiya dunia. Umetuachiya sauti n'a maneno yako kama urithi mkubwa sana. Nyimbo zako zatupigaka mioyo sana huku.
Wakati ulikuwa huo,si sasa,Tz imetulia hakuna njaa,kila mmoja alikiwa na uwezo kwa kiasi alichokua nacho.Taaribu kwa watu pwani na hasa miji ya mwambao wa Afrika mashariki kumbi zilifurika nyakati zote .

This is real no fake loving it respect from Canada oyee
Maneno yenye ujumbe nzito sana bi shakila
Vyakale dhahabu, pumzika kwa amani mamayetu, daima twakukumbuka.
Ata sichoki kuusikiliza ngoma imekaa vizuri sana
Ni vizuri kuvienzi
Aaaaah tumekuwa vikongwe,vibogoyo tunakumbuka yalopita,hayarudi Leo najihisi kijana
My favorite songs
Nyimbo zenye ujumbe mzuli sio nyimbo za sasaivi
Vya kale ni dhahaa bu
Kama ulitendwa ,sikiliza Maliwazo hayoo
nzuri sana
Nice
Fantastic
Wakati ulikuwa huo,si sasa,Tz imetulia hakuna njaa,kila mmoja alikiwa na uwezo kwa kiasi alichokua nacho.Taaribu kwa watu pwani na hasa miji ya mwambao wa Afrika mashariki kumbi zilifurika nyakati zote .
Sio kweli njaa ilikuwepo tena kali sana ,inaonekana we kipindi hicho wewe ulikuwa mdogo ule ukali wa maisha ulikuwa huuoni.
Santaaaaa
Tamu sana
Nikweli akukataaye hakwambii toka
Wawezaa ukae huwezi ondoka
@@aishamafita5280 sawa sawa maneno yametulia
@@aishamafita5280 👌👌👌⚘⚘⚘waweza ukae huwezi ondoka 😭😭😭 wacha nikae kuondoka siwezi 🙏🙏🙏😭😭😭
@@aishamafita5280 aslm Alaykum
Kwasasa Tupo msimu wa NYEGEZI tu stupid tu
Nice