UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2021
  • UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI

КОМЕНТАРІ • 165

  • @upendoloondokalembekela7748
    @upendoloondokalembekela7748 Рік тому +1

    Kanivunja mbavu na maneno yake, Mwenyezi Mungu ampe Ile linalo mfaa na kwenu pia watangazaji wa kipindi ichi,nawafuatilia toka jimbo la Colorado

  • @oscarmario466
    @oscarmario466 2 роки тому +13

    Huyu mchungaji ni zaidi ya mchungaji Mungu ambariki

  • @feisalissa3009
    @feisalissa3009 2 роки тому +25

    Habari zenu huyu mzee nimemkubali sana vijana wa sasa wajifunze ni Somo tosha kwa vijana big up 💞💯🙏 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @theclambiki110
    @theclambiki110 2 роки тому +14

    Nampenda Sana huyu mtumishi,anaishi na kuhubiri ualisia

  • @nvc_kwayaofficialchannel9483
    @nvc_kwayaofficialchannel9483 Рік тому +4

    Ninafarijika sana na kubarikiwa ni mtumish mwenye moyo wa kipekee sana

  • @abellabv
    @abellabv 2 роки тому +36

    Clouds, nashauri mpeni Mchungaji Richard Hananja kipindi chake maalum hapo Clouds. Anayo mengi sana ya kufundisha jamii.

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 роки тому +3

    Zaburi 50:
    3 Mungu wetu atakuja wala hatanyamaza, Moto utakula mbele zake, na tufani yavuma sana ikimzunguka pande zote.
    *MUNGU HATANYAMAZA! KWENYE CHANGAMOTO TUNAZOPITIA ATALETA CHANGAMKO! HATAKAA KIMYA BALI ATATUJIBU KUHUSU HALI TUNAZOPITIA KWENYE AFYA, UCHUMI, MAHUSIANO, NDOA NA MIKANDAMIZO YOTE YA NGUVU ZA GIZA! JINA LAKE LITATHIBITIKA JUU YETU SASA, HALELUYA!!!*

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 роки тому +10

    Katikati ya mbaya kuna jemal. Powerful sermon. I like your teaching. Vitoto utumwa!

  • @fabricekabs
    @fabricekabs 2 роки тому +19

    Asante Clouds, asante pastor RICH, "jana Historia, LEO ni ZAWADI, kesho itakuwa Maono...ASANTE

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 Рік тому +3

    Nimekupenda sana mchungaji una ujumbe mzuri mno nimechekapaka basi

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 2 роки тому +16

    Thamani ya mwanadamu haiondolewi na dhambi..

  • @moshalilian399
    @moshalilian399 2 роки тому +2

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu rich hananja tumefrah kea kwel tunakuombea

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 2 роки тому +4

    Huyu ndo paster anae jua kuongea kwa kulewesha jamiiii shukrani san

  • @joffreymkengwa9307
    @joffreymkengwa9307 2 роки тому +17

    Hii interview nliitafuta muda mrefu sana, asante clouds

  • @mathewmekemanuel1113
    @mathewmekemanuel1113 Рік тому +2

    Ki ukweli nmempenda mchungajo MUNGU ampe maisha marefu

  • @remigiuschilumba459
    @remigiuschilumba459 2 роки тому +6

    Huyu mchungaji nimemwelewa sana ana vitu vingi

  • @jerusalemp.c.e.achoir5809
    @jerusalemp.c.e.achoir5809 2 роки тому +3

    Huyu Mchungaji Mungu amtunze sana ili tujifunze mengi kwake.

  • @michaelmnkondya9518
    @michaelmnkondya9518 Рік тому +2

    Mtumishiii upo vizuri umenifurahisha sana karibu tena tunduma

  • @happinescharles1847
    @happinescharles1847 Рік тому +3

    Namkubali sana huyo Mchungaji

  • @janemwantowe9482
    @janemwantowe9482 8 місяців тому

    Duh!Mzee Hananja kweli wewe umenifurahisha Sana.Kumbe ulishapita mbeya vijijini SANTILYA, Kijiji nilicholelewa.

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 2 роки тому +4

    Daaaah,huyu mchungaji kiboko sana,anamisemo yakusisimua😛😛😛😛

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 роки тому +6

    Niliiona hii video kwa second 30 kwenye WhatsApp status nikaona Ni video nzuri leo 5/11/2021 nimeiona full time nimefurahi Sana

  • @vm_rr
    @vm_rr 2 роки тому +4

    Nimejifunza kwa raha sanah.

  • @edinadevis3856
    @edinadevis3856 2 роки тому +4

    Haki yamungu injili yakweli ,hatutaipenda sababu ina ukweli mwingiii, ! Niukweli Inauma Duh!!! Tuamshe vichwa bb maana najaribu kukumbuka lile wimbi la vijana kuzamia meli, kwakweli ilikua shida sn mtumishi :

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 6 місяців тому +1

    Namkubali sana mchungaji hananja.

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 роки тому +2

    Huyu mzee fundi wa kulea mateja anafurahisha sana

  • @karaoglan9444
    @karaoglan9444 Рік тому +10

    This Man is intelligent!

  • @portinakajuna4681
    @portinakajuna4681 2 роки тому +1

    Pastor Mungu Azidi kukuinua

  • @chuichui2191
    @chuichui2191 2 роки тому +5

    Nimempenda sana Huyu pastor

  • @ramadhanikiseko2226
    @ramadhanikiseko2226 Рік тому +2

    Kijakazi
    Kaziiiiii unaongeza kidogo😂😂😂

  • @gidyonmshani5259
    @gidyonmshani5259 8 місяців тому

    We Mzee nakukubali mno kweli maisha si kitu rahisi Kabisa,

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 роки тому +2

    Mungu akubariki una mchango mkubwa kwa jamii

  • @sostentulian4192
    @sostentulian4192 2 роки тому +1

    Dah 🙌🙌 madini kama yote

  • @theogeniusmathias9545
    @theogeniusmathias9545 2 роки тому +1

    Nimefatilia kwa umakini Sana hongera mchungaji

  • @KimbungaTheAfricanShow12
    @KimbungaTheAfricanShow12 Місяць тому +1

    UZEE UGONJWA

  • @Thierrymuhindo-vs8jk
    @Thierrymuhindo-vs8jk Місяць тому

    Kutoka Congo tunashukuru

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 роки тому +3

    Nguvu ya mama🤣🤣🤣🤣🤣ulimi safi

  • @msigwazakayo6878
    @msigwazakayo6878 2 роки тому +1

    Uko vizuri sana najifunza

  • @allyally3054
    @allyally3054 2 роки тому +2

    Daaah noma mzee

  • @godsonkaaya595
    @godsonkaaya595 2 роки тому +2

    Samu ujalia kwa kucheka kweli

  • @geofreygomela2118
    @geofreygomela2118 2 роки тому +4

    Uyu pastor safi sana

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 4 місяці тому

    Ubalikiwe mzee wangu

  • @thedoncomplex3679
    @thedoncomplex3679 2 роки тому +1

    Mchungaji yupo vizurii, Kameza vifungu balaa.

    • @innocentmushi1550
      @innocentmushi1550 Рік тому

      Yes, hiki kitu ni kama watu wengi hawaja notice. Ameshika mistari mingi sana ya Biblia

  • @maurusmwajombe492
    @maurusmwajombe492 2 роки тому +5

    Nimekupenda sana pastor,unamambo mengi sanaaaa yakutufundisha.Nami nimepata vitu vingii sanaaa kwako

  • @michaeldady1767
    @michaeldady1767 Рік тому +1

    Daah huyu Mch. Noumaaaaaa sanaaaaaaaaa😂😂

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 2 місяці тому +1

    Mm muislam lakin mchungaji huyu kuna vitu hua najifunza haongei pumba

  • @husseinnkuna4260
    @husseinnkuna4260 Рік тому +1

    Daah jamani huyu mzee ni hatariii😂😂😂

  • @noelfande3983
    @noelfande3983 2 роки тому +1

    Mmmmmh mzee anatoa madini sanaa

  • @hamisisaid7606
    @hamisisaid7606 Рік тому +1

    Mtumishi huwa namuelewa sana

  • @WILSONJOELTUNZE
    @WILSONJOELTUNZE Рік тому +1

    MasterMind of Tanzania

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 2 роки тому +7

    Daah jamaa kanunua Bus kawaachia mateja waendeshe, wakamgonga Trafiki 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 2 роки тому +5

    Watangazaji nimewapenda sana, coz mmekuwa wasikivu kuliko waongeaji sana,na hii ndo inaleta tafsiri ya the people station

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 4 місяці тому

    Ahaaaaaa eti shirt la dukani.

  • @hosianaallan7838
    @hosianaallan7838 2 роки тому +4

    Mchungaji hongera sana kwa Somo zuri,ninaona una kitu kikubwa sana Mungu akutunze na atunze kitu kilicho ndani yako

  • @abellabv
    @abellabv 2 роки тому +3

    Clouds, nashauri mpeni Mchungaji Richard Hananja kipindi chake hapo Clouds. Anayo mengi sana ya kufundisha jamii.

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Рік тому +2

    Uzee UGONJWA

  • @godfreymalema6434
    @godfreymalema6434 2 роки тому +1

    Pastor upo vzr sana

  • @jacksonsaileni1219
    @jacksonsaileni1219 2 роки тому +6

    Asante pastor

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 роки тому +1

    Mtu wa busara sanaa

  • @mwlpaulnghumbujanila6264
    @mwlpaulnghumbujanila6264 2 роки тому +1

    👏👏👏👏 PR hatar saana

  • @kilimbamazuki2987
    @kilimbamazuki2987 2 роки тому +6

    Barikiwa sana pastor Rich

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 2 роки тому +1

    Hananja ni WISEMAN

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому

    Nakukubali mtumish

  • @alexpatson8941
    @alexpatson8941 2 роки тому +2

    Nimejifunza mengi mnoo Pastor Rich ubarikiwe

  • @gabrielnjavike99
    @gabrielnjavike99 Рік тому +1

    🤣🤣apo kweny kumgonga trafic,, ila huu mzee ana madin san🙌

  • @owenyatv9142
    @owenyatv9142 2 роки тому +2

    Nimeinjoy sana kumskia huyu mchungaji

  • @damiannaftal773
    @damiannaftal773 Рік тому

    Dah uyu mzee

  • @edwinomwamba8803
    @edwinomwamba8803 Рік тому +1

    Mwizi havamii...

  • @rabanj5661
    @rabanj5661 2 роки тому +3

    Hatari sana, Unayajua maendeo ya songwe na Mbeya mpaka basi....

  • @faustapareso4802
    @faustapareso4802 Рік тому +1

    Ubarikiwe

  • @alexndonde3068
    @alexndonde3068 2 роки тому +1

    Yupo vizuri

  • @spaffordmediatv2250
    @spaffordmediatv2250 2 роки тому +4

    🙌 Hallelujah

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 Рік тому

    Leo hawa wezikutembeya vijana kazi kutobowa mapuwa

  • @leonardmponzi49
    @leonardmponzi49 Рік тому +1

    Leo nimefaid kusikiliza hananja

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 роки тому +6

    Mwulizeni Mchungaji kwanini mara nyingi yule uliyepanga kumuoa humuoi unaoa mwingine ambaye hujapanga?

  • @suysoni
    @suysoni 2 роки тому +2

    hahahha huyu Mchunagi ni mcheshi sana. NImemkubali sana.

  • @janethsilayo8314
    @janethsilayo8314 Рік тому +1

    Yeremia 31:26

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 2 роки тому +3

    Safi sana

  • @paulalal6239
    @paulalal6239 2 роки тому +2

    Nmejufunza sanaa

  • @yesayamwambu4431
    @yesayamwambu4431 2 роки тому +1

    Hongera kwa lugha safi Kiswahili

  • @mussamdetele5728
    @mussamdetele5728 Рік тому

    Huyu mwamba mhekeshaji lakini anafundisha sana

  • @vemchannel2018
    @vemchannel2018 2 роки тому +2

    Ameen

  • @emmanueljacob4303
    @emmanueljacob4303 2 роки тому +2

    Pasta uko vizuri GOD blesss uu

  • @kulwasamson8976
    @kulwasamson8976 2 роки тому +1

    Iko vizurii

  • @michaelmkunda5447
    @michaelmkunda5447 2 роки тому

    Mpeni kipindi cha jumapili,pamoja na kina haris na huluma, zaidi kutubariki!!

  • @richardrusunzu5311
    @richardrusunzu5311 2 роки тому

    Mungu akubariki mchungaji

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 2 роки тому +2

    Nitampata wapi huyu hananjaaa

  • @noelngowitechnicalsolution
    @noelngowitechnicalsolution 2 роки тому +2

    Anachekesha lakini anaelimisha

  • @charlesmaestro1092
    @charlesmaestro1092 Рік тому +1

    Aisee

  • @Mamkubwa
    @Mamkubwa 4 дні тому

    UZEE NI MARADHI..... Kweli kabisa

  • @benjaminibatakanwa2722
    @benjaminibatakanwa2722 Рік тому

    Mzee namkubar utan wa ukwer

  • @godfreysekumbo1523
    @godfreysekumbo1523 2 роки тому

    Hahahahahahahahah paster umenifurahisha Sana imekaa Safi sana

  • @mansuetuskalisto4869
    @mansuetuskalisto4869 Рік тому

    Aisee hii interview noma sana nimecheka mwanzo mwisho😂😂😂

  • @adelajunior5266
    @adelajunior5266 Рік тому

    Nakupenda hamani

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 Рік тому +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @jamesmwainunu9009
    @jamesmwainunu9009 Рік тому

    Habr mpeni salam zangu za zati mchungaj

  • @luganomwaipaja-bj6qz
    @luganomwaipaja-bj6qz Рік тому

    Mchungaji kwenye vifungu uko form

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Mchungaji Hananja kiboko.

  • @moshalilian399
    @moshalilian399 2 роки тому +1

    Alafu pia hiyo ni huduma usikatishwe tamaa na wapiga filimbi wa ulimweng, kaka ulivyokwosha kusema duniani kuna wabaya na wema, hivyo songs mbele baba mchungaji

  • @BGHaule
    @BGHaule Рік тому

    Utoto utumwa, ujana maswali na Uzee ugonjwa