Khaligraph Jones - Tuma Kitu (Official Video) Reaction
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- 👕 Thank you for making these reaction videos possible by supporting my clothing brand, JUST GO 🌎: van-isikaka.cr... Khaligraph Jones - Tuma Kitu (Official Video)
• Khaligraph Jones -Tuma...
Copyright Disclaimer Under Section 107 of the copyright Act 1976, allowance is made for “fair use” for purposes such as criticism, commenting, news, reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statue that might otherwise be infringing. Non profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use* ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS
Very nyc reaction there mister🔥🔥...
Swali ni ukiambiwa utume kitu utatuma kweli😂😂😂
Wisdom detected.. 🤔🤔🤔😎😎
Are u gonna showup at his place?
Asira Allan 😂😂😂putting it into context
John Q Cupid hmmm ntakula fare😂
That's why they say music is a universal language...
Likes za kenya hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥❤
This guy has save Africa hip hop.
I'm from Kakamega county...respect the OGs, mad respect from +254
Ken Mijungu is a former ntv news anchor, alifutwa juzi juzi
Big up from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kakamega ni mji like arusha. Kikomba ni soko kubwa Nairobi ya kuuzwa mitumba so nguo za kikomba ni nguo mitumba
Kakamega is a county in Kenya nice reaction 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is deadliest Reactor i have seen no @VanIskaka umeuwa baba 💪🔥🔥🔥
vipi vipi fanya reaction ya bahati missing you nyimbo mpya
Was wondering when this reaction will come through
Kakamega n county place moja hapa kubwa sana
Wah! Vaniskaka is on another level come to video reaction🔥🔥🔥 Big up
Ken mijungu.. used to work for ntv..
Kakamega it's a town in western part of kenya
Van sikaka tuma kitu Bana😁😁😁🇰🇪🇰🇪🇰🇪nakubali sana
Kuveveka ni kuserereka
Tuma kitu
Kuja Kenya ukae mwezi mmoja utaweza kuelewa lugha .....na pia utawajua waimbaji wengi
Reaction on point.... unafanya ngoma inabamba na si design 👊🏾 big up
great reaction videos bro. keep up the good work
Brayo ni jina lake real yuaitwa Brian
Kenyans speaking Swahili sanifu for Vanisikaka to understand haha
Kuveveka ni kukula miraa pamoja
Nice one brother good reaction yahman
Nakubali van
254 WE THE BEST
Nakubaliii vanny hukosei mzee🔥🔥🔥wajua mpaka unaboa
Kakamega is a place in Kenya
Ken michungu n mtangazaji wa tv moja hapa alipigwa kalamu
Kakamega ni mji magharibi mwa kenya
Ooh yeah🔥
Ken Minjungu ni NTV news presentor ambaye aliwachishwa kazi hivi majuzi.
Veveka - ni kuambua, kuchana mbuga, kula miraa. Miraa Sheng Inaitwa Veve.
Daah kumbe sikujua kabisaaa
@@Vanisikaka Ushajua Sasa. Umewakilisha vizuri hiyo reaction ya Papa Jones . Iko juu tu sana. Imebidi ni subscribe Leo.
Good, fanya reaction ya video ya YOUNG KILLER MSODOKI THE SON Mpya Inaitwa Blessing Van Nakukubali 🙏
Kuveveka - kutafuna miraa
Nice
Shikilia mselaaaa dogo on fire OG
Napenda reactions zako bro
Amini weeh zee!! Nakuwai toka mjini ivi Mombasa Og n keyboard soldier 💯 👊
Love from254 🇰🇪🇰🇪 reaction is so legit 🔥🔥
Kuveveka ni kuchana miraa (gomba)
Wanaita miraa mirungi kule bongo
Kuveveka ni kula miraa
Van huyu kk ni msanii wa wawapi
254 Kenya anaitwa Khaligraph jones
Kuveveka ni kukula mrungi🤣🤣
Rwabe inamaanisha mia mbili
Fanya video reaction ya willy paul ft jamaaa mmoja hivi jimbo laitwa kamati ya roho chafu
Kuvyevyeka ni kukumbia van
Nilikua nimengoja saaana hii reaction
Kuveveka ni kukula miraa.
BRIAN is Kali's real name..ya kuzaliwa
Nguo za gikomba ni second hand clothes , ni bei nafuu
Gikomba ni soko liko karibu na Kariokor, hili soko uwa linauza nguo za mitumba. Sasa huyu dem hataki nguo za mitumba, anataka nguo mpya
Sitaki pesa zachien mean hatki pesa za shetani
Otile brown mapenzi hisia
Kuveveka nikula marungi brother
Gikomba -2nd hand clothes market.. lol
Kakamega -Western kenya.
Kuveveka ni kula miraa bro Brayo ni sheng ya jina la Brian na jina lake la kuzaliwa, Gikombaa ni soko kubwa ya Kenya ilioko Nairobi inauza nguo za mtumba kwa bei rahisi
Kuveveka ni kula mirungi...(gomba,miraa)...nakumbuka kipindi kile 🙂🙂 nguo za kikombaa ni kama ukisema nguo za mtumba ya sehemu flani kwa bingo labda nguo zaa kariakoo😁😁
Reaction ni moto mzee
Kuveveka ni kula mirraaa
🔥🔥🔥
Kuveveka Ni Kula mirungi
🔥🔥🔥
Kikombaa ni soko kubwa lamitumba uku kenya kwetu
Kakamega ni mji huku Kenya.
Ken mijungu ni former presenter wa Nation tv
Respect OGs ametowa ingine khagraph ft japesa
React to khali cartel za khaligraph jones
Gikomba ndio soko kubwa east and central africa ya mtumba.na watanzania ndio wamejaa kwa iyo soko
mr vaniskaka nlikua nmetekea hio reaction kama sembe moto
we unajua ngwati nikusema nini ama unaropokwa
Miraa kwa jina lingine ni veve sasa wakati miraa zimekushika wanasema umeveveka
Kuveveka ni kula Gomba, Miraa or chewing khat
Kuveveka ni kula mirungi
stifler 254 😂😂😂akishindwa kuveveka atashika mirungi kweli
@@carolnjagicr7 We nì mziii 😂😂😂
@@Njeri_123 kuuliza tu😂😂😂😂😂😂
Kakamega ni mji fulani mbele ya Kisumu
Kuveveka ni kuchana, kula miraa
In this case kuchekesha Ni kugawana na watu uliowaacha nyuma kimaisha
Bryo ni yeye bado but anaitwa Brian Omollo
Kuveveka ni kuchana miraa van
Org katisha
Kuveveka ni kutafuna miraa
Gikomba ni soko wanaunauzaga nguo zimetumika
Nguo za Kigomba ni Second hand clothings yaani Mitumba as we call it here
Kakamega ni town fulani Western Kenya
Kakamega ndio nyumbani bruh
💥💥💥💥💥
Kuveveka ni wakati umetafuta miraa alafu zimekuweka mlevi
Kuveveka ni kuchanuka
reaction ipo lit 🔥🔥🔥
kuveveka ni kula mirungi 🤣🤣
Kakamega in mji fulani and gikomba ni soko Aiseee
Veve ni miraa kwaiyo kuveveka ni kuchana/kula miraa au mogoka
Kuveveka ni kuchana miraa kwa mpigo
7:01 Kakamega ni mji flani magharibi mwa Kenya.
min 6:56, Kakamega ni jiji lipo magharibi mwa Kenya, huko watu hula sima kwa wingi sana
WaTZ wengine hawajui sima. Sema tu ugali watanyita.
@@Njeri_123 tuma kitu
@@bwiznation nitumie ya kutuma ndio nikutumie
@@Njeri_123 hehe ohh,, safaricom walitoa ya kutuma
@@bwiznation nani amesema natumia Safaricom? 🙄
Nguo za gikomba ni nguo za mtumba zile za mwagwa siku za soko
Kuveveka Ni kukula miraa
Kuna hii "kokonya"ua-cam.com/video/qc0TyBUdGlk/v-deo.html
You have to be a Kenyan to understand this LOL
Ha ha sawa
Mbona sioni reactions za otile
Kakamega ni city fulani
Kuveveka ni kuchana Mairungi/Miraa
You know what😂😂
Kuveveka ni kuchonga Mairungi