[Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa! [Verse 1: Domani] Kibugudugudu! my guy hii si toy Ziwa Hurush na mi najienjoy Tuliwabumbrush H-Kiamaiko Buruklyn na mi si boyz Sina jongo sina form sina cheda Bila mbesha still machaji walichuna Ngeus una matress kwako sema form Munga mjinga niko zone Past curfew magiza niko biz Smady Tings alikujia magiz giz I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim I’m sorry ilidim, am sorry imedim Am sorry ah! ah! aiii! [Verse 2: Sir Bwoy] Subaru inakam na mambaru wamekrome Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong Digitali jaba kali shikisha na Dosh Maisha posh na maombre wa pale ni ka nankosh Taxin na magego za ogoro Zinawaka shinda torch za magwoch Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch Yeah, yeah Kwa hii darasa mi ndio teacher, mi ndio coach Zimewaka, zimeliet, zimemuoch Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe Maybe tukuthiokore na tukufanyange patient Boom boom, yeah yeah yeah yeah yeah Boom! [Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa! [Verse 3: Sewersydaa] Zihushika za kiwhiteboy Akiwa maduya riomo anacock toy Hicho kidurag isikufanye uingie kwa soil Bro na kidurag hudungwa na rock mboi, boy Hatuitishi ruhusa kuguza Tunaishi nchi rahisi hutundura Na ukisnitch juu ya clique unasundwa Shock delete unakam kuchunguza, umbwa! Cock de ting ka umekam kutunyuria Finger imekwama kwa trigger unabuya Usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa Ni genje njege walikam kuwatuma [Verse 4: Scar] Uh alikam na ki-du-du-du-dum! Kama huamini unaeza Google-um Saa hizo jaba ni maini na kindukulu Walifanya zote zishuke chini pungulu-pu! Ati Scarde amechange? Haha, ati Scarde amechange.. Kwani unaexpect nini Fathe akikubless? Ni ma pupu… ubitch nigga muanze kuvaa vest Cheki Dosh Dosh Hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos Chunga usipate baraka waseme ni wash wash Ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho Ki sh! sh! kinawaka popote umoroto Ma twa! twa! msupa wako akipewa kiboko [Hook: Sir Bwoy] Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa Subaru ya mambaru imekam na imejaa [Bridge: Domani Munga] Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Alikam na kinini? kiturutututu! Kam na kinini? Kibugudugudu! Kam na kinini? Ki Sh! Sh! Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha! Na imejaa!
Nairobi kuna mtaa unaitwa buruburu Saa domain anasema ako buruburu na ako clean Yani ameoga akangara na akavalia kisawasawa " Buru-clean na me si boy " Yani anacheza na maneno kisawasawa
"Cheki fala amekam na amezubaa Na anacheki ati Subaru ya mambaru Imekam na imejaa " ..Cheki fala amekuja na amezubaa na anacheki subary ya polisi imekam na imejaa
😂😂😂😂😂Buru is a place in in Nairobi, giz giz is weed, I'm sorry imedim-pole imezima,Subaru ya mabaru ni Gari ya polisi, kindukulu ni weed😂😂😂, Mos Mos - pole pole
[Hook: Sir Bwoy]
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
[Verse 1: Domani]
Kibugudugudu! my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H-Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz
Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still machaji walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone
Past curfew magiza niko biz
Smady Tings alikujia magiz giz
I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim
I’m sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah! ah! aiii!
[Verse 2: Sir Bwoy]
Subaru inakam na mambaru wamekrome
Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong
Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong
Digitali jaba kali shikisha na Dosh
Maisha posh na maombre wa pale ni ka nankosh
Taxin na magego za ogoro
Zinawaka shinda torch za magwoch
Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch
Yeah, yeah
Kwa hii darasa mi ndio teacher, mi ndio coach
Zimewaka, zimeliet, zimemuoch
Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe
Maybe tukuthiokore na tukufanyange patient
Boom boom, yeah yeah yeah yeah yeah
Boom!
[Hook: Sir Bwoy]
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
[Verse 3: Sewersydaa]
Zihushika za kiwhiteboy
Akiwa maduya riomo anacock toy
Hicho kidurag isikufanye uingie kwa soil
Bro na kidurag hudungwa na rock mboi, boy
Hatuitishi ruhusa kuguza
Tunaishi nchi rahisi hutundura
Na ukisnitch juu ya clique unasundwa
Shock delete unakam kuchunguza, umbwa!
Cock de ting ka umekam kutunyuria
Finger imekwama kwa trigger unabuya
Usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa
Ni genje njege walikam kuwatuma
[Verse 4: Scar]
Uh alikam na ki-du-du-du-dum!
Kama huamini unaeza Google-um
Saa hizo jaba ni maini na kindukulu
Walifanya zote zishuke chini pungulu-pu!
Ati Scarde amechange? Haha, ati Scarde amechange..
Kwani unaexpect nini Fathe akikubless?
Ni ma pupu… ubitch nigga muanze kuvaa vest
Cheki Dosh Dosh
Hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos
Chunga usipate baraka waseme ni wash wash
Ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho
Ki sh! sh! kinawaka popote umoroto
Ma twa! twa! msupa wako akipewa kiboko
[Hook: Sir Bwoy]
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
[Bridge: Domani Munga]
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
Mambaru ni police wa kitengo kinachoitwa, 'flying squad ' ambao hawavaangi sare
Bumburush - torosha
Giz giz - magizani usiku
Ilidim - weed kuisha
Mambaru - polis
Chuom - njia , mpenyo
Jaba - miraa matawi
Huku Kanairo masanse hutembea na Subaru. So inamaanisha makarau walikam na subaru wakiwa wengi na kidungi
Reaction yako Kali bro💯🔥🔥
Much love from Kenya ✌️💯
Love from Burundi 🇧🇮
Hey Van. Subaru ya mambaru inamean subaru ya mapolisi. Kenyan special police use Subarus coz criminals will spot them easy if they use the GKs
Nairobi kuna mtaa unaitwa buruburu
Saa domain anasema ako buruburu na ako clean Yani ameoga akangara na akavalia kisawasawa
" Buru-clean na me si boy "
Yani anacheza na maneno kisawasawa
🤜🤛Such a dope reaction like it🔥
Jaba maini ni Ile miraaa freshi na kindukulu ni bangi
Leo la mbota leo la watch, mbota ni saa
skiza 4 na kambao WAKADINALI ft Sirboy
mbaru ni zile peugot 504 used by police back in the day
Mbaru ni karao ...subaru yama mbaru
You are the best reaction in Africa
sooo true
Bro you have the best reaction 💪👊👊🔥
Ma mbaru ni ma CID means Directorate of criminal investigation wale wa usalama wa ndani
You know what..you're the best..
Mbaru ni mapolisi🔥🔥🙌
we sema tu umbwa iyo nyengine achana nayo😃😃
UMBWAA na capital letters 😂😂😂😂
Van. Fally ipupa ame tosha wimbo mpia « nzoto »
Fanya réaction please
Ça nous fera du bien comme d’habitude
its funny you also speak swahili but hakuna kitu unaelewa🤣🤣usijali lakini mi and you both.i love my kenyan music
Alicame na ki durururumdum😂😂🔥
mbogi inamaanisha "kikosi" fulani,cha marafiki,cha walevi,cha wanasiasa na kadhalika.Bora ni watu walio na uhusiano mmoja kwa jambo fulani
Giz Giz ,inamanishaah night time
Nafurahi ukiulizia sheng😂😂👏🏽
Ati unaogopa kanairo 😂😂😂🇰🇪
"Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
"
..Cheki fala amekuja na amezubaa na anacheki subary ya polisi imekam na imejaa
Geri- gang
Inengi-Ingine
Shikisha na Dosh, shikisha jaba na Domani
mambaru n kitengo maalum cha polisi kiitwacho flying squad kutoka general service unit na kwa kawaida huwa hawavai sare rasmi
giz giz its weed and dim weed kuzima
nishaa view bro
Ku deem.. ni ku zima
Mbaru ni... askari
Giz ni rolling paper
Mpeleke na rieng...
Reaction king👑👑👑 fireeeeeeeeee
Next react location 58 from buruklyn boyz💸🗺️🇰🇪🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Polisi wa kenya skuizi wana tumia subaru kama gari zao. Sasa ndo unaskia subaru ya mambaru yani subaru ya polisi
Jaba maini ni miraa fresh
Giz giz ni usiku
How did you miss UMBWA!!!!????????????????????????????????????????????????????? Sewersyda
How😂😂
Geri inengi ni another gang...inengi ni ingine na geri ni gang
Nakubali reactions zako mkaka,kenya
ebu download kitu inaitwa KICHEKO NI DAWA BY KAI , uone vile wakenya hawaelewi kiswahili, utacheka hadi ulie
Mnyamwez 🔥🔥...uko top bros big up
"Ngeri Ingine".....
UMBWA
Ngeuz - dem . Form - Mpango
Mambaru ni police 🗣🗣🚨🚨🚔🚔
React kishash ya lilmaina na ndovu kuu
Itha mbaya lola mbota lola watch😂#RR
Talent😎🇰🇪🇰🇪👌
kuna ngeu ni dem,kishash ts higher grade,kidura ni simu,kusundwa ni kuuliwa
Mabaru ni polisi. Polisi wame kamu na wamejaa kwa subaru
Giz Giz usiku
Jaba Kali ni khat na bangi
Polisi kenya hutumia gari ya subaru na mambaru ni polisi
Unyamwezi
Endlich 😁👌
💯💢💥
Na imejaaaaa
Fanya moja ya Geri soweto BRO
Geri inengi ina maanisha another gang
😂😂😂 sheng yetu utawezana??
DOMANI🔥🔥🔥
Domani ni moto yani
uta react lini wimbo wa mbuzi geng na lava lava
Subaru ya Mambaru -Gari ya polisi- Mariamu
Am sorry nimedim -Shadda imezima
mambaru ni polisi🪖na ukisnich juu ya clich utasundwa⚰⚰
Jaba ni maini
Muguka ile safi
You know what Tupe ya Chikuzee cheza Mombasa 001
😂😂😂😂😂Buru is a place in in Nairobi, giz giz is weed, I'm sorry imedim-pole imezima,Subaru ya mabaru ni Gari ya polisi, kindukulu ni weed😂😂😂, Mos Mos - pole pole
We ni fala nini ,? Giz giz ni usiku si weed ,
Gizgiz ni Usiku
Digitally ni aina ya jaba ambayo ameshikisha na dosh(din munga)
mshamba wewe 😁😁😁 +254
Giz giz ni gizani
Geri ni "Crew" na inengi ni ingine but reversed so it is the same as geri ingine ama "another crew"
Jaba ni miraaa
Jaba ni mogoka mseh
geri inenji means group ingine....
👸🏿👊🏿👊🏿
Giz giz ..usiku
Giz giz ni giza
Karibu 254 van
Mabaru n police
Finally ukatimiza comment 🔥🔥
Geri inengi - ngeli ingine, ogopa kanairo mchizi😅
Geri_Gang
Inengi_Ingine
Another gang
thee UMBWAAA BUANAA YOU DIDN'T GERRIT
Jaba ni mirungi inafaa kufanana maini ndio bomba na ndukulu ni Bomu/kishada
Giz giz ni usiku yani ana sema usiku ndo shughuli za kusaka pesa
Kindukulu ni kulombotov
Sure 🔥🔥🔥
Even us Kenyans don't understand most of this stuff
😂😂
Speak about yourself...ATI US.. 🤡🤡
Ilideem yaani weed ilizima..
Gizgiz...weed
Giz giz ni flag bradhe
Geri inengi means another group
Geri inengi "ni group ingine"
Geri.... Ni mtaa
Inengi..... Ingine
We wacha kumkanganya ati Geri ni mtaa.....🤣🤣Geri ni mbogi
Giz giz n magizani buda
Mambaru no police my guy
Finger imekwama kwa trigger na umeogopa(buya)
Buru clean na si boys😅😅
Na buruklyn na me si boys
Uyo ni polisi alioiba hiyo nyimbo subaru ya magwaru
Mambaru ni ma sanse...ma polisi
Ati alikam na kinini....?