My name mate! Nikitaka kusikiliza Hip Hop, huwa narudi huku. Rappers wa siku hizi mboyoyo nyingi. Hawana content, their songs doesn't last longer. Wanabishana kuhusu "ukali" wakati kazi zao siye walaji hatuzielewi. Wanatakiwa wavipe nafasi vipaji vyao, badala ya maneno, viongee. Na sisi, pamoja na kwamba hatujui lolote kuhusu BARS nk, we have our own way of getting caught up in the mood when you are all rapping! There is an emotional aspect of music that what really matters to us. Ndio maana tunaweza kusikiliza hata kuch kuch hota hai na tukaburudika. Professor Jay, you have left a legacy. You are the Father of the Bongo Rap Game..

unatisha sanaaa lijend wangu nitakukubali mpaka natoweka duniani
2023 Nani mwingine ameimiss hii ngoma? Ngonga like
Yaani mkali mpaka unakera..
Dahhhhh shidaaa
Unampa lifti nyani unamwacha mwanadamu ni kweli kaka
Upo juu sana
Mko wapi siku hizi tumewamisi ngoma Kali Sana Rudi kwenye mziki mzee Baba
All the way from UK
The time when hip hop was real
ngoma Kali sana
Hawez kuja tokea tena
Big Up
Hatari
P funk Kaunda bonge ya instrumental big j kamanda wa kimara kwa mzee majanjala kitambo kweli mzee
The best track from Nigga Jay
What a hit... So Lyrical..
Na Beat imesimama hatari..Kuna String inasikika kama keyboard imecharazwa hatari
Atari sana
kitambo xn
Mkn sana kweri wewe professor olgno
Profesa Jay you are my favourite Sir since 2003...keep up
Big up Prof Jay.🙏🙏🙏
Inaweza mn
So good
Sept 2023
Quick recovery BIG BROTHER Real OG, Joseph Haule 👑
Ni kama alijua atakiwa mbunge duh!
WE love you Jay naaaaam
Mnoma Sana..
Noumar mbunge wa mikumi mwanainchi wako apa
2019 bado unahit brother congrats
Haya madude hatar
Ebwana ngomali sana jamani
Waaaaaauuu Dec 1/2019 still watching
Iko njema xana