💔💔💔💔💔 Sijui MWIBA wako ni upi my sister ,my brother, sijui ni mapito gani unapitia , sijui kile unapitia , sijui haja ya moyo wako ila najua Mungu ni mtetezi wako na Mwisho wa siku satakushindania 💪💪 nataka kukutia moyo na hii verse Corinthians 10:13 maandiko yanasema kwamba pamoja na hilo jaribu Mungu atafanya mlango wa kutokea atakufuta machozi na zote tuseme Amina🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Umenipata kwa wakati unaofaa my mum being bedridden ,being a first born in a family of 6 and a breadwinner nimefika mwisho, niondolee mwiba huu nafsi yangu imechoka Mungu mponye mamangu mwiba huu uniondokee😢😢 Mungu mfiche mtumishi wako fenny kerubo chini ya mbawa zako maana nyimbo zake sio nyimbo tu ni ujumbe unaotoka kwako Mungu unamtumia watu wako wapate ujumbe please God elevate her she's decent in her calling, may she enjoy every part of her calling ❤❤
Napenda kukujulisha kwamba wimbo wako wa Mwiba umenigusa sana na kuniliza kwa namna ya kipekee. Maneno yake yamebeba ujumbe wa kina na kunikumbusha jinsi Mungu hutumia majaribu kutufinyanga kwa utukufu Wake. Ni wazi kwamba Roho wa Bwana alikuongoza kuandika na kuimba wimbo huu. Endelea kuwa chombo cha baraka kwa ulimwengu kupitia huduma yako ya uimbaji. Mungu aendelee kukuinua na kukutia nguvu kila siku. Ubarikiwe sana!
We love you mumy no matter what wewe n mahindi ❤❤❤❤ombi langu kwako n umalize na mungu salama umenibarriki sana kutoka nikiwa mdogo nilipnda nyimbo sako umefanya niko mtu wa maana kupitia nyimbo sako mama nakupnda ❤❤❤
Waaa what can I say but,, I say thank you God for your powerful servant Fenny.popote Ulipo mama nakuheshimu tu Sana. Ombi langu Kwa Mungu mwaka huu naomba aniondolee kila majaribu yanayokuja kwa maisha yangu. To say the truth napenda nyimbo zako Sana. God bless you abundantly mum. Listening from Donholm Nairobi
What a beautiful uplifting song when I am at my breaking point..so tired and broken..I believe Yahweh will come through for us who have nobody else but him...
🎉🎉🎉❤to anyone undergoing hardship of anykind...may God remember this year...may this be your year of Exodus...may you come out of that with sucess in Jesus name i declare and degree. You are blessed Kerubo...more grace upon you dear
Yessuuu mwiba huu yesu in my family rescue us lord 🙏🙏🙏🙏🙏 Love you mama God bless you tukiwa pamoja kwa maombi Somthing is hurting so hard 💔😢 but i believe God is in control🙏🙏
Baby girl this is a very powerful song,Been crying listening to this song again again and I have promised myself that I will make this song my prayer until something happens. Mummy you are such an heavenly instrument in our generation n whatever that it is,may God wipe your tears n heal your wounds. Hugs bhaba❤❤
Barikiwa Binti Sayuni Mungu akuinue
Asante sana Mama nanyenyekea sana na pia ninaeshimu neema ilioko juu yako 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mom nakupenda sana
💔💔💔💔💔 Sijui MWIBA wako ni upi my sister ,my brother, sijui ni mapito gani unapitia , sijui kile unapitia , sijui haja ya moyo wako ila najua Mungu ni mtetezi wako na Mwisho wa siku satakushindania 💪💪
nataka kukutia moyo na hii verse Corinthians 10:13 maandiko yanasema kwamba pamoja na hilo jaribu Mungu atafanya mlango wa kutokea atakufuta machozi na zote tuseme Amina🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Amina dada❤❤
Amen❤
Thanks Fenny for bringing this song out - looks an answer to my cry after loosing my sister in December my heart is broken 💔 and hurting. 😢😢
Amen wonderful message
always my best majaribu ni mengi lakini mungu hakika sio binadamu ❤❤❤❤❤❤ keep on moving dear sister
Umenipata kwa wakati unaofaa my mum being bedridden ,being a first born in a family of 6 and a breadwinner nimefika mwisho, niondolee mwiba huu nafsi yangu imechoka Mungu mponye mamangu mwiba huu uniondokee😢😢 Mungu mfiche mtumishi wako fenny kerubo chini ya mbawa zako maana nyimbo zake sio nyimbo tu ni ujumbe unaotoka kwako Mungu unamtumia watu wako wapate ujumbe please God elevate her she's decent in her calling, may she enjoy every part of her calling ❤❤
It's well sister, let Devine healing locate your mum in Jesus name 🙏🏻
It is well in the Lord
😭😭😭BABA niondolee hiki kikombe,,,mwiba umekuwa mkali😭😭BABA umwaminifu najua utatenda,,my mentor mummy,kazi nzuri waifanya,mungu na akuongezee neema katika huduma yako,,keep blessed 😭😭
I will always love your songs forever am a ugandan but hustling in qatar God bless 🙏 ❤
Amen 🙏
Wawuuuuuu wawuuuuu Love song God bless you sister fanny courage❤❤❤🎉🎉🎉
Welcome in Jesus' name am also a Ugandan Lives here in kenya
Also Ugandan in Qatar, this woman's songs are beautiful healing food to my soul 🎉❤
Amen 🙏 welcome kenya 🇰🇪 brother 🙏 ❤
Napenda kukujulisha kwamba wimbo wako wa Mwiba umenigusa sana na kuniliza kwa namna ya kipekee. Maneno yake yamebeba ujumbe wa kina na kunikumbusha jinsi Mungu hutumia majaribu kutufinyanga kwa utukufu Wake. Ni wazi kwamba Roho wa Bwana alikuongoza kuandika na kuimba wimbo huu. Endelea kuwa chombo cha baraka kwa ulimwengu kupitia huduma yako ya uimbaji. Mungu aendelee kukuinua na kukutia nguvu kila siku.
Ubarikiwe sana!
Kazi nzuri sana❤
Ee Mungu niondolee huu mwiba,,, umekuwa mkali na mchungu maishani mwangu.... Barikiwa mtumishi kwa huu ujumbe
amen ❤❤❤❤❤❤❤
Mwimba huu ni mkali 😭😭😭😭😭my heavenly father intervine😭😭😭😭😭😭😭😭😭moyo wangu umeumia vya kutosha come through Lord
Mungu niondolee mwiba 😭😭😭nimejaribu nimefika mwisho Mungu fungua njia 🙏🙏
wow what a blessed and an inspiring song may GOD KEEP YOU AND BLESS YOU😇😇
Oh Lord of mercy please niangalie na uni hurumie nitie nguvu nimechoka wimbo wangu huu😭😭😭😭🙏🙏
Hallelujah hallelujah vikombe tume pitia baba Asante kutucusha nakutuondolea baba so emotional 😭 😭😭😭😭🙏🙏
Eeeh mtumishi wimbo zako zinanibariki sana, niondolee mwiba huu Yesu nipe amani Yesu wangu🙏🙏
Wimbo unaguza nafsi kwa wakati wake hakika...barikiwa unapozidi kubariki nafsi yangu...Amen
Huu wimbo umeniguza sana.mungu niondolee mateso na shinda na kilio .katika family yetu iyonekani😭😭😭😭
Niondolee mwiba huu mungu wangu🙏🙏 napenda nyimba zake saana fenny be blessed 🙏❤️❤
We love you mumy no matter what wewe n mahindi ❤❤❤❤ombi langu kwako n umalize na mungu salama umenibarriki sana kutoka nikiwa mdogo nilipnda nyimbo sako umefanya niko mtu wa maana kupitia nyimbo sako mama nakupnda ❤❤❤
MUNGU NIONDOLEE HUU MWIBA,thanks sister for the great inspiration
I will always continue to love your songs forever am a Kenyan and be blessed 🙏🙏
Amen huu wimbo unafanya nalia nikifikiri wat I hv been pssng through bt God wipes my tears nowadays am blessed
this is the true gospel songs we want ,,,,may God bless you,,,you are blessing to me day and night
Huu wimbo nimesikiza mara mia
Hizi nyimbo mbili nazo Madhabahu na mwiba huu. Si semi kitu❤❤❤
Wimbo umeniliza kam umeniimbia mm mungu auondoe mwiba unaoharibu maisha yangu barikiwa feny
It's a powerful prayer to God ,,niondelee mwiba huu ,2025 ukue ni mwaka wangu Mungu wangu😭😭😭😭
Waaa what can I say but,, I say thank you God for your powerful servant Fenny.popote Ulipo mama nakuheshimu tu Sana. Ombi langu Kwa Mungu mwaka huu naomba aniondolee kila majaribu yanayokuja kwa maisha yangu. To say the truth napenda nyimbo zako Sana. God bless you abundantly mum. Listening from Donholm Nairobi
Congratulations my sister hii wimbo himeninguza sana
Kazi nzuri ..Mungu pia Mimi niodolee mwiba
Asante sana kw wimbo Fenny,nashukuru mungu anazid kuniondolea huo mwiba
What a beautiful uplifting song when I am at my breaking point..so tired and broken..I believe Yahweh will come through for us who have nobody else but him...
😢😢😢utendewe mema kwa wimbo hukuwa kweli MUNGU atuondolee mwiba huu
What an amazing song....May God continue uplifting you...I really love your songs they are ever presentable and encouraging 🥰🙏
Ubalikwe sana pasta good my friend ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo umeniguza sana mungu niondelee huu mwiba umekuwa mkali xana maishani mwangu
Nifutee machozi Baba kikombe nimekitumia Kwa miaka mingi eeeh Mungu niondolee mwiba huu,umenirararua .
Lord of mercy please niangalie n unihurumie , nitie nguvu nimechoka 😢😢😢😢 let 2025 be year
Mungu niondele mwiba kwenye maisha yangu maana pekee yangu sitaweza,give me knowledge and understanding
Mungu niondelee huu mwiba unachoma moyo wangu Barikiwa sana mtumishi
My sister Bwana YESU akubariki sana this is fantastic song😭😭😭
The song is here at the right time, niondolee huu mwiba wa magonjwa Niko chini since 1st Jan of this year Jehovah Rapha😢
🎉🎉🎉❤to anyone undergoing hardship of anykind...may God remember this year...may this be your year of Exodus...may you come out of that with sucess in Jesus name i declare and degree.
You are blessed Kerubo...more grace upon you dear
Please fenny tumia sauti yako i like it otherwise the song is lit mungu niondolee mwiba huu God bless you mummy❤❤
This songs remind me alot that ave been going through i pray that God will restore my happiness and lift every burden upon my life❤.
Amen 🙏 may God bless you for ever and more i love Ur songs so very much 🙏 God bless you child of God 🙏❤️
Yessuuu mwiba huu yesu in my family rescue us lord 🙏🙏🙏🙏🙏
Love you mama God bless you tukiwa pamoja kwa maombi
Somthing is hurting so hard 💔😢 but i believe God is in control🙏🙏
Eye ne engero engiya❤😊
Congrats kerubo.. Umenibariki kupitia huu wimbo.
Niondolee mwiba huu wa magonjwa bwana,barikiwa dadangu kwa wimbo mzuri umenitia moyo🙏🙏🙏🙏
MUNGU niondelee mwiba Huu,ya kudhulumiwa,nakumbuka nimedhulumiwa fedha zangu,Na bibi ya pastor,niamini nami MUNGU wangu nipiganie baba yangu
How a blessing song😭😭
Barikiwa sn mtumishi
Powerful song ..Umenifikia Kwa wakati uliofaa ..be blessed big sister more grace.
Passing through alot bt huu wimbo umetiaatumaini sana.....God bless u Fenny .
Be blessed fenny, don't get tired of giving us new songs, continue with the same spirit.
Wewe ni wa baraka sana. Huu wimbo umenibariki kuusikiza. More grace 🙏🏽❤️✈️
unabaya mungu akushue baraka tere
Hongera sana dada Mungu azidi kukuinua kwenye huduma ya uimbaji.Wimbo umenigusa sana frm Tanzania
🎉🎉🎉
from tanzania
anaye skiriza wimbo huu akika mwiba umetungusa miyoyoni barkiwa sana mama from tz
Wauh🙏🙏nice song I got it at the right time.thankyou God
😢😢😢blessed mum ..jose mwana wa utaio watching live at traszami embakasi
May God bless you and lift you Fenny 🙏 Mungu niondolee mwiba huu🙏🙏
Niondolee mwiba huu Baba naomba nimeshoka .
Waa wimbo huu inanitia nguvu ❤❤🙏🙏🙏
Am a Ugandan.and i really enjoy Kenyan gospel music ❤ be blessed
Yesu naomba uniondolee mwiba huu😢😢Asante mama kwa wimbo huu,Naamini tutashinda vita kwa Jina la yesu❤
Asante kwa wimbo huu ni maombi yangu Mungu uturumie Amen 🙏
Hii song nimeskiza kutoka jana am not getting tired ❤❤❤
❤❤ my mum nakupenda sana. Pitieni kwangu mnambie kuko aje pia mm
Kwa uhakika nimechoka na ukali wa miiba unabii wa kweli barikiwa
😢😢😢nikuja tu kumwambia Mungu Anitie nguvu,so that I can serve Him faithfully.
Mungu niondolee mwiba kwagu oooh yeees
Sisemi kitu mie..Hii ni yangu kabisa..Mwiba unaondoka sasa..it has not been easy jny..
It's a nice song kerubo you have been a blessing to us keep it up and God will uplift you high
Eeeh Mungu usie shindwa niondee huu mwiba, mwiba wa kudharauliwa juu sina ndoa, Mungu usie shindwa niondelee
Asante Kerubo Kwa Wimbo Wako Mimi Huyo.Zaburi42:3.1Wakorintho 10:13.Tuko Wengi Nehemia9:17 nikitambo🎉❤ 👌 Asubuhi Yaja
Baba nikumbuke kupidia kwa huu wimbo😢😢
Thank you very much fenny may the good Lord protect you and continue forward really
B blessed,,,thankx for ure good song❤❤
Mungu azidi kukuongezeya nguvu na ajili nyingi zakumutumikiya
is true mummy you are an inspiration to our generation
Be blessed the servant of the living God,the song has really blessed me
Oh God niondolee huu mwiba
Congratulations fenny u r going far,u r such ablessing to many,
God help us all miba imekuwa mingi watu hawajali usaliti kila kona😢🙏
Ubarikiwe sana .mungu niondolee miba yangu.
To those who are going through hard times cried until the end😭😭😭😭😭😭God please intervene
Blessed 🙏
Thanks sister Fenny for this wonderful song 🎵. What a timely massage 🫂!!! #watching from 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🌎 🇺🇲 🇺🇸 🌎 🇺🇲
Amen and Amen my God my father niondolee mwiba wa delay in Jesus name
Yesu naomba uniondolee huu mwiba nilionao,niongozwe na neema Yako baba ❤
Mungu niondolee huu mwiba.nimechoka n kilio Cha Kila mwaka waja iwe mwisho Leo full stop
huu mwimbo jameni nimelia sijui aki mimi
Amen amen sister fenny.....niondolee mungu mwiba pia mimi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Let's pray in silence for he who is in heaven will answer us in day broad light no matter the pains ❤
Baby girl this is a very powerful song,Been crying listening to this song again again and I have promised myself that I will make this song my prayer until something happens. Mummy you are such an heavenly instrument in our generation n whatever that it is,may God wipe your tears n heal your wounds. Hugs bhaba❤❤
Mwaka ni wa 2025 Mungu niondolee mwiba Huu ni mkali Sana......nimechoka
Mungu niondolee hii mwimba
Mungu wangu niondolee huu mwiba wa magonjwa, ufukara na mateso.
Wewe ndiwe mwenye uwezo mungu🙏🙏🙏🙏🧎♀️🧎♀️
There I am now, but I know it's my prayer and others who ever going this, there is God.