DR. SULLE | HILI NDIO TUKIO LA MWEZI KUPASUKA VIPANDE VIWILI | HAPA NDIO UTAONA NI KWANINI MTUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • DR. SULLE | HILI NDIO TUKIO LA MWEZI KUPASUKA VIPANDE VIWILI | HAPA NDIO UTAONA NI KWANINI MTUME NA SIO MWINGINE ANAE STAHIKI HAYA
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv

КОМЕНТАРІ • 28

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu akuhifadhi dct sulle nakupenda kwaajil ya Allah 💯 shukuru sana mungu akupe umuri mrefu

    • @TangaMashewa-qe8kk
      @TangaMashewa-qe8kk 11 місяців тому

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dayah2554
    @dayah2554 3 роки тому +7

    Nampenda dr sulle kwa ajili ya allah ❤mungu ampe maisha marefu andelee kutuelimisha

  • @mawaidhayakiislamu5417
    @mawaidhayakiislamu5417 3 роки тому +2

    Mungu akuweke sheikh wangu

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 роки тому +3

    Dr you are the best but about MAULIDI the way we celebrate it is out of sunnah...if we love our prophet Muhammad we should follow him

  • @ismailinussoinusso6613
    @ismailinussoinusso6613 3 роки тому +1

    Manshalh iam from Moçambique 🇲🇿🇲🇿 Moçambique

  • @aphrahanjopa5792
    @aphrahanjopa5792 3 роки тому +4

    Mungu akupe umri mrefu Dr,sule

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +1

    MashaAllah tabarakallah... Alhabiby Alhajj Dr Suleyman Allah akuhifadhi...

  • @abedinewsonetv881
    @abedinewsonetv881 3 роки тому +1

    Mashaallah

  • @ahmadpaschal7205
    @ahmadpaschal7205 3 роки тому

    Allah akubariki

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 3 роки тому +2

    Alhamdulilah mim ni Muslim

  • @ALISTIDESITWAZA
    @ALISTIDESITWAZA Рік тому

    Hahahaa
    Luka 10:21
    "Naye alishangilia Rohoni akisema mambo haya umewaficha wenye hekima na ufaham ukawafunulia watoto wachanga " siri za Mungu huwa wanafunuliwa watu wa Rohoni wewe tapa unavyotapa ila roho wa Mungu ndie anaetoa ufunuo wa Mungu

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 роки тому

    Salallahu Alaihi Wasalam

  • @rajabuluambano6366
    @rajabuluambano6366 3 роки тому

    Masha Allah alhabiib ila unakawaida ya kuhama mada

    • @ibrahimkhalid1019
      @ibrahimkhalid1019 3 роки тому +1

      Ttz hujui kuckilza mawaidha n mada hucika

    • @meekman1805
      @meekman1805 2 роки тому

      Hilo ni kawaida Hata Qur'an Sura moja inaweza kuwa na mada zaidi ya 1

  • @shaabankibinda6014
    @shaabankibinda6014 3 роки тому

    Naomba no. Ya sulle

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 3 роки тому

    Allahu Akbar

  • @asriyaaljabry27
    @asriyaaljabry27 3 роки тому

    Tumsifu tufate matendo kuliko madufu wakacheza disko waislaam tujihimize kumjua Allah na mtume wake

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 3 роки тому

    Una kesi ya utapeli kutoka kwa mwaipopo