UKIOKOTA "EMAIL" UTAIPELEKA WAPI?😃😃😃| Penyenye Za Kitaa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2019
  • #Penyenye Za Kitaa
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 93

  • @gayomaster3533
    @gayomaster3533 5 років тому +25

    Da mbavu zangu gonga like kama tupo pamoja

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому +1

      GAYO MASTER tupo pamokooooo master gonga lake na kwangu basi🤪

    • @khamisally6046
      @khamisally6046 4 роки тому +1

      GAYO MASTER 😂😂😂😂😂😂

  • @barakakings
    @barakakings 4 роки тому +5

    Gonga like hapa tumpongeze jamaa aliye vaa ticheti nyekundu,imeli haiokotwi

  • @kingally7816
    @kingally7816 4 роки тому

    Makini brother
    BY King Ally from mahembe kigoma.

  • @pizothe1269
    @pizothe1269 5 років тому +16

    mi nikiiokota2 naelekea mgahawani nanywea supu, ujinga sipogo nao.

  • @bonyemany4260
    @bonyemany4260 5 років тому +4

    Hatar sanaaaa!

  • @hassankitulotvsproduct8627
    @hassankitulotvsproduct8627 5 років тому +4

    Kuokota email dar ! Hatari ssna

  • @calvinderick2707
    @calvinderick2707 5 років тому +17

    Kama umeona wanawaiga bamba live weka like tujuane wafatiliaj wa bamba live🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @canymsigara9895
      @canymsigara9895 4 роки тому

      Acha mambo ya ajabu huijui hii ni ya kitambo pumbavu ww

    • @howardally4116
      @howardally4116 4 роки тому

      Calvin Derick brooh hii ya nwanzo kuliko bamba live

    • @lubavaclassic7048
      @lubavaclassic7048 4 роки тому

      Umechelewa kutumia UA-cam nduguyangu....Kati ya PENYEYE KITAA na BAMBA LIVE .....PENYEYE ndio ilianza kitambo nduguyangu.

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому

      Yaan ww

    • @andreamtewa4391
      @andreamtewa4391 4 роки тому

      Hii ya kitambo sana mzee kuliko bamba live

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому

    Nimecheka sana, kumbe watz bado sana

  • @PeterSarme
    @PeterSarme 4 роки тому +1

    Nilichogundua Tanzania ni nchi nzuri kuishi....

  • @allyelabad7370
    @allyelabad7370 5 років тому +2

    Ukiweza kuokota email bas subiria kuokota nyumba maan utakuw ni mtu wa bahat san😅😂

  • @fredriquechale6410
    @fredriquechale6410 5 років тому +5

    Wizara ya elimu mnajifunza kitu hapo?

  • @nebarthmoses6504
    @nebarthmoses6504 5 років тому +10

    Nimecheka nikataka nife

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому

      nebarth moses Hahahaha nomaaa

  • @muftimwaku9391
    @muftimwaku9391 5 років тому +3

    duh ase kumbe watu Ujanja bureee asee

  • @algulandaalsibani265
    @algulandaalsibani265 4 роки тому

    Apo kwenye kiti ondoka maana naona utabeba kunguni hahahaa

  • @ishanhisharjun6469
    @ishanhisharjun6469 5 років тому +4

    😁😁😁😁😁😁😁
    Eti naipeleka ndani

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому

      Frank Ishanshu 😂😂😂

  • @djmust2556
    @djmust2556 4 роки тому +1

    Mi naomba mwende na arusha jamani 😂🤣 kule kuna pasua vichwa wa kutosha

  • @juhudigambi2894
    @juhudigambi2894 5 років тому +7

    Maelezo 200 ametisha kwa uongo

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому

      Juhudi Gambi Haji manara kabla ya mechi🤣🤣

  • @realommy2552
    @realommy2552 5 років тому +3

    Watu wawe makini na udondoshaji wa vitu vya hatar kam hivyo duuuuh

  • @simplelife2183
    @simplelife2183 4 роки тому

    Ccm wanapenda sana kuona majibu kama haya kwa Tanzania

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 4 роки тому

    Unajikaza 🤙🏾🤙🏾

  • @felisterdaniel6316
    @felisterdaniel6316 5 років тому

    Mmmmmmm peoplesssss zinafulaishaaaaa aiseee!!! 😂😂😂

  • @lushilemmanuel768
    @lushilemmanuel768 5 років тому +1

    Hili suali halijakamilika vzr maana mtu anaweza akaandika e-mail kwenye karatasi bahati mbaya akadondosha ila huyo aliyesema vitu adimu ameniua sana

  • @ommydeonner4903
    @ommydeonner4903 4 роки тому

    Nakubl mwana tisha sana

  • @wilbard
    @wilbard 5 років тому +5

    Penyenye hufai...

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому

      WILBARD DAMAS hahaha Acha tu kaka 😂

  • @lusajomwasyandile5870
    @lusajomwasyandile5870 4 роки тому

    Dhuuu!!!!"wengi mbumbumbu kumbe😂😂😂😂😂

  • @olvarmark3097
    @olvarmark3097 5 років тому +4

    Swali halijakamilika hilo mzee baba umefel
    Unaweza ndio kuokota ikawa imeandikwa kwenye karatasi

    • @abdulmkanda2300
      @abdulmkanda2300 5 років тому

      Sio email ni email account sikiliza fresh

    • @mwansasu
      @mwansasu 5 років тому

      olvar mark E-mail uwezi andika kwanjia ya Karatasi

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 4 роки тому

      Hapo atakuwa ameokota karatasi sio email

  • @ishanhisharjun6469
    @ishanhisharjun6469 5 років тому +4

    Huyo nae maelezo mengi kumbe dooooooro

  • @khatibukhatib9926
    @khatibukhatib9926 4 роки тому

    Hahaha kukaa na vitu vya hatari ndani n0ma

  • @bakarialykitemwe9232
    @bakarialykitemwe9232 4 роки тому

    Sometimes ukiulizaga hayo maswali yako mwisho uwe unatoa majibu maana ndani ya burudani kunatakiwa kuwe na mafundisho pia mfano kama hapo ungewaelekeza Nini maana ya email na kuna siku ikiuliza kuhusu missed call tulitarajia tupate majibu baadae lakini hata mwenyewe haujajibu nikajiuliza huyu mtu anauliza asicho kijua au vp kumbe ni style yako so vyema kama ukiwa unatoa jawabu mwenyewe maana pengine hata ss tunao fatilia mengine huwa hatuyajui kwaio ukiwafundisha itakua umetufundisha na ss pia

  • @hajrarkuziwa730
    @hajrarkuziwa730 4 роки тому

    Ila huyu kaka anaendaga uswahilini Angekuja huku kwetu mbona ingekua issue 😂😂

  • @allyyahaya2606
    @allyyahaya2606 4 роки тому +1

    Hha mzinguaji ww kwan we ushawah kuiokota

  • @binlhadenthe_don1311
    @binlhadenthe_don1311 4 роки тому

    we msenge😂😂😂😂😂😂😂 unafuraisha sna

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому +6

    Yaani email utaokotaje? Jamani

    • @abdallaabedi2354
      @abdallaabedi2354 4 роки тому

      Rehema Ahamadi Ahmadi hahaha ndoivo mwaya onandugu zetu walioenda hadi sekondar hahah

  • @dttozacharia3740
    @dttozacharia3740 5 років тому +4

    Duuh! kuokota email

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому +3

    🤣🤣🤣yaan mtaniua kwakweli

  • @rashidjoseph2624
    @rashidjoseph2624 3 роки тому

    Duuuh namb zinaokotwa

  • @jacklinelwaga8789
    @jacklinelwaga8789 5 років тому +2

    😂😂😂mbavu zangu!

  • @rosechild5021
    @rosechild5021 5 років тому

    Oh my god that’s so funny

  • @tanntiger1207
    @tanntiger1207 3 роки тому

    oyaaa Kaka naomba nambaaaaa

  • @rashidihamisi6876
    @rashidihamisi6876 4 роки тому +1

    himeli unaokotaje jamani eeee

  • @tanntiger1207
    @tanntiger1207 3 роки тому

    mwanangu kwa namna flani Kama umefanana na Pogba flaní hvi

  • @cholobee8656
    @cholobee8656 5 років тому +3

    Dah email kwel hhhhhh

    • @profile4272
      @profile4272 5 років тому +1

      Cholo Wao hhahaha nomaaa

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 4 роки тому

    Nmecheka mpk bus 😲😲😲

  • @Rashidmhedhery
    @Rashidmhedhery 4 роки тому +1

    Mtaacha kutawaliwa😂?

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    😂😂😂

  • @monalisajuma5641
    @monalisajuma5641 4 роки тому

    Napita tuu utaokota email utaokotaje

  • @debosstv43
    @debosstv43 5 років тому

    dar24@gmail.com , sio poa kabisa 😁😁😁😁

  • @parasuminazi4403
    @parasuminazi4403 4 роки тому

    Dah mwanangu kwamatokea hayo kiboko

  • @rashidisalum1161
    @rashidisalum1161 5 років тому +4

    Hawa wapo nchi ganiiiiiiiiiiiiiiii

  • @shabanhamis7756
    @shabanhamis7756 4 роки тому

    Tatizo sio wanaojibu swali lako kuuliza swali watu wasio jua unachokiuliza tena kwa lugha wasioijua wewe ndo tatizo ulizeni maswali kwa lugha yao.

  • @vestonenewz8214
    @vestonenewz8214 4 роки тому +1

    Mm nikiokota email nitahila bila huruma

  • @ashajaphary7807
    @ashajaphary7807 4 роки тому

    Uwiiiiii🤣🤣🤣🤣

  • @harrisonkiriba5436
    @harrisonkiriba5436 3 роки тому

    Penyenye ndio nini? Maana yake nini?

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 4 роки тому

    TZ maelezo ndo zetu hata bungeni ndo ivo ivo

  • @kingmkunast3956
    @kingmkunast3956 4 роки тому

    Haaaah...

  • @pendoadam5908
    @pendoadam5908 5 років тому

    Ndio tatizo lakutumiya c m zamulika mwizi mana hata

  • @djchagatz6310
    @djchagatz6310 4 роки тому

    Hatar san hii

  • @mwanakitaatv9436
    @mwanakitaatv9436 4 роки тому

    Bamba live hii hapa

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 роки тому

    Maelezo mengi kumbe Kama boya wa sambona

  • @thequeenb3674
    @thequeenb3674 5 років тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @Animaltuntu678
    @Animaltuntu678 4 роки тому

    Amakeli wabongo vichwa vibovu

  • @hotboy2776
    @hotboy2776 4 роки тому

    Unazingua ww kuma