KAMPISTA: MPANZU RASMI MSIMBAZI ,FREDY AU ONANA NANI ATOKE?| SIMBA KUSHUSHA FORWAD MPYA |MZIZE MHH!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @statevibemedia
    @statevibemedia 2 місяці тому

    Fred aondoke, onana ni mchezaji mzuri sana, sema mizozo ya club ilokuwepo ndo iliwafanya wacheze kiwango kidogo

  • @ManenoLukas
    @ManenoLukas 2 місяці тому

    Amethibitisha Huenda Akajasimba Elia mpanzu Kiswahili kigumu kweli

  • @jestonmwaisaka
    @jestonmwaisaka 2 місяці тому

    Onana , Freddy wote waondolewe hakuna jipya hapo!!!

  • @MaikomaikoMaiko-f9p
    @MaikomaikoMaiko-f9p 2 місяці тому

    Joshua kahanza mbona kl xku mpanzu 3:23

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 місяці тому

    Mwacheni Fred ana kitu Fulani nadhani kitajitokeza msimu huu. Ila Onana apishe ubishoo umemzidi hajakitambua Bado hatuwezi mvumilia

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    HAO WOTE WAONDOKE ONANA NA FRED WATAFUTE WENGINE AJE MPANZU NA MAYELE AU MANZOKI KATI YA HAO WACHAGULIWE WAWILI

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 місяці тому +1

    Mzize aje simba kufanya nini

  • @MichaelJeremia-s4z
    @MichaelJeremia-s4z 2 місяці тому

    Hatumtaki mZize

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 2 місяці тому

    Fred safari imefika

  • @HamicKauno255
    @HamicKauno255 2 місяці тому

    Kwani dirisha la usajili si limeshafungwa mbona mnanichanganya

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 2 місяці тому

    Fred na Onana waodoke wote akuna chochote Bishop tu mpila hakuna

  • @khalidmgonja
    @khalidmgonja 2 місяці тому +1

    Swala la mzinze kuchez Simba sishaur at kdg ni ushamba tu

  • @mwitajohn4882
    @mwitajohn4882 2 місяці тому

    Simba fanya maamusi ya haraka, make timu haihitaji mabishoo kwa sasa

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 2 місяці тому +1

    Onana amepewa muda wa kutosha tumemuona uwezo wake Aondoke tu Fred Michael wacha tumpe muda

  • @AnnaKisiwani
    @AnnaKisiwani 2 місяці тому

    aondoke onana

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 2 місяці тому

    Fred wote waodoke

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 2 місяці тому

    Mbona ujajibu swali kifupi mzinze hana hadhi ya kucheza Simba

  • @FelicianSimon
    @FelicianSimon 2 місяці тому

    Onana out

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 місяці тому

    huyu jamaa anawaza kama mimi..nashangaa onana na fredy tumeona hawawez maajabu kwa nini uwafikirie wawepo simba tena???kuna u serious haupo simba ni maneno

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 місяці тому

    wote wawili ni wachezaji wa daraja la kawaida

  • @ISSASINAMBE
    @ISSASINAMBE 2 місяці тому

    Kama Simba inamuacha baleke yanga wanamchukua

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 місяці тому

    NA WEWE MWANDISHI SASA HUYO MSIZE UNAMTAJA WANN?

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 2 місяці тому +1

    Uongo mbona baleke alikosa nafasi kibao zambia ww chawa wa utopolo

  • @FredrickShanguya
    @FredrickShanguya 2 місяці тому

    Onana habaki

  • @AbdulyMShego
    @AbdulyMShego 2 місяці тому

    Hatumtaki huyo mzizi

  • @williammwenda4135
    @williammwenda4135 2 місяці тому

    Kwa hiyo wachezaji wabovu ndo wanapata nafasi simba?

  • @BenezethLutoha
    @BenezethLutoha 2 місяці тому

    We jamaa acha ushamba kwanza inaonekana wewe wa yanga

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 2 місяці тому

    Mmm ni kweli?