UKIFIKA URUSI NI TOFAUTI NA UNAVYOISIKIA KWENYE MEDIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 72

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 8 днів тому +2

    Manshaa Allah nimeipenda sana

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 День тому

    Story nzuri sana nimeipenda

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 10 днів тому +3

    Media za magharibi zinejaa itapeli

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 10 днів тому +3

    Bado wapo watu wanaendelea kutumika na marekani.dunia imejuwa ukweli.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 днів тому

      Mngejua ukweli mngekimbilia urusi kupata hifadhi lakini hamtaki kukimbilia urusi kwasababu mnajua atawauwa maana hata waislam kwenye nchi yake

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 10 днів тому +2

    ukitaka kujua russia mambo sio safi, muulize Dr shika

    • @mutaji5454
      @mutaji5454 10 днів тому +1

      Stori izo

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 10 днів тому +1

      Sasa si aliiingilia vitu havimuhusu na akawa anatumika na marekan

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 9 днів тому

      Ukiingilia mambo yao hawakuchekei. Hiyo ni kwa nchi nyingi tu.

  • @BakariMsoka
    @BakariMsoka 11 днів тому +1

    Haya ndio madini

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 8 днів тому

    Kaliakoo kaliakoo Foleni

  • @alexkatabi2951
    @alexkatabi2951 6 днів тому

    Taifa,

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 11 днів тому +2

    Haya ukitokaa Moscow Russia nenda ucrainee Kiev utuletee hbr kamilii 😮

  • @yordanyona8663
    @yordanyona8663 3 дні тому

    China walishamaliza....kwa tren wanatisha zipo chini ya ardhi

  • @JamesMoses-bf4qj
    @JamesMoses-bf4qj 5 днів тому

    Dada ,mimi nipo rudn hapa ,mikhluo maklaya

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 10 днів тому +1

    Nataman sana kijifunza kirusian na kwa sasa nimeanza ipo siku nitajiunga KGB naupenda sana thanx God

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 9 днів тому

      @@farajiissa560 😄😄😄 kwi kwi kwi. KGB? Kaitafute jaani! Sikulaumu, Bongo tuko 20 yrs behind the corner! Don't get me wrong! We are catching up with our Mwalimu Nyerere dam (if we can only control the floods!).

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 7 днів тому

      @Nedjadist sawa lakin ni ndoto zangu kua uko mungu anisimamie coz nataman sana pia kua raia wa urusi nashukuru mungu lugha naijua kwa 75 asilimia najua kirusi

    • @farajiissa560
      @farajiissa560 7 днів тому

      @Nedjadist ipo siku kila kitu kinaeezekana kwa kufata utaratibu kama kwako unaona haiwezekan ila mm naaamin ktk struggle zangu mkuuu

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 7 днів тому

      ​@@farajiissa560hongera sana Kwa kufahamu lugha ya kirusi Moja kati ya lugha naona ngumu kutokana na herufi zake lakini watu wengi wa ULAYA mashariki, katika nchi kama Georgia, Ukraine, Belarus,Mongolia nk wanaongea kirusi Kwa URUSI watu wengi wa mashariki ya ULAYA ni KABILA la URUSI 🙌

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 днів тому

      ​@@farajiissa560Nani atakukaribisha urusi wakati hawapendi wageni kwenye nchi

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 9 днів тому

    Dada unapotoa taarifa kuwa stable unaelezea kwa mihemko sana. Kwa ufupi hujui namna yakuelezea jamaa anapambana kukurekebisha lakini huelewi kitu.🤧🤧🤧

  • @yordanyona8663
    @yordanyona8663 3 дні тому

    hata China wana chai ya Baridi na ni nzuri sana kama soda tu

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 10 днів тому

    Urusi sio congo,urusi ni taifa kubwa,babe,yaani ni zaidi ya hawa marekani sema tumedanganywa kwa muda mrefu

  • @yordanyona8663
    @yordanyona8663 3 дні тому

    Dar tunahitaji tren za umeme tutafurahi

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 9 днів тому

    At least= Angalau
    Predict= Kutabili
    So far= mpaka sasa
    Moscow City= Jiji la Mosko
    Nn
    Kiswahili kinajitosheleza

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 10 днів тому

    Dada umesafiri Ila bado unatakiwa kuelekezwa namna ulivyosafiri

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 15 годин тому

    Lazima ujue hali ya hewa dubai kaelezea vibaya unapandaje ndege

  • @alexkatabi2951
    @alexkatabi2951 6 днів тому

    Ni muhimu mtembee mjionee,

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 9 днів тому

    Russia ndo nchi kubwa sana ulimwenguni eneo la km square 17.2 takribani zaidi ya nusu la bara la Afrika ambalo jumla ni km square 30.3

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja 10 днів тому +1

    Vita zinapiganaga mipakani huko siyo gaza hamasi wao wanajifichaga kwa raia

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 10 днів тому +1

      Kakwambia Nani Israel waongo Dunia yote wanajuwa kwamba wanaua laia na watoto

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 7 днів тому

      ​@@babuloliondo74Dunia yako ndiyo inajua, lakini wenye akili wameona Hamas wakificha silaha kwenye misikiti na majumba ya watu

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 7 днів тому

      @FridayMwassa msikiti sio kanisa unaweza ukaingia na viatu mbwa kimini suluali iliyokubana mpaka mstali waikweta unaonekana watalamu Kavita ukiuwa laiya watoto vibibi wanawake basi wewe vitaumeshindwa angalia ulussi anavyo pigana au Lebanon auwi laiya au ammasi vidume ivyo

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 15 годин тому

    Muongo huyo

  • @alexkatabi2951
    @alexkatabi2951 6 днів тому

    Taiga lisilo na lugha yao ni taifa mfuu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 10 днів тому +1

    Dada wewe no mjinga ficha aibu zako

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 10 днів тому

    Western media zimewapotosha wengi sana

  • @alexkatabi2951
    @alexkatabi2951 6 днів тому

    Msisikilize west media tu.

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 8 днів тому

    Muda unakua kwenye tickets

  • @alexkatabi2951
    @alexkatabi2951 6 днів тому

    Nimesoma miaka 7huko tembeeni ili ukijichanganya na watu ujue dunia inaenda wapi

  • @selesjandwa412
    @selesjandwa412 4 дні тому

    Nataman pia Kuja urusi nifanyaje?

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 6 днів тому

    Magu na SGR yake

  • @husseinc
    @husseinc 11 днів тому +3

    Propaganda za vyombo vya habari vya magharibi ilikuathiri

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 11 днів тому +2

      TATIZO YEYE alielewa vibaya alivyo sikia vita vya URUSI na ukraine YEYE Aliju vita vinapiganwa kotekote hakuna media iliyoripoti ivyo ni YEYE mwenyewe na uelewa wake mdogo

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 11 днів тому +2

    Hakuna cha propaganda bali yeye ndie hakuelewa

  • @MiswagaJr-h3k
    @MiswagaJr-h3k 11 днів тому +1

    Magari ya washa kwani kuna maandamano huko

  • @KidugoRashid
    @KidugoRashid 10 днів тому

    Vita iko Ukraine

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 9 днів тому

    Hiyo chai ya baridi mimi sikuiona na nimesoma huko miaka saba

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 9 днів тому

      Tatizo sio kusoma huko miaka saba Tatizo je ulipata muda mzuri wa kuijuwa Urusi vizuri? Tamaduni zao Vyakula vyao sera zao na mfumo wa maisha yao?

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 днів тому

      ​@@stevenlugojeremia2323Miaka saba!!! Mwaka mmoja language nilisoma jirani na Kiev likizo nilienda kijijini kusaidia kuvuna matunda lugha ni kirusi tu. Hupati bibi hadi ujue lugha hununui kitu dukani hadi ujue lugha. Mwaka wa pili wakati huo ikiwa USSR nilihamia Moscow miaka 6. Ni watu wazuri sana kama utaishi nao vizuri tumejichanganya tumecheza nao mpira hata wengine wameoa huko . Darasani mitihani mitaani kote ni kirusi tena kuna vya aina mbili kama kiswahili tu kile cha mtaani na kile cha darasani. Wewe muda huo uliokaa mchache tu maneno kibao. Miaka saba imagine halafu unasoma degree ya Medicine kwa kirusi bado utapita mawodini kwa wagonjwa lugha ni kirusi.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 днів тому

      Wengi wamesoma huko miaka mingi wengine hadi PhD wengi wameoa huko hizo stori zako mengi tu si kweli. Wakati ule ilikua free sana likizo tumetembe sana kwa treni tu halafu kule nauli ya ndege ni ndogo kuliko treni. Si kujua Urusi na mila zao tu bali hata Ulaya yote kwani tulisafiri kwatreni tu kila likizo hadi Finland tukavuka hadi Stochkolm tukarudi kupitia Marmo hadi Berlin Warsaw kurudi Moscow treni tu unanunua to and fro. Tulifika hadi Turkey London Berlin pale likizo ya wiki tulienda tukapumzika na kurudi. Tulifika hadi czechoslovakia wakati huo .Tulifija Hungary na Sweden tulikua tunaenda kuvuna matunda wakati wa likizo huko kote tumechanganyika nao na kujua baadhi ya mila na desturi zao. Lakini Urusi miaka saba huo ni umri wa mtoto hadi kumaliza shule ya msingi lazima ujue mengi tu kuhusu wenyeji wako taka usitake

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 днів тому

      ​@@stevenlugojeremia2323Hilo swali la ajabu na vichekesho. Miaka saba miaka ya elimu ya msingi mtu asijue lugha husika? Kule language ya kirusi mwaka mmoja tuliosoma medicine miaka 6 darasani ni kirusi na warusi wenyewe walimu ni warusi wanazungumza kirusi. Kuhusu vyakula sisi tuliosoma miaka ile vyakula vyote vilikua vyao na tulikula nao hata kupika nao na kuna waliooa na kuishi nao.Mila na desturi taka usitake utaishi kama wao . Hata wengine kuanza kunywa vodka na kuvuta sigara ili wachanganyike nao. Tena basi kuna kirusi cha mtaani cha matusi matusi na cha darasani kama zilivyo lugha nyingine kwa miaka yote hiyo zote lazima uzijue kwani utasemeshwa mtaani nacdarasani hadi kutukanwa mitaani. Swali lako naona umekurupuka tu na ukasahau kwamba miaka saba mtoto anaanza darasa la kwanza hadi la saba.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 днів тому

      ​@@stevenlugojeremia2323Kuhusu kuijua Urusi vizuri. Nalo ni kichekesho. First language year nilisoma Ukraine jirani kabisa na Kiev na likizo tulienda kijijini kusaidia kuvuna apples pamoja na wanafunzi wenyeji warusi huko shambani Summer wanavua nguo kubaki kama beach mengi tu tulishirikiana kwa upendo hapo lazima uone na ujue mila na desturi zao. Mwaka wa kwanza wa Medicine nilihamia Moscow kwa miaka 6 kumbuka zamani ilikua USSR chumbani hostel unaweza kupangwa na mwenyeji mrusi kuna hostel chumba chako lakini jirani zako ni wengine pamoja na warusi. Tumecheza nao michezo hasa mpira na hata kunyanyua vyuma. Madukani mitaani kila mahali ni wao tu kwa miaka saba ukose kujua vyote hivyo ukivyouliza?!??! Utakua kiumbe wa aina gani?

  • @Clementwilson-u4c
    @Clementwilson-u4c 11 днів тому

    Ngano hata Zambia tunapika kama kande tamu sana unachanganya na maharage

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 10 днів тому

    Dada anaongea hadi ananichekesha kwelikweli!!! Hahahahahahaha ulidhani Moscow ni hapa kwetu au. Weee kule kuna baridi haswaa, hivi unajua baridi?? Unaweza ukavaa nguo zote za begi lako afu bado unasikia baridi vibaya. Hii inaitwa Moscow. Ni barafu.

  • @masanjaelias5829
    @masanjaelias5829 10 днів тому

    Wew nawe hata unachokiongea hujui hiyo ukraine tu kyivu hakuna vita

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 11 днів тому

    Acha uelewa mdogo.....vita ya urusi haipiganwi ñdani ya urusi.....inapigana ukreni....kwenye nchi nyingine.kifupi nchi IPO vita I kwenye nchi nyingine ilio mpakakani Kwa urusi....ni kama Israel inavopigana nje ya nchi yake....ukienda shughuli zinaendelea....isipokuwa ktkt maeneo hayo baadhi watu hupewa tahadhàri au kuondolewa😅😅

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 7 днів тому

      Wewe jidanganye vita vya Israel na Hezbollah ni tofauti Hezbollah wanarusha makombora mpaka mji MKUU tel Aviv, Haifa, na galilaya sema Hezbollah wao wanashambulia sana maeneo ya Kambi za kijeshi na kuna Raia wa Israel zaidi ya 100000+ wamehama makaazi Yao kaskazini mwa Israel na kati Kati na nyumba zaidi ya 9000+ zimeharibika, 🙌

  • @SumuuKijoka
    @SumuuKijoka 11 днів тому

    bokoboko hiyo

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 10 днів тому

    Unakwenda Moscow unadhani kuwa ndiyo umeijua Russia yote?

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 9 днів тому

      Unaweza usiwe huko na ukaijuwa Urusi yote kupitia kwenye mitandao ya kijamii inategemea kwa jinsi unavyo Itumia akili ya na kidole gumba chako kina peruzi nini na pia inategemea kuwa dhumuni la kwenda Urusi ni nini kula bata au Kujifunza Taratibu zao za kimaisha kiujumla

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 8 днів тому

      Wewe mengi tu unadanganya. Kujua mahali uhalisi ni lazima uishi hapo ujionee mwenyewe. Uchanganyike na hao wenyeji . Wengine tumeishi miaka saba Urusi wakati huo USSR .Mengi kuhusu Moscow si kweli eti sasa ndio wanajenga reli za chini wakati reli za chini zilijengwa miaka ya 1945 50 na metro za Moscow ni bora zaidi duniani kwa marembo hadi urefukwenda chini na ngazj zake hadi huduma zake. Tumejionea treni za chini za ujerumani Sweden na kwingineko na kuweza kulinganisha​.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 10 днів тому

    London ndiyo jiji kubwa barani Ulaya. Tatizo mwaropoka tu hamfanyi utafiti!

    • @golebenson4597
      @golebenson4597 9 днів тому

      Ww ulishaenda wapi acha kupotosha.kwanza ujue UK ni kisiwa huwezi fananisha na moscow.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 9 днів тому

      Kubwa kieneno au kubwa kinini?

    • @Nedjadist
      @Nedjadist 9 днів тому

      @@golebenson4597 sina time ya kujibishana nawe. Kaa na nongo zako! Kila kitu kiko kwenye net!

    • @mtudidaniel9585
      @mtudidaniel9585 6 днів тому

      Huyu nae ni mjinga wanastahili kuelimishwa. Jiji kubwa kwa idadi ya watu barani Ulaya ni Moscow.
      Note : ujinga sio tusi😅

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 10 днів тому

    Wee unazungumzia mipango ya wenye akili, wafananisha nasi! Lini serikali hii itaacha akili ya kufanya biashara badala ya kutoa huduma? Eti wawafikirie wazee, walemavu, wanafunzi....umemsikia Samia hata akitaja kuna masikini wa kutupwa Tanzania?