DW Kiswahili | Chadema ipo katika uchaguzi wa Kikanda Tanzania | Maoni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Chama kukuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kipo katika uchaguzi wake wa ndani. Je kwa yale yanayojitokeza katika uchaguzi huo yanatoa mwelekeo gani wa kisiasa? Sudi Mnette amezungumza na mwandishi wa habari la muda mrefu na mchambuzi wa siasa za Tanzania Jackton Manyerere ambae anatoa tathmini yake. Msikilize na tujadili kwa pamoja. #DWKiswahili #Maoni

КОМЕНТАРІ • 5