Akhwan Swafaa - Nimesalitika (New Taarab Music 2018)
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- Akhwan Swafaa - Nimesalitika (New Taarab Music 2018)
The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Natamani kulia huu wimbo umenikumbusha mbali sana kipindi hicho naanza mapenzi na mtu wangu tulipendana mno na hii ilikua ndio nyimbo yetu pendwa😢
Mtafute ex wako umpigie... akumbuke enzii
Wamejaribu kuupiga wasanii Waleo. Lakini hii sauti bado hawaifikia... it is very special ❤❤
I LOVE 👍 ❤ THE MUSIC FROM" ALL OF IT❤👌"!
Enzi zimepita kwakweli.. nasisi pia tunaondoka pia..😢😢😢😢 nice memory
Wimbo mzuri sana sana hauchuji na hawishi hamu.
Tunakumiss sana kwenye taarab bi Sihaba. Big up sana sana
Hii ndio Zanzibar halisi!
Nyimbo nzuri ❤ huchoki kuiskiliza sio hizi taarabu za siku hizi kata funua
Hapo Sihaba alikuwa kwenye kile kinachoitwa kilele cha uimbaji au hatuwa ya mwisho ya uimbaji wake alipendwa sana wakati wake mashallah
Wimbo mzuri Sana mashallha hawishi hamu kusikiya
Sauti nyororo vyombo, Marahaba.
Nilikuwa naipenda saana hii nyimbo
Ama hakika vya kale dhahabu
I LOVE THE MUSICS OF THIS SONG" SOO MUCH👍❤" MAKES ME FEELS RELAX❤ OF MY HEART❤ N MY BRAIN MIND🤍👌"
Mashallah Sihaba Juma
ManshaAllah.
mmmhh..
👍❤❤❤❤❤👌
Thnx
Hizi ndo tarab lkn za miaka hii ni matus tuuu ezi hiz hata kupendana ni siri sio miaka hii
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
Nice
🥰🥰💯
+