SAMAHANI ASANTE |ep 17|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 494

  • @KitaleMkudeSimba
    @KitaleMkudeSimba  18 днів тому +152

    Heri Ya Mwaka Mpya..?

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 18 днів тому +82

    Mzee kama ramadhani kama upo vizuri sana tupia like kwanza hapa ndio twende sawa

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 18 днів тому +161

    Team mzee Kama Ramadhani Kama
    Tujuane kwa like.
    Happy new year guys 🎉🎉

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 18 днів тому +26

    Nyinyi mutarudi mimi wataniua,nyinyi nendeni Mimi nimewabariki😂😂😂Mzee mganga na ujanja wake wote anaogopa kwenda KOLELO...Heri ya Mwaka Mpya Samahani Asante Series2025

  • @AlphaMyonga
    @AlphaMyonga 18 днів тому +53

    Heri ya mwaka mpya wanafamilia wote wa Samahani Asante

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 18 днів тому +260

    Ay Ay Ay Ay Uuu! Ay Ay Ay Ay Uuu! 😂 Nani anakubaliana na mimi hiyo background music ya SAMAHANI ni hatari aweke like hapa haraka sana! 😂

    • @Gloriazawad
      @Gloriazawad 18 днів тому +3

      Unaonekana umeshiba sana pilau 🙈😂😅😅ndomana

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 18 днів тому +1

      @Gloriazawad pilau la wapi tena? 😁

    • @bensonmuindi7133
      @bensonmuindi7133 18 днів тому +1

      😂😂😂😂 tena Kali sanah from Kenya

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 18 днів тому +1

      @bensonmuindi7133 umeona ee! Ay Ay Ay Ay Ayyy Uuu!... 😁

    • @ChiepoTwalha
      @ChiepoTwalha 18 днів тому +1

      Wametisha jani❤❤

  • @jamesrobert8890
    @jamesrobert8890 17 днів тому +14

    Anakwambia Asante, Asante kubaya wangu dah! Jamaa anaimba sana ni bonge la msanii.

  • @sekondianacletus4537
    @sekondianacletus4537 18 днів тому +16

    Heri ya mwaka mpya kwa wanafamilia wa samahani ahsantee.

  • @Lulangwa.Jr.0084
    @Lulangwa.Jr.0084 17 днів тому +9

    Kazi nzuri kitale na team yako nzima..sasa usituangushe kwenye umaliziaji. You deserve AWARDS and Appreciate 🎉🎉

  • @ritajohn6789
    @ritajohn6789 18 днів тому +17

    Uyo mzee mchawi yupo vizuri nae pia❤ maua yake tumpeni jamani🎉 happy new year My friends 💗

  • @Nzoya-z3h
    @Nzoya-z3h 17 днів тому +10

    Tuloshituka anaimba ni msanii kayumba gonga like

  • @EduarteCasimiro
    @EduarteCasimiro 12 днів тому +2

    Tou apidir este música, Ay Ay Ay Uuu Uuu Ay Ay Ay Uuu 😂 Sou de 🇲🇿

  • @KamariaAmeir-rx2dc
    @KamariaAmeir-rx2dc 18 днів тому +35

    Kama mnamkubali mkude simba kwa kutupa vipande kwa haraka like zenu kwa mzanzibary halisi

  • @josephattwipa470
    @josephattwipa470 18 днів тому +10

    Kazi nzuri sana kaka na mwisho uwe mzuri sasa

  • @BekaJunior-n1d
    @BekaJunior-n1d 18 днів тому +16

    Mtu mbaya kabisa na like kwa kama ramadhan kama

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 18 днів тому +17

    Kazi nzuri lakini wabana mdaa sana

    • @Didakimosa
      @Didakimosa 17 днів тому +1

      Nakubariana nawew kwel tena

  • @RehemaMwaim
    @RehemaMwaim 17 днів тому +6

    Hahahahahahaha naona mzee kama anaanza kuchangamka co kwa kuchomekea huko khaa😂😂😂

  • @Daud0000
    @Daud0000 18 днів тому +54

    Mungu akubariki sana wewe unae soma comment hii huu mwaka ukawe wa mafanikio kwako

  • @michaelmijaah5903
    @michaelmijaah5903 18 днів тому +17

    Ivi mzee Kama anatalifa ya mjukuu wake kwa kilicho mtokea❤❤❤❤

    • @mgogokagongo1387
      @mgogokagongo1387 18 днів тому +2

      Mjukuu jeuli alijikuta anajua sana ndo maana mzee kajikataa

    • @SharifaRashid-tg9kx
      @SharifaRashid-tg9kx 17 днів тому +1

      Uku anajua vizur matatizo anayopata mjukuu wake ila anawaacha kwanza mpaka mama yake ajute

    • @kareemabduly1773
      @kareemabduly1773 17 днів тому

      😂 dah!!!

    • @IddiIddi-m2q
      @IddiIddi-m2q 17 днів тому

      Hata hatujajuwa kma anataarifa ya Aisha kma kafikwa na jambo hilo

  • @riziki8406
    @riziki8406 16 днів тому +2

    Hongereni sana kwa kz nzuri mungu awabariki na awazidishie mwendelezo tafadhali🎉🎉🎉❤

  • @EvelineMichael
    @EvelineMichael 18 днів тому +10

    Namm leo nimewahi jamanii naombeni like hat 2😂😂

  • @MudySule
    @MudySule 18 днів тому +12

    Dakika kidogo jamani dakika .kitale ungeza dakika angalau iwe dakik 40

  • @ummycheedy2809
    @ummycheedy2809 18 днів тому +8

    I love you mzee kama ramadhani kama😂😂😂😂❤❤❤🎉

  • @JohnKyejo-w3k
    @JohnKyejo-w3k 18 днів тому +4

    Kazi nzuri ongera kwa ilo ila ongezeni muda wa vipand munawek mda kidogo

  • @HoseaSanga-g9u
    @HoseaSanga-g9u 17 днів тому +2

    Nice work Mr kama and all authour of that move

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 18 днів тому +32

    Kina Asunta wanafiki sana watu kama hawa tunaishi nao huku mtaani😢

  • @SABURIMUTRA
    @SABURIMUTRA 18 днів тому +11

    sijachelewa sanaa leo, tunaomkubali mzee kama naomba like jamani💕

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 17 днів тому +1

    Mzee kama nakupenda baba yangu unajuwaaaaa sanaaaa ubarikiwe sanaa🙏🙏🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️samahan asante

  • @BimkubwaMohamed
    @BimkubwaMohamed 17 днів тому +5

    Mm naomba kuuliza Kwan huyu Aisha kafanya kosa gn hata apewe adhab hizi

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 18 днів тому +2

    Hii movie tamu sana❤❤❤hongera sana kitale,kazi yako nzuri

  • @heriethgodfreyhegoxa5551
    @heriethgodfreyhegoxa5551 17 днів тому +5

    HII NYIMBO NI HATARI SANA 🎉🎉❤🎉❤🎉🎉❤❤🎉🎉 KILIO CHANGU CHA KILA SKU NAOMBA IWEKWE PEKE YAKE TULICHUKUE SONGI LETU❤❤🎉❤😂😂

  • @RegaloMato-zs8oo
    @RegaloMato-zs8oo 16 днів тому

    Kitale hongera man....his story ya samahani asante n nzury Sanaa yenye mafunzo mengi Sanaa big ups man.

  • @ShariphaSaid
    @ShariphaSaid 17 днів тому +2

    Aisha na wenzio hivyo vijora mbadili jamani😂😂😂

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c 18 днів тому +4

    Brother ongeza dakika sawa najuwa nibiashala

  • @ernestgervas7021
    @ernestgervas7021 18 днів тому +12

    Namba moja toka Lusaka Zambia, ila kusema kweli sijui hawa bi dada kwanini wanamchukia Aisha

  • @DeusPius-f1x
    @DeusPius-f1x 17 днів тому +3

    Kazi nzuri sana kitalemkudesimba

  • @ShadiaOthman-vq1jy
    @ShadiaOthman-vq1jy 17 днів тому +4

    iviii mzee kama hajajuwa kinachomkumba mjukuu wake kweliii mbona kama kapuuzia mama aisha hakumwambia bab ake kweli😢situtampoteza aisha ivii😢😢😢

  • @simaisalim108
    @simaisalim108 16 днів тому +1

    Hawawez kuzika vp na mimba imezaliwa miez 9 hata kama mtoto kafia tumbon akizaliwa mwenye mtoto anazika na haachi mtoto hospital rabda iwe mimba ya miez mitatu kitoto kikifia tumbon mimba ikatoka ndio huziki unaacha hospitl lkn sio miez 9 mmetupiga

  • @essiesammy6505
    @essiesammy6505 18 днів тому +6

    Heri ya mwaka mpyaa 2025
    Team mkudesimbaa🎉🎉🎉

  • @Asma-comedian6
    @Asma-comedian6 18 днів тому +12

    Happy New year wapendwa 🙏♥️♥️🤗🎉🎉

  • @002RYE
    @002RYE 17 днів тому +3

    "Mwamba ambao huwezi kuuvunja kwa nondo wala nyundo" - Jiwe la mlimani😂

  • @mofaya4807
    @mofaya4807 18 днів тому +5

    Hongera Mzee kama
    ila kwenye muda tunatapeliwa

  • @uledimusiclabel2736
    @uledimusiclabel2736 17 днів тому +3

    Kitale unazingua unakatisha mapema kwenye dakika 18 tunaangalia dakika 16 kweli sijapenda

  • @tongue_tv
    @tongue_tv 18 днів тому +7

    Kiukwel mda NI mdogo ongeza hata dkk

  • @mariambenderakatoi2891
    @mariambenderakatoi2891 17 днів тому +1

    😂😂😂mzee mchawi ywaogopa kufa 😂😂😂mmi kolelo cendi wataniuwa 😅😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @mtstv4125
    @mtstv4125 17 днів тому +2

    Ako Kamwimbo Kaa samahani Asante nauliza kaimba nani

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 17 днів тому

    Asante sana Mr kitaleee ,tumefurahia kazi yako nzuriii,tukooopamojaaaa,santeeee sane kwa kutulizaaa nyoyooo zetuuu,tumeridhiaa na badooo tukoooo twasubiriaaaa muendelezoooi,kwa her ya mwaka mpya wa mafanikio na fanaka,,,,,,,,,,,,,,Mr kitaleeeeee muendeleeeezoooooo tafadhaliiiiiiii,umetuacha vinywa waziiii na butwaaaa kubwa,na wasi wasi pale tulipofikiaaaaa,,,,,tunaaaa hofuuuu,,,,,,

  • @juniormembe688
    @juniormembe688 17 днів тому +2

    Khery ya mwaka mpya mzee wangu Gumlasenga uliponipo tuxamla supu mtoto wa Aisha nilikuwa natakakujua2 je tunamla lini supu Aisha

  • @MargaretAsiko-h2y
    @MargaretAsiko-h2y 17 днів тому +1

    Mmeskia Aisha amesema Ako imara kama jiwe la mlimani , kama mwamba huwezi kuvunja kwa nondo Wala kwa nyundo ❤❤❤❤

  • @PhinaMango-r6t
    @PhinaMango-r6t 18 днів тому +3

    Kaka umefika salama huu mwaka na mzima sema Amen

  • @HadijaYasin-o4d
    @HadijaYasin-o4d 16 днів тому +1

    Inawai kuisha

  • @queenmwandezi1008
    @queenmwandezi1008 18 днів тому +4

    First to like leo❤️❤️❤️✌️✌️ happy new year my

  • @jafarsalum6891
    @jafarsalum6891 17 днів тому +1

    Aya tayali tushachukua kiumbe kilichopo tumboni kwa aisha! Sasa bado kunywa damu ya Aisha tu😂😂😂😂SAMAHANI sana mashibiki wa mzee kama ASANTE babu yangu Gumlasenga kwa nyama tamu ya mtoto wa Aisha😂😂

  • @eliachristopher9220
    @eliachristopher9220 18 днів тому +2

    Heri ya mwaka mpya. Kitale na happy birthday to you🎉

  • @MousaAmos
    @MousaAmos 18 днів тому +1

    Heri ya mwk mpya familia ya samahan asante 🎉🎉🎉

  • @kibokutiwanatanyika1540
    @kibokutiwanatanyika1540 17 днів тому +3

    Huyu mzee mchawi ongea yake maelezo mengi mpaka dakika zinaisha ukichanganya na mda wa mziki kipande faster kinaisha😢😢😢

    • @MarianNdunde
      @MarianNdunde 17 днів тому

      Kweli anakera Yani Mda mwingi Waishia kwake

    • @KulwaAlex-c5u
      @KulwaAlex-c5u 17 днів тому

      Anakela anarudia rudia

  • @mwajumakitambulio2517
    @mwajumakitambulio2517 16 днів тому

    Namkubali sana Mzee KAMA Bonge la Mwamba alafu ana Hekima sana duuuh natamani kujuwa mbele nn kitawapata wale Vigagula, Aiseee SAMAHANI ASANTE ni Bonge la SERIES km Maneno ya kuambiwa hapo kwenye Mauganga uganga namkosa CHILI tu utamu ungezidi

  • @elishavayper9614
    @elishavayper9614 17 днів тому +1

    Samahani asante hio background music nakubali nko kenya

  • @Bad_Og26
    @Bad_Og26 16 днів тому +1

    tuongezee epsd1 weka hata dk25

  • @TrishaBebeh
    @TrishaBebeh 17 днів тому +2

    Daah dakk chache sana 😢😅 basi weken na yajayo kama kwenye azam 😂😂

  • @NajatRajab-x1k
    @NajatRajab-x1k 18 днів тому +2

    Msuli wako tu mzee rama mie hoi baby

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 17 днів тому +2

    Yan watu wa5 na mganga wamemuandama mtu mmoja cjui shida nn

  • @SwalehSaibu
    @SwalehSaibu 18 днів тому +1

    Napenda ongea ya uyo mzee mchawii😂😂

  • @SalumuMohamedi-q6g
    @SalumuMohamedi-q6g 17 днів тому +1

    Nakubal kaka kazzi nzur haujawahi kukosea

  • @maryamoganda623
    @maryamoganda623 17 днів тому +1

    Kazi mzuri sana ❤❤

  • @gasperMwaky
    @gasperMwaky 18 днів тому +2

    Mnachelewa sana kutoa Kaz mpya

  • @AngelReims
    @AngelReims 10 днів тому

    Very nice Kwa kzi yen🎉🎉🎉

  • @julianariziki1629
    @julianariziki1629 17 днів тому +1

    Madaktari wa hovyoo

  • @AyeshaAyesha-tb9sf
    @AyeshaAyesha-tb9sf 18 днів тому +3

    Kazi nzuri sana

  • @MasauShida
    @MasauShida 17 днів тому +2

    Kazi nzuri sana🇹🇿

  • @NassoroMneka
    @NassoroMneka 18 днів тому +4

    Jamni na mimi nimewahi ✌️✌️

  • @kombohamad9299
    @kombohamad9299 18 днів тому +6

    Wow wa kwanza leo naomba like zenu from india😂😂😂

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 18 днів тому +5

    Nimewahi jamani nipeni like 😢basi

  • @WAHIDAMWALIMu
    @WAHIDAMWALIMu 18 днів тому +1

    Mwaka mpya umeuanza vyema kaka hongera zako 🎉❤

  • @SaumuNyale-s6h
    @SaumuNyale-s6h 18 днів тому +19

    Mimi swali langu kwa kitale ivi masufuria alipelk wapi 😅😅😅😅

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 18 днів тому

      Alienda Kula na masela wenzie😂😂😂😂😂😂

    • @SaumuNyale-s6h
      @SaumuNyale-s6h 18 днів тому +1

      @@Nailaty564 bbasi ata karb 😅

    • @JerryMpex
      @JerryMpex 18 днів тому +1

      Mimi najiuliza alibebaje pekee yake bila ata ya kuonekana wakati wamepika mlango 😂😂😂😂

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 17 днів тому

      @JerryMpex 😂😂😂😂

    • @elishalaurian9339
      @elishalaurian9339 17 днів тому

      Atwambie masufuria yalipo

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo 18 днів тому +3

    Wakwanza leo kuiona from Kenya

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz 13 днів тому +1

    Kaka kitale naomba bas nafas kwako mi nakipaji pia chakuigiza

  • @nantala299
    @nantala299 17 днів тому +1

    Yaan mpka saiv sjajua wanamwanfama Aisha kwa sababu gan

  • @christinamalimani9817
    @christinamalimani9817 17 днів тому +1

    Mganga jaman😂😂😂😂😂

  • @mav2zmajamboz624
    @mav2zmajamboz624 17 днів тому +1

    Asante Mkudesimba

  • @RawhanatRashid
    @RawhanatRashid 14 днів тому +1

    Jmn hyo episode ya 18 mpaka lini ? Tume choka kusubir

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 18 днів тому +1

    Wallah munaji tahidi kuahisha halaka Mungu awabariki

  • @PrisamLee
    @PrisamLee 17 днів тому +1

    Happy new year wapendwa ❤ mungu awajalie afya njema ktk huu mwaka 🥰

  • @MariamAlmas-ix3jq
    @MariamAlmas-ix3jq 17 днів тому +1

    Namimi kina asunta ninao naishi nao babaakee

  • @AllyAyubu-gk2wv
    @AllyAyubu-gk2wv 18 днів тому +1

    Hahaha 😂 mzee kikoti kasema kweli imani ilimshindwa akala tunda😂

  • @dullahvoko743
    @dullahvoko743 17 днів тому +1

    Kama ramadhani kama

  • @LuchabikoBranch
    @LuchabikoBranch 17 днів тому +1

    Daaah tunachoka Moja Moja

  • @MaryMsigwa-n4u
    @MaryMsigwa-n4u 17 днів тому +1

    Naupenda huu wimbo ❤❤❤

  • @OmarAbubakar-wd7rr
    @OmarAbubakar-wd7rr 17 днів тому +1

    Salute mbuyu 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @HezekiaChilongola
    @HezekiaChilongola 16 днів тому +1

    Mganga gani muhogaaa huyuuu😂😂😂😂

  • @RehemaChande-rc4fv
    @RehemaChande-rc4fv 17 днів тому +1

    Madokta washenzi nyie na huyo Babu yenu

  • @RahmaSaga-v4p
    @RahmaSaga-v4p 17 днів тому +1

    Nimeupend huu mchezo but cjui inatok kila baad y ck ngap n vipande vingap

  • @bahatimpilly5302
    @bahatimpilly5302 18 днів тому +2

    Mzee Mchawi imekula kwake ila Tuongezee Dk bhana, Jitahidi tufike Dk 30

  • @AyeshaAyesha-tb9sf
    @AyeshaAyesha-tb9sf 18 днів тому +2

    Daah nimepaona kwetu jamani 😢😊😊

  • @ElizabethDaudi-o1i
    @ElizabethDaudi-o1i 17 днів тому +1

    Kitale na majungu ya wali mbn haonyeshwii

  • @Naeema-d9s
    @Naeema-d9s 17 днів тому +1

    Mpk sasa sijajua kwann wanamuandama aisha

  • @amaniwitney
    @amaniwitney 18 днів тому +3

    Hatimaye nimekuwa wa mwisho 😅

  • @sifamatanga9195
    @sifamatanga9195 18 днів тому +2

    Nipo live kwenye mambo nitapendayo umebaruza sana mume mtarajiwaaa😂😂😂😂

  • @Real_OBA
    @Real_OBA 17 днів тому +1

    Inaendana na tamaduni za kitanzania

  • @jenniferjosephmtale
    @jenniferjosephmtale 14 днів тому +1

    Mbn Ep ya 18 hakuna jmn 😢