Thanx dear, don't forget to subscribe and turn your notification on so that you're notified whenever i upload and please follow me on insta @bmagickitchen 👏also feel free to check other videos.
Sawa mumy, kama umependa upishi nashukuru na pia wewe ukipika punguza mpz. Mwanzoni si uliona mafuta yalikuwa kidogo? Mwisho mboga inapoiva mafuta yanaongezeka maana samaki ana mafuta na nazi pia ina mafuta. Asante kwa kuangalia karibu tena.
I like it ni nzuri
uko vzr dada. keep it up
Asante sn my dear pia nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤
Uko vzr yani siichoki kuangalia hii recipe
Aaawwwwww!!!🤗🤗🤗 asante sana dear na pia nakushukuru sana kwa support yako👏🏾 karibu tena mumy❤
Mashallaj
👏❤
Dada usinifanyi nianzee kupikaa sahv maana syo kwa pishi hiloo
Uko vzr dada
Asante my dear, nashukuru kwa support yako👏🏾❤ na karibu tena.
Salam alekum mashaallah
🙏🏾❤
Wow🥰 fantastic food
Izo Nyanya ningapi umewek ?
Tatu.
Uyo samaki anakuwa amechemshwa kabla au?
Hapana, ni mbichi kabisa. Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾
Hongera unajua kupika, ila utofauti ukiweka tomato paste na usipo weka ni nini ? Naona unapenda hiyo paste kuiweka
Kwa mimi ni kwa sababu inaongeza rangi mpz.
Kama auna kary poder unafanyaje
Sio lazima my dear, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
Yaaani adi mate yamenitoka mwaaaah
😃😃😃😃 thanx kipenzi, nashukuru sana kwa support yako mpz🙏🏾❤
I like it
Thank you🙏🏾
Taking note thnks girl, ♥️
Thanx babe for your support🙏🏾❤
Much welcome waiting for more to learn from you
Wawooo
👏🏾🙂
Salam alekum
Nice nmependa
Thanx dear👏🏾 nashukuru pia kwa support yako❤
Wooow asant my dear
Karibu my dear, asante sana na wewe kwa support👏🏾❤
mbwembwe zote hizo lakini ujui kupika
Nice
Thanx dear👏🏾❤
Uko vizury
Asante my dear👏
Snteee kipenzi changu hakika najivunia kbs kua nww najifunz mengi
Nashukuru sana pia kwa support yako ndugu yangu na kwa kuwa mwanafunzi mzuri🙂
Tuko pmj teacher angu
I love it
Thanx dear, don't forget to subscribe and turn your notification on so that you're notified whenever i upload and please follow me on insta @bmagickitchen 👏also feel free to check other videos.
Nimependa mapishi yako soon ntapika na mie nijilambe
Asante my dear👏😊 jipikie tu ujilambe mwaya😀
Nisamee der ulivosema umemaliza nikakoment kabla sijaangalia hadi mwisho
Ooohh! Usijali my dear wala hakuna shida. Nashukuru sana kwa support yako kipenzi🙏🏾❤
Mbona sijaona ukiweka hoho
Nimeweka mumy, check mbele karibu na mwisho wa video utaona mpz, nashukuru kwa support yako🙏🏾
Classic food ila ulitaka ku over cook na bingekuwa mm nisingeweka nazi
Thank you, sawa sawa basi wewe ukipika jitahidi. Nashukuru sana kwa support yako👏🏾
Mafuta meng
Sawa mumy, kama umependa upishi nashukuru na pia wewe ukipika punguza mpz. Mwanzoni si uliona mafuta yalikuwa kidogo? Mwisho mboga inapoiva mafuta yanaongezeka maana samaki ana mafuta na nazi pia ina mafuta. Asante kwa kuangalia karibu tena.
@@MsBupe sawa nitafanya ivyo
@@janemalya5473 karibu sana mumy.
Mafuta sio mengi. Ni ya kawaida kabsaa
😘
Pishi linavutia
Asante sana my na pia nashukuru sana kwa support yako👏🏾❤
Naupenda upishi wako wote dada, kila kitu kipimo yatoshea kabisa, mthuzi rojorojo! Je, huyu samaki ywaitwaje? Si tilapia.
Asante sana my dear😊 yupo kama Tilapia lakini sio... Anaitwa Dorado. Nashukuru sana kwa support yako👏
Samak gan huyo unajua kupika
Asante sana my dear🤗 Anaitwa Dorado mpz, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
nimejifnza jaman ngja na mim nipike sasaiv
Safi dear, usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele. Pia karibu uangalie na video zingine.
Nice
Thank you dear🙏🏾❤