KAMBAYA AMJIA JUU LISSU KUHUSU ABDUL "MTOTO WA SAMIA",ASEMA MBOWE,LISSU HAWAFAI KUGOMBEA,RUSHWA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 42

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 16 днів тому +3

    Njaa mbaya sana, Mungu tusaidie!!

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 16 днів тому +4

    ASANTE SANA KWA SOMO KUBWA KWA WENYE AKILI TUMEKUELEWA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤✌✌✌💃💃💃

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 16 днів тому +3

    Huyu tangu alivyohamia ccm amekuwa na akili sana... Hongera comredy kambaya

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 16 днів тому +3

    Umeongea ukweli Lisu pia alikuwa KWENYE hayo madudu ya SACCOOS 😢😢😢😢😢TATIZO ANAROPOKA SANA HANA CHUJIO

  • @eliezergama7073
    @eliezergama7073 10 днів тому

    safi sana!

  • @Mtuwawatu1993
    @Mtuwawatu1993 16 днів тому +3

    Aisee ni atari sana machawa wanazidi kuongezeka nchini kila kukicha

  • @tosh7671
    @tosh7671 16 днів тому +3

    Huyu fala tu na visuruali vyake vya kubana kama mashoga wa CUF😂😂

  • @FrederickMuzimaRutikanga
    @FrederickMuzimaRutikanga 15 днів тому

    GLOBAL TV , Kama imeanza kuokoteza malaya malaya kama Kambaya munajinyonga !

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 14 днів тому

    Haaa Pius kwani mpazani tu ndio pekee anaye ruhusiwa kijadiri?

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 16 днів тому +2

    Kambaya umesema ukweli, Ugh usimamishwe.

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 16 днів тому +1

    Kushupalia hoja ya =Abdul=kutamgharimu TL

  • @EdwardKilewo
    @EdwardKilewo 16 днів тому +3

    Duh!! Kumbe njaa mbaya. Kweli; kaambaya

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 15 днів тому

    Kambaya mbona umechelewa sana kwenda kusaka tongę ccm

  • @eliezergama7073
    @eliezergama7073 10 днів тому

    serikali ijibu hoja ya lissu kivipi?

  • @HasaniBile
    @HasaniBile 4 дні тому

    Ndugu ukweli ukifichwa unaleta uongo

  • @tosh7671
    @tosh7671 16 днів тому +1

    Unajiongeza ki mtizamo wako ambao vingine havina ukweli. Uhalisia ni kwamba tunaitaka chadema ya kiharakati ili tuwashe moto dhidi ya machawa wenye tabia za kimama na machawa wa ccm

  • @paull8659
    @paull8659 14 днів тому

    Du huyu chawa, bado anasubiri mkeka wa mama..

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 14 днів тому

    Lisu anaelekea kuwa mtu wa majungu mengi hata kama ni mwanasheria nguli, tabia yake haibadiliki kwa kuwa mwanasheria. Ukweli Lisu asingetoa mambo ya chama hadhafrani isipokuwa na ushahidi kamili. Je Yeye akishinda atakuwa malaika? Mbona tabia yake inaonesha anaweza kuwa kinyume na wanachama wa chama chake

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 15 днів тому

    Kambaya usifananishe chama kilichokamata doła na chama cha upinzani kilichokuwa kipo katika harakati

  • @PiusMdoe
    @PiusMdoe 16 днів тому +2

    Upinzani umekushinda unajadili nini

    • @nicodemusngwala2079
      @nicodemusngwala2079 16 днів тому

      tayari tende na halua kutoka umangani vimeharibu utashi na uelewa wa mambo wa huyo ndugu kambaya

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 16 днів тому

    Yaani nikiona mpinzani kahamia ccm kashaishiwa mbinu😂

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 16 днів тому

    Lisu na Mbowe wadsigombee

  • @HasaniBile
    @HasaniBile 4 дні тому

    Wanao mshabikia mbowe ni ccm b

  • @jamilbillo5944
    @jamilbillo5944 14 днів тому

    Kwa kifupi Lisu ni mtu ambae hana ADABU

  • @AhmedAdan-q9l
    @AhmedAdan-q9l 15 днів тому

    Wale chadema ni wahuni wajanja wajanja yule lissu kachanganyikiwa

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 16 днів тому +1

    Hamna watu wa kohoji mpaka muwalete wahuni?? Huyo hakuna lolote

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 15 днів тому

    Kambaya wacha uongo hukuitoa sababu iliyokufanya kutoka chadema

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 16 днів тому +2

    Unategemea kupata nini(mawazo) kutoka kwa Kambaya. Huyo ni mganga njaa tu. Hana lolote la maana.

  • @deuskamugisha3627
    @deuskamugisha3627 16 днів тому

    Huyu naye😂😂

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 14 днів тому

    Ndio anayehojiwa sasa kajinyonge

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 16 днів тому +2

    Wewe unae hoji suala la =Abdul=ni minor issue not major issue=

  • @SeverinMagwaya
    @SeverinMagwaya 16 днів тому

    Huyo ni nani? ni kiongozi wa kitaifa?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 16 днів тому

    Kambaya kashachuja, hana lolote jipya, apuuzwe

  • @hassanmitayo1875
    @hassanmitayo1875 16 днів тому

    Kama kuna suala linalonikera ni ruzuku kwa vyama vyote vya siasa

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 16 днів тому

    Ndo wamegombea sasa

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 16 днів тому +1

    Mpumbavu kwani wewe hukuona kama ccm ilipora uchaguzi

  • @ZeynabAlly-c2m
    @ZeynabAlly-c2m 16 днів тому +2

    Yaani tundu domo linanikera sana kutuaribia chama yeye na mbowe wasingegombea wakamweka here ndio awe mwenyekiti.tundu roho na domo ni shida juzi mpaka mate yanamtoka mdomoni kwa kuongea nikasema doo kua na kiongozi dizaini hii ni shida