BONGO MOVIE ACTION MOVIE 🔥🎬🎬2024 - Filamu ya mapigano | Bongo movie mpya
Вставка
- Опубліковано 29 сер 2024
- -Lazima utoe machozi ukitazama Filamu hii
-Benroyal movie iliyoshinda tuzo
-Operation red sea
-Operation M22
-Bongo movie ya kivita
-Dj Mack
-Dj Afro
diamond platnumz,new action movies,action movies,benroyal pictures,benroyal pictures movies,trending,zuchu,harmonize,rayvanny,samia suluhu hasan,simba,yanga,utaniua,yatapita,zuwena,ayrastarr,messi,ronaldo,rihanna,chris brown,drake,jay melody,ibraah,wcb wasafi,wasafi media,stamina,machozi,manchester,yammi tz,nandy,mahabaalikiba,chademaman,flavour,marioo,aslay,billnass,kontawa,maua sama,kajala,paula,juma lokole,mwijaku,bongo movie,mtu,jina,benroyal mtu full movie
#benroyalmovies #juakaliseries #chekatu #actionmovie #diamondplatnumz #zuchu
Ila Nala mzalendo ni mkali 🎉❤
Nimependa
Nahii ukopoa pia hamjawahi angusha jahazi zote zinaelimisha series ya usiamin imenikomboa San kwenye maisha yangu nilikutana nao wanao jiita Qnet watu hatali San endeleeni kuwaumbua ❤❤❤❤
❤❤❤, nimeipenda Sana, naipata kutoka +254 🇰🇪
Benroyal wewe ni noma haisee upo vizuri sana. MALI, FFL, na hii Sasa naenda Mjini haisee wewe upo vizuri keep it up brother Ben
Mbeya mko powa sana dar bado sana
Oa bon unajua kinoma mwanangu nakubali sanaaaa🎉🎉🎉🎉
Ila nala
Good work guys nawapenda from Arusha Tanzania 🇹🇿
Ben royal picture mnajua sana mpaka basi
Kitu ambacho sichoki kusema colour colour ni nzuri. From zanzibar tz
Wnangu mnajua adi mnapitiliza aisweee congratulations
Sema MR mark una staili ya teke moja ivi noma
Maaskari Wanoko Hao Ndio Tupo Pamoko...|...Sio Wale Wanaojifanya Wakali Kama MOTO!! AHAHA
Saf sana hii🎉🎉🎉🎉
Master g ni mbunifu sana kwenye kutafuta sauti yake binafsi
Nakukubali sana bingwa
Aloo namsikia mwanangu nala mzalendo namkubal sana
Nawakubali sana nawafwatilia vizuri hatali zot 2024 sio poa
Nikiangalia Netflix Tanzania ni hawa ❤
❤❤❤ nimpenda mchezo mlionesha watu wanaokimbilia mjini eti kunamaisha mazri atauwenazo kuishi mjini nihakili yakichwani
Safi kabisa inaerimisha , inaburudisha na inatujenga pande zote (me na ke) PONGEZI KWENU BEN....PICTURE
ROYAL GANG 🙌
AISEEE BENROYAL UMEPIGAJE HAPOO BONGE LA KITU KUTOKA KWA DIRECTOR OF ALL THE TIME YAHAN 🔥🔥🙌🙌
Nawakubali sana
Iyi movie inabidi iyende Netflix 🔥🔥🔥🔥😭😭🔥🔥🔥
Hiii nimeipenda bonge la ujumbe 😂😂😂😂
Hongereni sana
Nawakubali Sana filamu yenu ya MALI nakupenda zaidi nawafata tokea tanzania congo
Nice
📢 give your life to god the fine and near
Big up sana ❤❤❤napenda sana kazi zenye 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪
Oyaaa hii ni Kali Tena sana . Naombeni likes zangu wasee
Hamna mpinzani nawakubali sana
From namibia I like your movie to much braaaa
Ben na team yako mnafanya kitu kikubwa Sanaa na zile tuzo mlistahiri kuchukua hataaa zote.....
very good,this why i love ben roys pictures so much❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo kwa mar ya kwanz polis wamewAh nmezoea kuon stering anamalz😅😅😅
Mnajuwa xana mbaka mnakela wezenu
Aaa kikosi👊
Huyu mdogo wangu anacheza na kilo huwa namkubali sana 🥋 respect kwa team nzima
sema marasta kanikosha sana kama cybolg
You people are the one that should be on top in film industry. Your work is always amazing. ❤❤❤❤
Thank you so much 😀
kali sana nimependa kazi yenu kudos❤❤❤❤ movie nzuru yenye mafunzo ndani yake❤❤❤❤❤
Congratulations benroyal kazi kubwa hiii🏆✌️
Loved to see the saga unfold the actions scenes👊🏿
I like it
Kumbe huyu white nae ni mzuri kwenye ngumi eee,skuwah kumuona akicheza madude hivi
Appreciate +1000+appreciation
😂😂mamaaaae bongo
Yani ben bro hauna baya ❤❤❤❤
Nice job
Daaah hii sasa kiboko 😅😅🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nihatariiiiiiiiii 😅ogopaaaa
Much love and happy from Kenya ❤❤Guys like back 😢
Kaz nzur watu wangu nawapenda sana mubarikiwe kutoka Kenya ❤❤❤
Kazi mzuri sana
Aiiiiiiiii!!!! Hii iko bombaa sanaa 🔥💯 mmeupiga mwingi 🎉
Nimeipenda nataman siku nifanye kazi na nyinyi ivi mko mkoa ngani
Ni Mbeya city 🏙️ Tanzania 🇹🇿 but popote ulipo kazi inakufikia,,,,,,,,,,
Wapo mbeya
Mbeya moja hyo ndug
Mbeya
Roda mm ama wa tanzania😂😂❤❤❤❤much from kenya🎉🎉🎉🎉🎉
Jmn nimependa hii mov ❤😊 huyu kaka alomsaidia wakina roda naomba namba yako 😊😅
Hawa jamaa watisha sana wallah
Mmetish🎉🎉🎉❤
Mali vipi iliishia hapo ama vipi following from Kenya 🇰🇪🇰🇪
💪🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎉🎉🎉
Uwa najiuliza uyu Peter... Starring mkono aliujulia wapi... Ku fight alijua wapi.. Maana ako vizuri ❤
BIG UP TO YOU... KAZI NZURI SANA...👋👋👋👋👋
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tunaikubali KAZI likes zikuje kwa wingi
Nimeipenda xana aisee mnajua
Asante sana kwa movie ❤
Nmeipenda
Hongeren wakuu🙌❤❤❤❤
Big up sana kamanda 🔥💪🏿🔥
Kazi nzuri sana
Kabisa🔥🔥🔥
MALI tumalizien 😢😢
Kazi safi ❤❤
Hongera nyingi Sana mkuu... Tulionana Kunduchi Beach, Dar es Salaam pale soko la dagaa skupata Muda wa kuongea mengi na wewe ila kupitia hii kazi now I understand that you deserve it BENROYAL 🔥🤝🙏
Munaweza Ila
Juudi mbele
Nakubaliii 💯💯✅
🙌🏾
Jamani jamani ili zigo ni shidaaa,🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Leave a like here
nyie jama hua mnajua sema location zetu tz na vifaa bado sana
Akika munawakilisha
Mnastahili maua yenu, kazi nzuri sana
Watching the movie from Maua, Meru County of Kenya.
Siwezi kosa move ya Huyo jamaa wa shart ya yellow nakupenda Bure brother
Unajua adi umepiliza Benroyal🙏🙏🙏🙏
Dude lingine hilo
More blessed benroyal we're appreciate ur bro👊
nikisema BEN deserve sth ROYAL sijui kama tunaelewana #fuegooo🔥🔥🔥
You are the Best in Tanzania. I really appreciate your works.
Kwangu mimi, hii ndiyo sinema bora zaidi ya Kiafrika. Hongera sana. Mimi ni hasani Chauke kutoka Afrika Kusini.❤ "Pesa ziko wapi?".
Nice one
Much love from +254
Wanagu man mbeya man
Nawakubali KAZI ya uwakika peter mpe sifazake huyo dada kacheza vizur
❤❤
Nipe like zangu
Kazi nzuri
Peter nakukubali kinyama❤🎉🎉🎉
Sir benard edson