KASONGO ATHUMAN AELEZEA NAMNA MAREHEMU KAKA YAKE ISSA ATHUMAN ALIVYOUVUA UYANGA / KISA SALUM KABUNDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @ip_header
    @ip_header 27 днів тому +3

    Unanikumbusha Issa Athuman Mgaya mwamba kabisa🎉🎉🎉

  • @fidelmbai3642
    @fidelmbai3642 26 днів тому +7

    Japokuwa Mimi ni Yanga damu jamaa nilivutiwa sana na mchezo aliyoucheza tarehe 17/10/1993 alipomzibiti mshambuliaji wa ATLETICAO AVIAKAO ya Angola namba 11 LIBENGE...ilikuwa ni nusu fainali kombe la CAF

    • @oscarkilangi1187
      @oscarkilangi1187 24 дні тому +1

      Siyo Libenge tu_kulikuwa striker moja wa Aviacao alikuwa anaitwq Yanda_alisema Simba wataipata Cha Mtema kuni Luanda Angola.

    • @flexstevin2385
      @flexstevin2385 23 дні тому +1

      Niliwahi kukutana nae, nikamkumbusha kuhusu mechi ya Atletico aviakao alicheka sana,.mtangazaji alikua anasema Libenge na Kasongo

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 27 днів тому +4

    Huyu enzi hizo na runyamila ngoma kibuyu kinalia😂😂

  • @AbdulKijonjoo
    @AbdulKijonjoo 25 днів тому +3

    Kasongo uko wp ndugu yangu nipe namba nikupigie Mimi kijonjoo,ukonga muheza,do nilikuwa sijui kama kibode ni marehemu Mungu amrehemu mdogoake Mzee wa Kiminyio,nitafute kasongo.abdul.

  • @YasinOmary-m6n
    @YasinOmary-m6n 24 дні тому +1

    Hapo kwa Lunyamila umebugi brother,Edibily jonas hajawahi kumuogopa beki yoyote Africa hii 🙏

    • @jimmymhina1264
      @jimmymhina1264 20 днів тому

      Sasa wewe una mbishia mtu aliyecheza naye?

    • @YasinOmary-m6n
      @YasinOmary-m6n 20 днів тому

      @jimmymhina1264 nimewaona wote wakicheza mpira,Kasongo Athumani pia ni mchezaji wangu pendwa,ila Suala la Lunyamila kwakweli heshima ifuate mkondo wake!🙏🙏🙏

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 27 днів тому +2

    Kasongo Kasongo kweli 92 93

  • @moseshaji1177
    @moseshaji1177 26 днів тому +1

    Moja ya mabeki bora Zaidi wa pembeni kuwahi kutokea Tanzania

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 27 днів тому +3

    Kasongo athuman, huyu nilikuwa ndo shabiki yake mkuu miaka ya 90

  • @timothymbughuni1356
    @timothymbughuni1356 27 днів тому +2

    Alikuwa anapiga kiatu huyu mzee

  • @hemedbamja3197
    @hemedbamja3197 27 днів тому +3

    Celestine sikinde mbunga,majimaji hiyo

    • @salimsalimali8285
      @salimsalimali8285 27 днів тому

      Baadae alicheza Yanga

    • @oscarkilangi1187
      @oscarkilangi1187 24 дні тому

      Majimaji ya Octavia Mrope, Peter Tino, Madaraka Selemani na Selestine Sikinde Mbunga.

  • @Zuungu
    @Zuungu 27 днів тому +1

    Ulikuwa bora

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 27 днів тому +3

    Good...

  • @chidyfadhil5027
    @chidyfadhil5027 24 дні тому

    Kocha wangu boko united

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 27 днів тому

    Hawa ndio wachezaji ambao Simba ilipaswa kuwa nao KARIBU sana

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 27 днів тому

    Huyu mwamba alikuwa ni noma sana

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 27 днів тому +1

    Huyu jamaa nilikuwa namuona muhuni zamani

  • @AhmedBakali-k8g
    @AhmedBakali-k8g 27 днів тому

    Mwamba uyu legendary yupo wapi now 8:24

    • @mvulasports
      @mvulasports  26 днів тому

      Yupo mabwe pande Dar es salaam

  • @JjnutSudu
    @JjnutSudu 20 днів тому

    Kuna mchezaji alikuwa anagombea namba na kassongo mnamjua? Atakaenitajia namtumia vocha

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 27 днів тому +1

    Dah namba mbili bora sana enzi hizo nipo dogo sana

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 день тому

      Mm nimemshuhudia michuano yote ya CAF ambayo tulifika fainali ya CAF 1993 acha hawa utopolo wanaotamba ati wao ndio wa kwanza kucheza fainali ya kombe la shirikisho.!

  • @SadickAmiri
    @SadickAmiri 27 днів тому

    ila bangi tangu 1983 muheza shooting star mlingano wakati muheza shooting na african sporrs ligi kanda ya kaskazini

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 27 днів тому +3

    Kasongo yeyee mobali nangai kasongo yee yee

  • @bonifacewarioba510
    @bonifacewarioba510 27 днів тому

    Alikua beki mahili,nilikua na mkubali sana hasa ck Simba walipopambana na timu moja inaitwa Atretico avicao,mawinga wake walikua na spid lkn huyu mwamba aliwadhibiti .

  • @cosmasmsuha7720
    @cosmasmsuha7720 8 днів тому

    huyu jamaa alipewa mazoezi maalumu ya kumkaba Lunyamila

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 27 днів тому

    Nimefurahi kumuona huyu mwamba, nilikuwa namsikia kwenye redio tu

  • @TitoMahavire
    @TitoMahavire 24 дні тому

    Alikuwa Ni mtu Haswaaa

  • @adinanimohamed895
    @adinanimohamed895 27 днів тому

    Weee nakuo mwenetu wa bonde mpinda upo swahiba

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 27 днів тому

    Alichokifanya Fei Toto ni chakuigwa kwa kila mchezaj maslahi ndio kila kitu ukimuangalia jamaa anaonekana maisha ya kuungaunga tu

    • @mbarukunzige5742
      @mbarukunzige5742 27 днів тому +1

      Mpira wa miaka ya hiyo ilikuwa hakuna pesa, ndiyo maana wachezaji wengi wamechoka

    • @mshua337
      @mshua337 25 днів тому

      Kakuomba Hela ya kula?

    • @ramadhaniabdulkadry288
      @ramadhaniabdulkadry288 18 днів тому

      We mwehu huna akili mpira wa zama izo na izi wapi na wapi we ndio maana ulifeli mtihani wa la nne tukakuacha unasukuma kwama huna ata akili ya fikra unajirukia tu kama tairi bovu. Kalale huna akili angalia mada na unachochangia vina fanana. Kunde mbichi wewee

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 27 днів тому

    Nguvu moja ya 1993 .1994

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 27 днів тому +1

    Yan huyu mwamba mumsikie hivyo hivyo

  • @bakarimaulidkinyogoli3457
    @bakarimaulidkinyogoli3457 24 дні тому

    Wewe unaemponda ujawahi ona mpira wa zamani babeki walikuwa wababe sana na walikuwa wanatumia nguvu sana nakumbuka shamba la bibi tulimuwa tunaruka ukuta

  • @HasaniSasi
    @HasaniSasi 25 днів тому

    Kiboko wa lunyamila

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 25 днів тому +1

    Nakumbuka nilinunua picha yako unamkaba Lunyamila

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 25 днів тому

    Upande fikili magoso huku wewe

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 26 днів тому

    Wachezaji waongo sana uyu jamaa bangi anavuta adi madawa alikua anajidunga uwanja wa barafu magomeni uzuri namjua

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 23 дні тому

      Angekuwa na afya hiyo mpaka leo ?

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 21 день тому

      ​@@AllyMaya-yj3xdHao watu wa utopolo achana nao😅😅😅

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 27 днів тому +3

    Kasongo yeyee mobali nangai kasongo yee yee