Mwalimu wa yanga yupo sahihi hamjui mpira. Yanga katika ligi wanacheza mechi rahisi wanapanga matokeo kwa kutumia timu zilizodhaminiwa na GSM. Simba akicheza na Dodoma jiji anashika bomba kupata matokeo. Yanga anateleza wachezaji wanalegea kwa nini asiseme ligi dhaifu. Mtu wa kumlaumu hapa ni GSM anaefumbia ujinga huo kwa kupigania matumbo yao.
Kocha wa Yanga Upo Sahihi, ispokuwa kashindwa kuwakilisha Taarifa yake. Yeye anajua unajisi ya Yanga katika Ligi ya Tanzania kutokana Rushwa ya Yanga kwa timu nyingi na kucheza chini ya kiwango wanapocheza na Yanga. Lakini timu hizo kukaza Buti wanapocheza na Simba, kwa sababu hiyo kuimarisha Simba. Kocha wa Yanga yupo sahihi, apewe nafasi ya kuwaeleza Watanzania.
Afu na wwe unaongeaga sanaa wwe shabani wakati hapo nyuma mlikuwa mnalalamika GSM kudhani timu nyingi ligi ni dhaifu tu kocha huyo yupo sahihi ligi dhaifu tu
Wewe umeongea upumbavu gani unazungumza mpira kisha unasema anaitwa said kama mwalimu wa Madrasa kuna sababu gani uwadhalilishe akina said wa Madrasa na huyu wa mpira ? Acha ujinga .

Kocha wa yanga ameshaona timu ya yanga kuna kitu asituchanganye ss simba tupo vizuri
Mwalimu ni mkweli, timu zinazofadhiriwa na GSM zincheza kiregevu na Yanga. Ziko ngapi mane sijui anazitwanga 5.
Ndiyo hivo mwalim wa madrasa siyo mrugaruga
Ahmed aliy kasema ligi zaifu mbona mjadili llo pumbavunyie
Jamani kumbukeni wazee wasimba walipiga kelele sana bora cocha wa yanga atusaidie kupaza sauti
Kocha wa Yanga Upo Sahihi, ispokuwa kashindwa kuwakilisha Taarifa yake. Yeye anajua unajisi ya Yanga katika Ligi ya Tanzania kutokana Rushwa ya Yanga kwa timu nyingi na kucheza chini ya kiwango wanapocheza na Yanga. Lakini timu hizo kukaza Buti wanapocheza na Simba, kwa sababu hiyo kuimarisha Simba. Kocha wa Yanga yupo sahihi, apewe nafasi ya kuwaeleza Watanzania.
Kama wataka ligi yenye ushindani wamuambie bosi wao aache kuzamini timu Saba na kununua mechi
Mwanasimba ongelea uyo kocha was yanga mwalimu wa madrasa anaingiaje hapo usiingize suala la dini hapo
Hao yanga ni watu wa hovyo, washawahi kuwapiga hadi viongozi wao.
Huyo mwalimu yukosahihi
Side kayakanyaga😅😅
Hapo kwenye Mwalimu wa Madrasa Mwana Simba Mwenzetu umeteleza Shika adabu yako.
Kama ligi ni mbovu au haina ushindani, kwa nini bado yupo hapa, kwa nini asiende kwenye ligi shindani?
Wewe mpuuuzi huoni GSM anavyodhamini TIMU 7.wewe MPUUZI unajipendekeza kwa GSM
Kocha hajakosea, timu zinapocheza na yanga, zinampa matokeo yanga, kwenye champion anakwama ndio kasema ivo
Afu na wwe unaongeaga sanaa wwe shabani wakati hapo nyuma mlikuwa mnalalamika GSM kudhani timu nyingi ligi ni dhaifu tu kocha huyo yupo sahihi ligi dhaifu tu
Wewe umeongea upumbavu gani unazungumza mpira kisha unasema anaitwa said kama mwalimu wa Madrasa kuna sababu gani uwadhalilishe akina said wa Madrasa na huyu wa mpira ? Acha ujinga .
Hawamo
Chanzo cha hayo yote ni litimu lao kutembeza bahasha
kabisaaaaaa
Side boy😂😂😂😂😂
Amna kitu wwe ligi dhaifu tu
Yanga wamezidi sana, maana gsm huwa anawapa bahasha simba na ndiyo maana wamefungwa mara 4 mfululizo. 5 - 1. Shame on you simba's fun.
Mnaifunga Simba lakin klabu bingwa zero mna nini cha maana?
Mbwa Koko wewe kwa hela gani mlokuwa nayo ahonge Simba.
Na wewe Usiwakosee adabu Waislamu. Kwa kauli yako kuwa "kama mwalimu wa Madrassa."
Kwenye mwalimu wa Madrsa shika adabu yako na tuliza akili yako
Utani huo kwani mwrimu wa madrasa kafananisha jina sio kadharau madrasa
@ChristopherSingaile bila shaka lugha ya kiswahili inakupa shida neno mwalimu linawakilisha jengo au kazi ?
Nyie side boy siomjinga anayaona mengi mengi hapo uto