I don't understand the language but according to the video, it looks like a sad song. Very good lyrics Big up Saida Kalooli Wanchekekya👏🙏 i like your songs Wanchekekya, orugambo, ensenene and akatambala. God bless Africa
Nlikiwa about 16 ,,,nakumbuka kpnd kile bk mjin maeneo ya gvt hisptal watu wamejkusanya vkund wanaskliza vredio ,,,mm akili zlikuwa bado,,,duu inaumiza sana From colombia
Nimekumbuka mbali sana marehem mama angu alikuwa akinitafaria huu wimbo kwa kiswahil mie nilikuwa sikijui kihaya daaah inasikitisha sana Mwenyezi Mungu awapumzishe jaman daaah
mama tunashukuru kwa kutukumbusha kilichotokea miaka hiyo,ni matumaini yetu kuwa serikali yetu sikivu itarekebisha usafiri wa majini kuzuwia majanga yanayoangamiza nguvukazi ya nchi
Elias hta me me ndo kwanza nilikuwa nmezaliwa nina miez 2 kipnd ajli imetokea ila nilivyokuja kukua na kuwa naona maazimisho yke huwa naumia san ni ajal y kusikitisha
mama tunashukuru kwa kutukumbusha kilichotokea miaka hiyo,ni matumaini yetu kuwa serikali yetu sikivu itarekebisha usafiri wa majini kuzuwia majanga yanayoangamiza nguvukazi ya nchi
2020 tuta wakumbuka sana gonga like twende sawa
I don't understand the language but according to the video, it looks like a sad song. Very good lyrics Big up Saida Kalooli Wanchekekya👏🙏 i like your songs Wanchekekya, orugambo, ensenene and akatambala. God bless Africa
Wakola dada Saida omkama akwebembele ommilimo yawe🎉
Mwenyezi mungu awalaze pema peponi wote walio waliokufa katika ajari hii ya mv bukoba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mie nipo Nzanzibari na tumia hii kuku mbuka msanii wetu huyu mwenyezi mungu ampe maisha malefu
aiseee bafa mbabona imenikumbusha mbali sana..mpk machoz ymenitoka aisee..mungu hawarehemu waliotutangulia mbele ya hk
Saida wewe kiumbe kingine mama wahaya tukio vzr good job mama
◇
Nlikiwa about 16 ,,,nakumbuka kpnd kile bk mjin maeneo ya gvt hisptal watu wamejkusanya vkund wanaskliza vredio ,,,mm akili zlikuwa bado,,,duu inaumiza sana
From colombia
Me nilikuwa cjazaliwa kabxaa ira roho inauma cn
Mm nilikuwa primary sema mdogo sana nkawa naona magari yanapita tuko shuleni yanaleta miili ya marehemu
Mungu awalaze waliotangulia mbele za haki ktk ajali hiyo mahali pema peponi!!, Amina.
Nimekumbuka mbali sana marehem mama angu alikuwa akinitafaria huu wimbo kwa kiswahil mie nilikuwa sikijui kihaya daaah inasikitisha sana Mwenyezi Mungu awapumzishe jaman daaah
Mpaka 2024
Asante wimbo wako unabaki kuleta kumbukumbu kwa kizazi cha leo na kesho nti ndashe ebitoke bojo nywena mkwate
mama tunashukuru kwa kutukumbusha kilichotokea miaka hiyo,ni matumaini yetu kuwa serikali yetu sikivu itarekebisha usafiri wa majini kuzuwia majanga yanayoangamiza nguvukazi ya nchi
jmn nilikuwa mdgo sana kipndi hicho cha MV asante mama kwa kutuwekea kumbkumbu, barikiwa sana
Nakumbuka sana familia yangu ilivyopotea ktk ajali ya meli
Kumbe saida wa kitambo
Kila nikiwa na huzuni,huwa nasikiliza huu wimbo huu
Nakumbuka kipindi hicho kunajirani yetu alikuepo kwenye V bukoba mpaka leo hakupatikana aliacha mkee na mimba, 😭😭 ilikua uzuni mkubwa fom belgique
Da! Kipind nakaa bukoba muleba nshamba. Loho inaniuma sana mungu zilaze loho za mehemu maala pema amen. Flom Lagos Nigeria
Ulikiwa unaishi nshamba sehemu gani
Hata mimi nilikuamdogo sijuwi chochote kinacho endelea ila daaa inauma inasikitisha sana taifalilipata msibamkubwa sana
Elias hta me me ndo kwanza nilikuwa nmezaliwa nina miez 2 kipnd ajli imetokea ila nilivyokuja kukua na kuwa naona maazimisho yke huwa naumia san ni ajal y kusikitisha
Nikitafakali mungu wangu ulivyo nitenda atakunithamini Mimi niliye Juan
Shemeji yangu alipona kwenye ajarihiyo Pole mlopitia janga hilo
R.I.P Shangazi yangu mungu akupe maisha ya milele mbele yako nyumayetu
Amina
poleni kwakila alofikwa namsibahule m/mungu awapesubira.
okakora muno saida ulitwiijukya ara. ninye omwana wa bukoba
poleni kwakila alofikwa namsibahule nataifa kwa umjumla.
Poleni
2022 bado tuko 🔥
Nmekumbuka mbari
inasikitisha sana mungu awapumzishe salama waliotangulia Amin.
Wakola
MV nyerere imezema tana Jana..very pain..nimejikuta nakuja kutazama wimbo huu..R.I.P
Daaa inauma sana
Bafa mbabona unikumbusha mbali
saida napenda sana nyimbo zako
saida roho yako ni ya kimalaika sikujui lakini umeniangilia moyoni kwangu sana .you ANGEL
hasante dada
Una phD ya utunzi wa nyimbo, maana ukiangalia miaka ya 1996 unatunga wimbo makini kama huu!! Wakola muno.
pole sana kwa kwa wahanga
no entiendo lo q dice pero me gusta su música como me gustaría conocerla ir a su pais
inauma Ila hakuna jinsi
Hapa ndo huwa namkumbuka bibi yangu wapumzike kwa amani
jamani twakupenda sana
saidaweweniwasayarinyingine, asantemama.
the best musician of all time
Jaman Mimi nirikua sijazariwa
Gonga like hapa 2022
❤❤❤
seni seviyorum
Kila juma mosi siachi kusikiliza wimbo huu jamani unauzunisha
imenikumbisha mbali
daa nirikua bado mdogo xana ila nimeumia sana
AMINI Said nakubuka akanana komuka
Dah .. Inauma RIP
Inauma sana
inauma kweli imekumbusha mbali
So emotional
😭😭😭😭😭😭😭🙃
mmh inasikitisha sana
🎹🙏
inauma kwakwel ilikua ajari mby sana duh
inasikitisha sana
😢😢😢😢
mbakasinge bakola
Asante saida maana dada angu namm akuonekana
wakola muala wa karoli
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😂
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
dah inatukumbusha
Ware wa kalagwe mko pw
Dah!
osman muganga
It was a sad moment ever
inauma sana
inauma san
hinauma sañàa
inasikitisha sana
+Christina Binagwa ompige
inauma kwa ujumla na inasktisha sana
wakoŕa chonka nashashà nabange baķaba barimu
frida winnie mpora mno byona nokusima ruhanga
Mpola
😭😭so painfully sincerely😭😭
😿😿😿
u
Innocent Lukiza Fransic inaumasana
mama tunashukuru kwa kutukumbusha kilichotokea miaka hiyo,ni matumaini yetu kuwa serikali yetu sikivu itarekebisha usafiri wa majini kuzuwia majanga yanayoangamiza nguvukazi ya nchi
wimbo huu hunatukumbusha sana
inauma sana