Mfano mzuri angalieni Kenya na hayo majimbo, kuna walio matajiri na masikini niasikini kweli kweli. Jimbo litakalo kusanya pesa nyingi ndo litakuwa tajiri na wale wenye makusanyo machache watakuwa duni huo mgawanyo ndo utaleta mtafaruku
Agatha inawezekana kabisa serikali kuu yenye katiba nzuri kuweka utaratibu wa kukata pato la jimbo kwenda jimbo ambalo halina rasilimali kubwa na kuyainua kwa kuwapa mitaji ya kilimo nk. Kenya sio Tanzania!
@@elibarikimollel7149 Una point, serikali kuu, uongozi imala usioogopa kuwa wadabisha viongozi wabovu watu kufuata Sheria nchi itanyooka na tutagawana mapato sawa. Kuna wanaokufa njaa huko Kenya kaskazini Kwa sababu ya ukame, nchi kama Kenya watu kufa njaa hainiingii kichwani inawezekanaje? Ona Nigeria kuna majimbo yana huduma mbovu za afya na elimu na mengine kama yako ulaya.
Akili kubwa sana Heche John
Point sana
BIG BRAIN MH JOHN HECHE
Ahsante kamanda tumemisi sana mchango wenu bungeni kamati ya Katiba iharakishwe na iwe ya kitaaluma na inayojitegemea kimawazo.!
Heche akili kubwa 👊
safi sana napenda watu kama ww sio rema muongea ugoro mawazo naya JPM namm yako saw
Awee mgombeajii uraisi
Ee mungu tulehemu na dhambi za ccm Hawa wachumia matumbo,Naiona kesho mpya baada ya ccm kung'olewa.
Tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa na viongozi wasioelewa uongozi, uchumi wala dunia.
MBUNGE WANGU HATA KAMA YUPO NNJE YA BUNGE AKILI KUBWA
Mtuplojin weeee kaka yanguuu
Tumejifunza kuwa tunaburuzwa
Heche awe mwenyekiti baada ya Mbowe
Maana ya demokras ni kwamba vyama vyote vina haki SAWA,kwani Kuna ubaya chadema Kuongoza nchi?
✌👊
Mfano mzuri angalieni Kenya na hayo majimbo, kuna walio matajiri na masikini niasikini kweli kweli. Jimbo litakalo kusanya pesa nyingi ndo litakuwa tajiri na wale wenye makusanyo machache watakuwa duni huo mgawanyo ndo utaleta mtafaruku
Vidole haviwezi kulingana
Agatha inawezekana kabisa serikali kuu yenye katiba nzuri kuweka utaratibu wa kukata pato la jimbo kwenda jimbo ambalo halina rasilimali kubwa na kuyainua kwa kuwapa mitaji ya kilimo nk. Kenya sio Tanzania!
Chadema wana point sana na vitu vinawezekana kabisa
@@elibarikimollel7149 Una point, serikali kuu, uongozi imala usioogopa kuwa wadabisha viongozi wabovu watu kufuata Sheria nchi itanyooka na tutagawana mapato sawa. Kuna wanaokufa njaa huko Kenya kaskazini Kwa sababu ya ukame, nchi kama Kenya watu kufa njaa hainiingii kichwani inawezekanaje? Ona Nigeria kuna majimbo yana huduma mbovu za afya na elimu na mengine kama yako ulaya.
Kila jimbo litajikuza kwa juhudi za viongozi wao watakao wachagua viongozi wabovu wataleta umaskini
na hii comment mfute pia.
nunue microphones za wageni wenu.
Heche,nakuelewa sana kiongozi,