WAKRISTO WAKKIRI SASA NGURUWE BASI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • #SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
    Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya UA-cam ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
    MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906
    ..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

КОМЕНТАРІ • 122

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 2 роки тому +1

    Lailahaillallah muhammad rasuulullah👏🏻

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 2 роки тому

    Zbar shm gn msenge wee

  • @jacksonmwafongo1758
    @jacksonmwafongo1758 2 роки тому +2

    Nguruwe walikatazwa wana wa Islael yesu alikuja kwa watanzania inapendeza sana was kristo na yesu

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 роки тому

    Mashalah mashekh wetu awape nguvu

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 2 роки тому

    Tumuombe tu all atupatie rehema waislamu,nikwel torati ilikataza nguruwe,na ngamia,sungura,panya, baadhi ya wakristo na waislamu wanakula,Ila wakristo wasabato hawali ni machukizo kwa mungu.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому

    MashaAllh

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому

    Masha"Allah

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому

    MashaAllah

  • @sheleniibrahim7631
    @sheleniibrahim7631 2 роки тому

    Allaahu akbaru

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому

    Allah Akbar

  • @omarmganga7822
    @omarmganga7822 2 роки тому +2

    Mutukome wazanzibar hatujawahi Kula guruwe

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      Nguruwe mnakula bana tuwakome kivipi na huku mnakula

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 Unaonekana upo kishari na kiushabiki zaid

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      @@pamoles1303 nyie waislamu ndo mpo kishari kwa wakiristo ndomana mnaanzisha na mihazara kukosoa ukiristo

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 pole Kwa maumivu makali naona limekuchoma ndipo

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 kisha mbona muhadhara hio sio waislam tuu na wakiristo wako ingekua waislam waeka wao tuu watusi wakisristo bt wamealikwa wnaafundishana maandiko bila kutusiana Ila nyie wkairisto mnazua ati Zanzibar kuna ngurue hyo hata hya angii akilini kwako pia

  • @mbarakasoud3288
    @mbarakasoud3288 2 роки тому

    Zanzibar Kuna nguruwe nilicheka sana subhaanaalhaah uongoo mtupu Zanzibar usivichezee hakuna nguruwe Zanzibar

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 7 днів тому

    NIPO TAYARI KUFA ILA NGURUWE SILI KULA WEWE MCHUGAJI MROHO. ZANZIBAR HAKUNA NGURUWE ACHA UWONGO

  • @faridinassoro5615
    @faridinassoro5615 2 роки тому

    Mwaipopo uwe mkwelii na unayo andikaa

  • @stephensakha4
    @stephensakha4 2 роки тому +1

    Sikubaliani nanyi,mbona mkosanise wakristu na waislamu.Bibilia na Kuruhani haziambatani Hadi kidogo

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 роки тому +1

    Usiseme wakristo , be specific acheni uongo, kama vile nyinyi mlivyo tofauti kwenye uislam wenu hata wakristo wanatofautina. Acha kupotosha

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 2 роки тому

    Waislam wakifunga biashara ya nguruwe soko linaharibika Nani anaipandisha bei

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 роки тому +2

    Jidanganyeni nguluwe mnakula sana nyie waislam ndo maana mwezi wa ramadhan nguluwe nyama yake haiuziki kwa Nini?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Wele mapepo wachafu walipomuona yakusema una nini nasi wewe mwana wa Mungu unataka kutchukua sio wakati wetu .yakamwambia yesu basi turuhusu tukawaingie wale nguruwe yesu akawafukuzia kwa nguruwe ndio maana waislamu wanamkwepa ngurue sababu hawawezi kula mnyama na ndugu zao wamo ndani yake

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 2 роки тому +1

    Huyu mchungaji kiboko anawamaliza waislamu wanafiki wanaojifanya hawali nguruwe kumbe ndo wanao ONGOZA kula nguruwe na ngamia ambao ni haramu

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 2 роки тому

    Haramu nguruwe msibishe

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 2 роки тому +1

    Kumbe nguruwe ni halali kwa waislamu ila wanaogopea tuu haya kibao zimetolewa la pili hili
    mapepo walipo ingia ngurue ,walishidwa kuvumilia kukaa nao wakawatupa baharini ,waislamu wanakaa nawao misikitini manjumbani mwao na kwa biashara zao wana waita ndungu hivi kati ya nguruwe na muislamu nani anatumia akili

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 2 роки тому

      Ama hakika ukitaka kujua ufahamu anayejua na asiyejua ni pale anapoanza kuropoka maneno ambayo hata maana ya maneno hayo anayoropoka hayajui maana yake kabisaa.Huyu anayeropoka eti kumbe nguruwe kwa waislamu ni halali ,uhalali huu ameupata wapi?Hawa hawa kuelewa ni namna gani na ufahamu wao ni mdogo sa wa kuelewa maandiko na ndio maana mpaka hivi sasa kadiri waalimu waliobobea hayo maandiko yao kila wakiwaelimisha na ushahidi wa wazi kabisa wao hawataki na mwishowe hukimbilia kwenye hoja zisizo na mashiko.Maana wanayoing'ang'ania wao kuwa muislamu ameambiwa ale nyama ya nguruwe ikitokea dharura,hiki ni kiswahili chepesi kabisa hakiihitaji ufike hata darasa la pili ineleweka ni nini maana ya dharura,dharura ipo kila mahala duniani,mifano michache,hata kwenye vyombo vya usafiri kuna milango ya dharura hata ndege kuna milango huwa haitumiki nyakati za kawaida,ispokuwa umewekwa kwa ajili ya tukio maalum.Hata mahospitalini pia.Sasa tukupe maana ya muisilamu kupewa ruhusa hiyo,ambayo kisheria Mungu mwenyewe amekataza,kwa dharura Mungu ametoa ruksa ili kutufanyia wepesi wa kupooza njaa pindi tunapokutana na hali ngumu mahala ambapo hamna chakula chochote ispokuwa ipo hiyo nyama ya nguruwe basi waisilamu tumepewa ruhusa hiyo na sio ruhusa ya kula ukashiba,ili mradi upate nguvu ya kukutoa hapo ulipo ili uende au ufike mahala vyakula vya halali vinapopatikana na pia utakuwa umejitahidi kujinusuru ili usife na njaa kwa kuwa siku zako za kuishi Mungu ndio anazozijua,wewe kazi yako ni kufanya juhudi katika kuokoa nafsi yako na ndio Mungu anavyotutaka na wala tusijiue wenyewe.Hii kwa kifupi ndio maana ya dharura.Hiyo haimaanishi kuwa nyama ya nguruwe na nguruwe mwenyewe ni halali.Nguruwe anabakia kuwa haramu toka tangu na tangu na mpaka mwisho wa dunia nguruwe atabakia kuwa haramu tu.Tatizo kubwa wengi wenu uelewa ni mdogo sana kwasababu nafsi za binadamu wengi wasiopenda kukosolewa na kuambiwa hili umekosea na ushahidi upo, nayeye hapendi kwasababu ya jambo alilolizowea na tayari ndani ya nafsi yake alikwisha tanguliza chuki,kwa hapa hata umwambie ukweli kiasi gani hayuko tayari kuupokea kwasababu hawapendi tu watu fulani.Kwa mfano kama huyu mtu anayeitwa Joseph kiswili,anasema eti waisilamu tunaishi na majini majumbani mwetu,misikitini na wengine tunatembea nao!! Khabari hii ameipata wapi ya sisi waislamu kuishi na viumbe hawa majini? Kama sio chuki kitu gani?Jambo kama hulijui waulize wenye kujua wakusaidie usiwe ni mwenye kukurupuka kujifanya unajua kumbe hujui,na mwisho wa mpumbavu huwa aibu.Ni bora ya mjinga kuliko mpumbavu.Ushauri mdogo tu, tusiwe kwenye kundi la wapumbavu,tuwe kwenye kundi la wajinga tuwatafute waalimu wazuri watufundishe na tuwaulize maswali ili tupate majibu yaliyo sahihi kuhusiana na somo husika.Mwalimu mzuri ni yule anayefundisha na anayekubali kuulizwa maswali.THAMANI YA AKILI NI UPEO MZURI WA KUFIKIRI.TAFAKARI HUKUA HATUA.CHUKI NA GHADHABU HUTENGENEZA MAGONJWA YA MOYO.MOYO UKIHARIBIKA NA MWILI PIA UNAHARIBIKA.TUOMBE MUNGU ATUPE UFAHAMU MZURI WA KUYAELEWA MANENO YAKE MATUKUFU KUPITIA WAALIMU WETU WENYE UJUZI NA WENYE UKWELI NDANI YAKE.TUTAFANIKIWA.

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@hamisishabani4072 wakristo SI Kama hawajelewa vo Ila Wana kitu ushindani

  • @donedaddy4561
    @donedaddy4561 2 роки тому

    Kwa Zanzibar na nguruwe mmewaonea maan nimeish mwaka mmoja na nmeimaliza Zanzibar ila sijawahi kuona hata mfugo wa nguruwe

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      Mm cjawahi kuons nyama Wala akiwa mzima cjawah na sitak

  • @crescentvscross1132
    @crescentvscross1132 2 роки тому

    WAKRISTO wanataka mpotee

  • @rashidmohamed1903
    @rashidmohamed1903 2 роки тому

    Zanzibar wanaokula nguruwe machogo wapo huku tele

  • @josephkamani2093
    @josephkamani2093 2 роки тому +1

    Shikiria hapo hapo hawa waisilamu hawaelewi vitabu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 роки тому

      Acha kutukana watu wasioelewa vitabu ni nyinyi hata kitabu chenu hamkijui mpaka moment na mapasta

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 2 роки тому

    Tena Nguruwe! Ni Haramu haramu haramu Mutwilak

  • @kishingokishingo1840
    @kishingokishingo1840 2 роки тому +1

    Akili za huyu.mchungaji sawa na huyu nguruwe eti makatazo hayo yalikuja kwa wana wa israel ila yesu aliekuja kwa wana wa israel.unasema anakuhusu ww kwenu tabata

    • @ritasheriff7814
      @ritasheriff7814 2 роки тому

      Elewa maandiko vizuri. Uliza ueleweshwe.
      Dharura maana yake kukiwa hakuna Cha halali kabisa ndio unaruhusiwa kula chochote kilicho mbele yako

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 роки тому

      Bible haisomwi Kama gazeti quran, kasome vizuri

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 Рік тому

      Tatizo la ndugu zetu waislamu hawako kiroho kila jambo wao wanalifafanua kimwili.

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 2 роки тому

    Wanaokula nyama ya nguruwe Zanzibar ni wao wabara wenzenu na hata Kama waislamu wanaokula nguruwe sio Kama dini imetaka mbona zinaa ulevi kamari kufuwa na dhambi lkn watu wanafanya

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Рік тому

    Ni kwanini waislamu hawampendi nguruwe ndani ya nguruwe mna ndugu zao mashetani waliosilimishwa Yemeni ukweli ni kwanini kumchukia ngurue tu hahahahaha

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому

    Wewe hujui kwanini waisilamu wakataliwa kula ngurue ?kwa sababu winadamu

  • @sabihaibrahim3393
    @sabihaibrahim3393 2 роки тому

    Unauliza ngurue ana nini hujui kama anamaisha kama ya mamaako anaingia siku zake saba za mwezi ndo munakufa kwa makundi kwa kula nguruwe sijasikia watu wamekufa makundi kwa kula mbuzi na ngamia

    • @josephkiswili1955
      @josephkiswili1955 2 роки тому

      Kaka kati yako na allah nani anatumia akili vizuri allah anasema kuleni nyie mwasema hatuli sinyie ni wanafikii

    • @sabihaibrahim3393
      @sabihaibrahim3393 2 роки тому

      @@josephkiswili1955 Allah hajasema usumsingiziye shetani wee

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣...nguruwe ni bora kuliko waislam🤣🤣eti nguruwe walikataa kuishi na majini, afu waislamu wanaishi na majini

  • @aliyahya5785
    @aliyahya5785 2 роки тому

    Muongo huyo mchungaji bucha gani linalouza nguruwe mim nimezaliwa hapa Zanzibar. ..... asisemeuwongo huyo.

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 2 роки тому

    Waislamu inaonekana munamzidi allah akili maana kama Allah alakubali waislamu wakule nguruwe wanakataa wana kataa kwa hiyo allah si chechote bele ya waislamu abao ni makafiri wabishi wanabisha hata Allah.

    • @momapessa
      @momapessa 2 роки тому

      Heeeeh subhanalah mungu ganiii aliyeruhs waislam wal nguruee

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 2 роки тому

    Na Kama kila chenye miguu minne ni Halali kula mbona Hulu paka Simba chui daaah yaani wakristo hawana hoja hata kdg

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      Ndomana nasema wewe unasoma biblia kama vile gazeti la nipashe ndio maana huelewi na hutakuja unielewe biblia labda ukubali kubatizwa na ushukiwe na roho mtakatifu...ngoja nikuelimishe.biblia takatifu imesema wanyama wanaoruhusiwa kuliwa ni wale wenye kwato zilizo chanika pande mbili kama vile ng'ombe,nguruwe,mbuzi,kondoo,na wanyama wengine wa mwituni wanaofanana na hao nilio wataja biblia takatifu imekataza kula wanyama wenye nyayo kama vile simba,mbwa,paka,na wanyama wa aina hiyo kwaiyo unaposema biblia unatakiwa utulize akili zako usisome kama unasoma vitabu vingine

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 sahau kuhusu hilo

  • @aliyahya5785
    @aliyahya5785 2 роки тому

    Mim sijawahi hata kuiyona hata kwa macho huyo nguruwe.

    • @josephkiswili1955
      @josephkiswili1955 2 роки тому

      Aza kula nguruwe kaka allah ameruhusu

    • @aliyahya5785
      @aliyahya5785 2 роки тому

      Nafikir tuwaulize wakristo wenzenu wasabato kisha watatuambia kama bibilia imekubali au laa

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 2 роки тому

    Heh eti nena na wana wa israel mmh tamaaa zako

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 роки тому

    jamani hata ili la nguruwe pia mwapinga? duh mi nadhani wanafanya kejeli hawa wakristo...sio kwa upingaji huu...walawi 11:7 kwenye bibilia imekataza au mnafanya utani na maneno ya Mungu nyie

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 роки тому

      Mbona nyie mnakula ngamia na no haram tatizo elimu ndogo

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 Рік тому

      ​@@francisjoseph1074 tatizo ngamia sio najisi,ata Yohana mbatizaji alivaa singa za ngamia na akambatua Yesu akiwa amevaa mishipi ya ngamia kwa imani yenu...kama ngamia haramu mbona yohana kavaa?

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Рік тому

      @@shabamuhidin634 we kweli huna akili ukisikia ngamia unafikiri ni ngamia mnyama Kwa akili zako fupi mi kila siku nasema waislam hawajawahi kua na akili ngamia ni kamba ya kufungia kitu, mfano yesu aliposema ni vigum tajiri kuingia kwenye ufalme WA Mungu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kwahiyo Kwa akili zako hapo nimnyama sindio Bible sio gazeti kama qurani

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому

    Mbona clip mzima nihuyu aropokwa tuu hapa bila Aya anazidi kuwafanya watu waende Kula huyo ngurue Kwa uongo wake hapa dakika 38 mtu moja aongea urongo tuu kutoka kichwa chake

    • @hamidal9359
      @hamidal9359 2 роки тому

      Ndugu zangu huu mdahalo wakula nguruwe na madhara yake na kwa nin Allah amekataza binadamu wasile nguruwe ukitaka faida za Kujua Hilo kisayansi naomb fuatilia darsa ya Sheikh suleiman Abbas sayansi ndan y nguruwe utjua

  • @sabihaibrahim3393
    @sabihaibrahim3393 2 роки тому

    Utukome zanzibar wanakula makafiri wenzio wazunguu wanapokuja na huikuti vihoteli vidogo vidogo vya kinyonge zinauzwa hukoo mahoteli ya kitaliii utukome kafiri mututu wee njoo utuoneshe bucha la nguruwe huku wanatoka kwenye mabox baraa yanashushwa mahotelini hukooo ushindwe kwa jina la Allah usituchafuwee pooo uso kama nguruwe wa babaako

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      wazanzibari mnakula nguruwe bana unakwepa nini?? tena ndo kitoweo mnachokihusudu sana sasaivi kilo ya nyama ya nguruwe zanzanibar ni 2o,ooo unafikiri wanakula wakristo pekee yao??! hayo majina mapya ya nguruwe mnayoyabuni kila kukicha ni kwajili ya kujificha msitambulike kama mnakula nguruwe lakini ukweli waislamu mnakula sana nguruwe

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 kwahyo Kama waislamu wanakula nguruwe ndio dini imetaka hivo mbona zinaa,ulevi,kuuwa,riba ni haramu lkn watu wanafanya na mbona bibilia imekataza kula nguruwe nyie mnakula mnajidai ni katazo la waezrail

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 Zanzibar hatuli nguruwe ukimuona mtu Zanzibar anakula nguruwe ujue mbara mwenzio asijuwa dini au kafiri mwenzio

    • @ramadhanmahongole5663
      @ramadhanmahongole5663 2 роки тому

      @@pamoles1303 nakushauri soma biblia kwa makini na umtangulize roho mtakatifu akuongoze usome kama gazeti utapotea.kumbuka biblia ni kitabu kitakatifu siyo kitukufu kama quran yenu ambayo unaweza kuisoma hata kama huna roho mtakatifu

    • @pamoles1303
      @pamoles1303 2 роки тому

      @@ramadhanmahongole5663 soma mwenyewe gazeti lako na matusi yako Sina mda wa kupoteza kusoma ukafiri