Kiukweli shekh unazungumza maneno ya ukweli kabisa Allah akulipe kher na akuhifadh na ishallah kuhusu hilo wazima na kuchangia juu a uislam ishallah Allah alilizie litimie lengo na tujitokeze kwa wingii zaid
Kwetu sisi Waislamu hakuna pesa za bure kama kwenu huko na huyu Mwaipopo angekuwa ana njaa za pesa angekaa huko kwenu ndiyo kuna wapigaji wakina kiboko ya wachawi.
Warabu ndo walieneza uislamu zanzibar na Tz nilikaa na babu yangu akanisimulia mengi waloleta lkn upande wa pili hawakupendezewa kabisa nakuanza kuwachukia kisa Dini ya uislamu
Huko Kwa wa Zungu mnao wasifu Wana akili na ni wana sayansi , ma Profesa wakubwa wa NASSA wamesilimu Wameiona haqi soma viizuri Biblia yako kwa makini utaona tofauti na kusomewa na kiongozi wako ! Ukitaka kumtoa mtu akili tofautisha kwanza fuatilia unacho kiamini na anachoamini kwa undani utapata jibu🎉
Daaah Mwaipopo muogope Mungu, wewe kina siku Unawasema vibaya WARABU kwamba kazi yao ni kufadhili MPIRA, wanakina Ronaldo, YANGA, SIMBA na mambo mengine ya hovio, leo unabadilika gafla unasema Warabu ni watu wema, wanatowa saana kwajili ya dini 😂😂😂 Ndio maana juzi moja akacoment kwamba “unajidhalilisha unashindwa kuvumilia njaaa.” Mimi naamini kama Sio BANGI basi Kichwa chako Hakina Sawa kabisa, una Matatizo!
Allah akulipe sheikh mwaipopo Allah atupe khusnul khatima
Allah atufanyie wepes kwa rehma zake inshaallah
Mmungu akupe maisha marefu sheikh mwaipopo na uzidi kutuongoza kwa wema na uzuri Allah akupe maisha mema na mazuri
Asalam alaikum sheikh mwaipopo pasuwa ukweli uongo ujitenge
Kiukweli shekh unazungumza maneno ya ukweli kabisa Allah akulipe kher na akuhifadh na ishallah kuhusu hilo wazima na kuchangia juu a uislam ishallah Allah alilizie litimie lengo na tujitokeze kwa wingii zaid
Ndio maana Dume zima la kinyàkyusa likasilimu likadhani ĺitapata hela kwa waarabu. kwa bahati mbaya wakakushitukia. pole Mwanafiale.
Kwetu sisi Waislamu hakuna pesa za bure kama kwenu huko na huyu Mwaipopo angekuwa ana njaa za pesa angekaa huko kwenu ndiyo kuna wapigaji wakina kiboko ya wachawi.
Naomba kuuliza hii studio ni kwamambo ya dini tu au ni mchanganyiko naskia bongo fleva hapo
Kweli kabisa hii mada ina husu waislam
Itakuwa Waturuki
Warabu ndo walieneza uislamu zanzibar na Tz nilikaa na babu yangu akanisimulia mengi waloleta lkn upande wa pili hawakupendezewa kabisa nakuanza kuwachukia kisa Dini ya uislamu
Warabu wengi wana ndugu na jamaa zao nchi za nje kwa hiyo wanapata misaada kutoka nje nandio maana asilimia kubwa wanakua na uwezo tofauti na waafrica
Waafrika wenye mali nyingi nao wapo na wanao ndugu zao wengi wako nje pia lakini wengi wanafanya mambo yao binafsi
Huko Kwa wa Zungu mnao wasifu Wana akili na ni wana sayansi , ma Profesa wakubwa wa NASSA wamesilimu Wameiona haqi soma viizuri Biblia yako kwa makini utaona tofauti na kusomewa na kiongozi wako !
Ukitaka kumtoa mtu akili tofautisha kwanza fuatilia unacho kiamini na anachoamini kwa undani utapata jibu🎉
Daaah Mwaipopo muogope Mungu, wewe kina siku Unawasema vibaya WARABU kwamba kazi yao ni kufadhili MPIRA, wanakina Ronaldo, YANGA, SIMBA na mambo mengine ya hovio, leo unabadilika gafla unasema Warabu ni watu wema, wanatowa saana kwajili ya dini 😂😂😂
Ndio maana juzi moja akacoment kwamba “unajidhalilisha unashindwa kuvumilia njaaa.”
Mimi naamini kama Sio BANGI basi Kichwa chako Hakina Sawa kabisa, una Matatizo!
Wewe ndo bangi kafiri