Stoopid boy has the talent..,drive...voice.,..shida ni moja..kujipackage as an artist...ni kama ule vybzkartel wa kenya....wachana na hawa mahuru piga boka yako solo aisee
So we happen to come across this guy hapo Tassia River bank Akatugotea na akasema tungojee tuskie talanta hapo Si ni akina nani lemmie tell this guy knows how to sing 😅kwanza lyrics ndo hunimaliza I never knew id come across this song Huku social media I'm just amazed I pray he keep up the spirit I hope I meet him again ❤ G bug na jug wueeh❤😂fireeeeee motoooo
Gotta hatujai Buda. Tugonyeree,tungonyere,togonyere . wanauliza niko wapi niko ruraciO hii kanairo mind your business 254 mnanifollow manze kama Jesus disciplE jaba round hii minakandanga kama chapO ka huna lugha enda westi ukateke mambocH ka ni ngoma mi naskizanga world bosS ati best rapper kenya ni kaligraph joneS sa zenye octoppizo ako raondi huko new YorK 💯💯
I'm in love with this song.... Btw stupid Boy is my childhood friend, sikuwai jua ni ngori hivo lakini pale primo, Edelvale alikuwa anafanya hii shughuli bado.
These guys hukuwa very talented,shida hukuwa tu moja hawakuangi visionary and the moment wameshika tupesa kidogo ni ivo,kiburi Pro max.another thing they don't invest in the craft from the small money they get.kisha hawataki kutoka block unakaa ukishidwa kwani dream ilikuwa gani?manze OG is from kayole but alitoka huko.kisha let the be diverse and keep re inventing.
Best Urbantone 2024 1. gbag gajut 2.dance ya majuu 3.gbag gaJut Rmx 4.mukuchu 5.kudonjo kudunda, Director castro this is the time to make stoopid boy shine on 🎉
Crazy seeing Gotta City getting back their groove on🔥🔥🔥🔥🔥🔊🔊i once planned a show for this guys pale Thika Blend in 2020 ☑️🔌 Arbantone is the wave for sure ☑️🔊🔊
This dude is talented man 🎉
walahi ..sasa follow
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Lakini juu sio Dem hatakuwa appreciated
bana, unaeza pata hii ilikuwanga tu freestyle
Truss me
Tuko Wapi?!!
Tuko Juja na Njaa
Juja na Njaa
Juja na Njaa
JUJA NAA NJAA!
Watauliza tuko wapi?
Si TUKO JUJA NA NJAA!!!
Maaaa nze 😂
Mbayaa😅.
Ati uko Juja na njaa na sisi tulijipanga January😀😀
😂😂😂
Kiruuu😂
This guy's have talent let us gather together to support them,
Let's do this brother ❤️🇰🇪🚀
gnetjzbfxjbbzkzgbzdjdloxndngxbdbxh.lgmwllmysls Skala and the second half to ighuo
@@BC_Archimedes287gzmdnkcrrjxi.d 😭RiP
Hii nayo kuongea ukweli, Stoopid amekill. Flow inapelekana na beat deadly🔥🔥🔥
Bana amekill
He has flow n vl aliangushwa na mbogi genje but glad to see hes back
Wenye wanaskia gbag na jug wapi likes😂😂
mangwai na keg😂
juja na njaa
Kwani anasema nn
😂haha amefanya nimeenda chuom ya keg
🤣🤣😅
Dawa ya mwizi ni teke ndio aponywe na miguu😂😂😂😂
Kali sana😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
Liyetin 🔥🔥🔥🔥
Kwa wale tumeskia G-bag na jug wapi likeees😂
😂😂😂😂 me ata nimesearch Gbag na jug wakaniletea hii😂😂 ata nimedelete search history
@@sunburn254 Acha kushout😢😂
Juja na jug 😂😂
Ety best rapper kenya ni Khaligraph Jones saa zile Octopizo ako raundi huko New York
Yeah nanze fire
Hii Ngoma ingeachiwa stooopid boy amekill mbaya wengine wameuma kando bila meno
ati best rapper khaligraph jones saa octopizzo ako lap new york.............maaad you guy
acha og askie😂😂
Piga lap New York na do za mzungu
Madem wameparara kama dancer wa willy paul
Hater wewe ndio umeparara
Kilele za mukundu haziwezi pasua Choo💔🙌
😂😂
Mboto yoyo amengara manze
Noma Noma😂😂😂😂
Lyetin is super talented He needs someone who can support him 100% anaeza kua musician baddest kwa izii street🐐
Thank
🎉
Kabisa uyu jamaa ni mkali nimerudia verse yake mara kibao🔥🔥
Hapa Kwa madem wameparara Kama dance ya willy paul hiyo nayo ni noma😂😂😂💜💜💜
Stoopid boy nayo aliua angekua na verse tatu🔥🔥🔥🔥
Hardest VERSE in kenya hii mwaka ni hiyo ya stoopid boy
This song should have at least 2M views sai!!
Mnafaa mna repost
Remix ndio mbwayaaaaaa
keleele za mkundu hazipasui chooo😂😂😂😂
Naishaa mimi😂😂😂😂
😂😂nimekwama hapo
😂😂
😂😂😂🙌
😂😂😂😂
Unapiga like yangu ukienda ......
Mboka imejipa kweli kwa vijana
Akuna kipiga watu tisa
We need more songs of this kind 2024❤❤❤
Stoopid boy has the talent..,drive...voice.,..shida ni moja..kujipackage as an artist...ni kama ule vybzkartel wa kenya....wachana na hawa mahuru piga boka yako solo aisee
True
huyu jamaaa akieza chukuliwa na music label atablow up mbaya
Labda hype na inspiration inatoka kwa hawa mahururu...at times unapata ni hao wanaandika ngoma
Huyu boy anakuwanga na talent poa sana 🔥🔥shida hajimarket
Mluhya wa Busia👏
Tupendane Adi serikali ikose kazi🥰😍
Uyo mluhya ako lit asf 😂
Maaaad.. now this is one for the team💥💥💥
If you want to know the art in Stoopid verse, check the rhyming, this guy rhymed his whole verse from the start to the end🔥🔥🔥
"Ukitaka kukuwa rapper Kenya Lazima udiss PAPA"...Respect the OG 📈 🎶 🇰🇪
ukaeza kua venye nataka me naona ukirun the current industry in kenya ya iyo sector
Huyu stoopid boy ako so talented buana
So we happen to come across this guy hapo Tassia River bank
Akatugotea na akasema tungojee tuskie talanta hapo
Si ni akina nani lemmie tell this guy knows how to sing 😅kwanza lyrics ndo hunimaliza I never knew id come across this song Huku social media
I'm just amazed
I pray he keep up the spirit
I hope I meet him again ❤
G bug na jug wueeh❤😂fireeeeee motoooo
Liyerin nakuwanga nmemtii lkn hataki kuimba to his best I hope one day utakuwa serious
Dogo ametema safi yuko juu na floo safi ✊🏿stupid boy 👊🏿…ma star wasipo ku support wasanii wakenya wanawivu na huyu msanii
Bro ume kill🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯the best this year.
Doba na Vida iko at da top...big up manzee...254 to the world
wonderful then uyo msee wa kukondoa macho atolewe kw group
Stoopid boy with one of the hottest verses ever in the 254🔥🔥
🎉🎉🇰🇪🇰🇪:with new arbantone coming out,i can now confirm time yetu ilikuwa tamu sana...we listened amd danced to the beats bana🔥🔥
Stoopid uko vzuri mzee baba...aminiaa🔥🔥🔥🔥
Stoopid never disappoint 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯 I love you so much♥️
Mungu anaweza kuinua na siku moja tu..Huyu boy akiweka Mungu mbele harudi nyuma tena
Thats one hell of a way to kick off 2024
All along nasearch ruracio by wakadinali kumbe ni nyinyi,aah nimefurahi kazi safi
Wale Wa emba cashy piga like
Ka ni ngoma mi huskiza world Boss!!Awoo🇯🇲🇰🇪
Hii song nimecheza club sema kubeba jeshi 🔥🔥🔥💯
Nice one. Both Stoopid na Lyetin wanakuwanga na talent na tunataka kuona more output
Stoopid never disappoint,..Mambo Baddest 🔥🔥🔥🔥💯
Wenye tumekam hapa after Dr ofweneke 😂
Gotta hatujai Buda. Tugonyeree,tungonyere,togonyere .
wanauliza niko wapi niko ruraciO
hii kanairo mind your business 254
mnanifollow manze kama Jesus disciplE
jaba round hii minakandanga kama chapO
ka huna lugha enda westi ukateke mambocH
ka ni ngoma mi naskizanga world bosS
ati best rapper kenya ni kaligraph joneS
sa zenye octoppizo ako raondi huko new YorK
💯💯
Kwni madancer wa willy paul wameparara
Hahaha noma sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mumeni entertain !!
Ngoma kali sasa wacheni jaba na jag. Verse ya mwisho imechoma, muluya wa busia hayuko.
Ni poa hamukueka madocho hapo kwa music video. Good music
Hati kelele za mkundu Bado haipasui choo. walahii stupid ni mkali. Ako na verse kali
Hiii nae imeenda chuo....kitu saafii❤ big up🎉Stupiid boy💪💪💪
Stooped is good mwambiee tu he should put in work and focus
I'm in love with this song.... Btw stupid Boy is my childhood friend, sikuwai jua ni ngori hivo lakini pale primo, Edelvale alikuwa anafanya hii shughuli bado.
Kumbe hio time yote nimekua nikiimba vitu zangu, ati Gbag na jug😂😂😂 wapi likes jameni
Laytn nimekutambua... chapa kazi nduguu... niko ungem trench
tulienda wapi si tu gbag n jug 😁😁😁😁🤩🤩let me spread this here in the us
These guys hukuwa very talented,shida hukuwa tu moja hawakuangi visionary and the moment wameshika tupesa kidogo ni ivo,kiburi Pro max.another thing they don't invest in the craft from the small money they get.kisha hawataki kutoka block unakaa ukishidwa kwani dream ilikuwa gani?manze OG is from kayole but alitoka huko.kisha let the be diverse and keep re inventing.
kwela ni ndere ni nderere🔥🔥🔥🔥
Starehe ya kitanda usilete kwa matanga😂😂😂eeeiiii this guys🔥🔥🔥🔥🔥...ma vaibuuuuuu
this guy is a massive talent for sure
Ka ni ngoma mi husikiza world boys ❤❤❤
Mi huskiza worl boss
Am going to share Vila chuki BUT
STOOPID BOY PUNGUZA POMBE BRO.. PUNGUZA PUNGUZA PUNGUZA utaenda far .wacha nikae hater wako Mpaka uwache pombe
Ii ni kanairo mind your business 254
Nipeeni huyo waingo🫵😅🤭🤭
👊... Lit 🔥
Stoopid hukua na talent,,,ukikua serious na life utakua big thing
Liyetin killed it🔥🔥🔥
hii nayo stoopid bwoy alitesa,,,kijana ako bie sasa,,,,bigup mr man
STOOPIDBOY KILLED THIS❤
Nmekam uku juu ya Msamia from Busia💥
All the best ❤❤❤ keep giving us vitu kali kali
Stoopid boy has got to be one of the finest rapper in 254
This is talent now👌👌🔥🔥
Weuh! I'm glad stoopid boy hakukufa moyo! amemalo!
No girls no guns just homies vibing🔥🔥
Big up kipawa . keep Empowering these ghetto guys. The power of Music 🎶. Gbag Na Jug to the world
Dalo yoyo brings western urban flavour
Best Urbantone 2024
1. gbag gajut
2.dance ya majuu
3.gbag gaJut Rmx
4.mukuchu
5.kudonjo kudunda,
Director castro this is the time to make stoopid boy shine on 🎉
kudos to producer and crew the beat is madddd
Christopher Birch hailing from Jamaica, riddim was produced in 2003.
Lyteing ur very talented uko ligi kubwa bro
The producer of this "lele banger" needs special recognition 🌟🔥
Sasa producer ni who na ii ni ol' bad beat
Bro, hii beat ni ya Sexy Lady Riddim.
Hii beat ni ya T.O.K from 🇯🇲
Manze away kama wakame up na new song manze tumeongoja
🇰🇪🇰🇪👍👍🆗
Crazy seeing Gotta City getting back their groove on🔥🔥🔥🔥🔥🔊🔊i once planned a show for this guys pale Thika Blend in 2020 ☑️🔌 Arbantone is the wave for sure ☑️🔊🔊
Mapepo,, "waingoo representing mluhya wa busia" 💪
Kelele za MKUNDU haipasui Choo
Wuee ....Ii ni kali aki , kuiskiza cwachi
I wrote this song 5 days ago and sold it to Gotta city 2days ago now it's doing well❤❤❤thanks to gotta city❤❤❤
Wacha uongo bro😂😂😂
@@DerrickOmondi-n5n😂😂😂
Haiombwi ivyo bro😅
Hii ujinga unacomment kwa kila ngoma😂 have some manners
@@youngbeatkiller 😂😂
Stoopid hubamba vibad siku zombo👊😍💯
GOTTA CITY TO THE WORLD SHOW SOME LOVE FOR OUR HOOD #33EMBA
Role model wangu sini khali, wa jones gather her🎉
Ni mimi peke yanguu ama dalo anakaa bien😂😂
😂😂😂bana dalo amenyoa akafanana na bien
Hii ngoma ifike mita moja bana🎉🔥🔥🔥
gotta still soo good i dont know why they not giving us songs more pftenly
Kumbe majamaa wako na talent. I salute them hii ngoma ni 🔥🔥🔥
Kama Huna lugha enda westy uteke mambotch😅
Ka ni ngoma mi naskizanga world boss🔥❤️
So talented 💯💯