NILIVYOPATA UTAJIRI WA MASHETANI / MAJINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Kwa simulizi zaidi subscribe channel hii Simulizi Mix na kwa simulizi fupi subscribe channel simulizi fupi bofya hapa / simulizifupi

КОМЕНТАРІ • 73

  • @neutrineanzilimi9798
    @neutrineanzilimi9798 2 роки тому +6

    Wow hii kitu ni moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍👍Thanks anko j

  • @aaaaa2440
    @aaaaa2440 2 роки тому +7

    Eee mungu tuongeye katika njia yako baba 🤲🤲

  • @MunirahGideon
    @MunirahGideon 2 місяці тому

    Anko jay upo vzr sn ❤❤❤❤

  • @msafirizakayo539
    @msafirizakayo539 Рік тому +1

    Tamaa mbaya Sana kwa kutaka utajili wa haraka kama hivi

  • @dkedjffkkldldksjekxkdshl7867
    @dkedjffkkldldksjekxkdshl7867 2 роки тому +2

    Daah history noma huuh

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 роки тому +9

    Ni Afadhali kipande kikavu cha mkate mahali penye amani,
    Kuliko nyumba iliyojaa karamu,pamoja na ugomvi METHALI 17:1

  • @chocolatebby7328
    @chocolatebby7328 2 роки тому +1

    Honger msimuliaji unampatia uyo mganga

  • @robypkonanga7654
    @robypkonanga7654 2 роки тому +3

    Mungu wetu yu haiii...,kila kitu tutaweza kupitia yeye

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 роки тому +1

    Mngu yupe hakuna mwingine yeyote kama yey tusaidie mngu God bless 🙏

  • @Lucygichangi
    @Lucygichangi Рік тому +2

    Greetings

  • @alicekhamayo1991
    @alicekhamayo1991 2 роки тому +4

    Heri nile hiyo kindogo na watoto wangu 🥲😭😭😭😭

  • @sheilabosy2366
    @sheilabosy2366 2 роки тому +1

    Waaa shetani

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 2 роки тому +6

    Achaa ni sugue hammuu tu na inshaallah nitakuwa tajri kwa ajili ya Allah 🙏🙏

  • @manixbaby1291
    @manixbaby1291 Рік тому +1

    Jina la app

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Рік тому +1

    Anko jay wangu

  • @chocolatebby7328
    @chocolatebby7328 2 роки тому +1

    Huu mziki naupenda nakumbuka simuliz ya nyumba ya wafu iliyosimliwa na felix mwenda

  • @ndohoriomsacky445
    @ndohoriomsacky445 2 роки тому +1

    Hii ni storia ni ya kweli muwe makini sana nyie wanawake

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому

    Asante kwa simulizi nzuri amakweli mchuma janga hulanawakwao nasikuzote tamaambele mauti nyuma

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 роки тому +4

    Achaa niendelee kua shaghalaa oman lkn sio pesa zaivy Allah nisameee 🥺🥺🥺

    • @munirachangawa2928
      @munirachangawa2928 2 роки тому +1

      Umeonaeeee tutatumwa na warabu mpaka basi.lkn sio mengine

    • @mwanah3643
      @mwanah3643 2 роки тому +1

      @@munirachangawa2928 kabisaa mpenz unapata kila haki

    • @ankojay8882
      @ankojay8882 2 роки тому +1

      😂😂😂

    • @munirachangawa2928
      @munirachangawa2928 2 роки тому +1

      @@ankojay8882 yes borea kuwa mtumwa lkn unajua unafanya nini.unapata pesa ya halali.ndio mana pesa yetu mungu anaibariki.

    • @mwanah3643
      @mwanah3643 2 роки тому +1

      @@ankojay8882 wallah Anko

  • @irenewilfred7767
    @irenewilfred7767 2 роки тому +3

    Jmn nyie. Uwiii

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 2 роки тому +2

    EE YEHOVA MUNGU TUSAMEHE NA UTUONGOZE KATIKA NJIA INAYO KUPENDEZA

  • @saidindomondo4564
    @saidindomondo4564 2 роки тому +3

    Hii stori ina funzo. Ila hapo uliposema amepewa sharti la kutovaa viatu alafu aliinama chini afunge kamba za viatu🙄

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 7 місяців тому

    Ni simulizi tu ya kubuni ama ni kitu ilichofanyika kweli

  • @mwanaashashokowa2151
    @mwanaashashokowa2151 2 роки тому +3

    Jamani jamani kitu kipya na anko

  • @desmainjendi4768
    @desmainjendi4768 2 роки тому +1

    Hayo matatizo huyo mwanaume alitaka mwenyewe itabidi atubu sana tama ni baya sana ugesubiri mda wa mungu

  • @hasanmusa-ky6ny
    @hasanmusa-ky6ny Рік тому +1

    Ivi hio nikweli au nikomedi za watu

  • @bashirushabani6726
    @bashirushabani6726 Рік тому

    🔥🔥🔥

  • @rwekasimlizi2029
    @rwekasimlizi2029 2 роки тому +1

    Hadith ni nzuri

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 Рік тому +1

    Umlaani yeye na kizazi chake, Sasa kizazi kinahusikaje kwenye laana ya mjukuu

  • @sarairingo2207
    @sarairingo2207 2 роки тому +4

    Some people are evil. Turudi kwa Muumba wetu.

  • @michaellazaro7874
    @michaellazaro7874 2 роки тому

    Nipo❤

  • @eunicetheodol9584
    @eunicetheodol9584 11 місяців тому +1

    Yuko wp huyo mganga

    • @jumakasim8784
      @jumakasim8784 8 місяців тому

      😂😂😂😂 bro haya mambo usije ukajarib bola uendelee kuskiliza story tu mim nilipewa jambo moja nifanye ndan ya chumba changu nilikutanishwa na mtu kama mim kavaa kama mim na chumba nilikiona kichungu nashukuru mungu nilishindwa mashart na pete nilio pewa ilipotea hadi leo sihitaj pesa za chap tuwe makin

    • @livybreezy8754
      @livybreezy8754 6 місяців тому

      Uko side gani nikupeleke kwa mwingine uko mombasa ama Tanzania?

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 2 роки тому +3

    Asante sana simulizi mix

  • @user-dm6ln3pw1e
    @user-dm6ln3pw1e Рік тому +1

    Uongo uoo hakuna hayo

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 2 роки тому +1

    Maisha yanachanga mwoto rakini hayayote yana tutokea tukiwambari na mungu tunasahau kua mungu yupo halafu sometimes wanadamu wengine hatuna hakiri imagine waganga wa chenyeji hawana utajili wowote rakini bado twawaomba utajili Eemungu tuongonze tuweze ku kumbuka kua unaishi ndani yetu hela tutaziacha hapa duniani

  • @dkedjffkkldldksjekxkdshl7867
    @dkedjffkkldldksjekxkdshl7867 2 роки тому +1

    Daah dunia inamambo

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +1

    Subhaanaallah

  • @roseobara9091
    @roseobara9091 2 роки тому

    Mungu atulinde🙏

  • @PhionaMary
    @PhionaMary 11 місяців тому

    😂 hii heri nibaki masikini na niishi na amani

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 2 роки тому +1

    Unachukua muda saaanaa kwa ukimya

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 2 роки тому +1

    Ivi Kuna faida gani na pesa izoo unatafuta kwajili ya family alafu family iyo unaiuwa

  • @MaikoJoseph-ym9ke
    @MaikoJoseph-ym9ke 4 місяці тому

    Naitaji namba za mtalam huyo

  • @Omariasuman-ww8nl
    @Omariasuman-ww8nl Рік тому

    Napatje maisha

  • @saliminibaweni9262
    @saliminibaweni9262 2 роки тому

    Eeeh mungu 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @katushaberinah3376
    @katushaberinah3376 2 роки тому +2

    Tatizo ni sauti iko chini sana

  • @joycesamwely7896
    @joycesamwely7896 Рік тому +1

    Ee mwenyezi mung tukumbuke watu wako

  • @vero756
    @vero756 2 роки тому +5

    (1Timothy 6,10) Timotheo 6:10 maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha,ambyo wengine hali wakiitamani hyo wamefarakana na imagine na kujichoma kwa maumivu mengi*

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 2 роки тому +1

    Eeeh🙄🙄🤔🤔🤔🤔

  • @user-vb8ck9tt9o
    @user-vb8ck9tt9o 2 роки тому +1

    maisha yamserereko acha ikae

  • @hasanmusa-ky6ny
    @hasanmusa-ky6ny Рік тому

    Uogo

  • @chocolatebby7328
    @chocolatebby7328 2 роки тому

    Utajuri wa majin ni mashart na mtihan kwa mung hutoi kafara bali ni aman na furaha tu

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 роки тому +4

    yaani kuna watu wajinga sana. kuna kafara ambazo mtu mzima hawezi kufanya 🧐 akiwa na akilizake Timamu🧐
    angalia KANUMBA. alikataaka toa mamake.
    wengine wajinga sana 👦🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️

  • @kingkaka7279
    @kingkaka7279 2 роки тому

    DUNIA imeisha😭

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Рік тому

    some people are evil

  • @msafirizakayo539
    @msafirizakayo539 Рік тому

    Tamaa mbaya Sana kwa kutaka utajili wa haraka kama hivi