Karibu katika SAA YA UFUFUO NA UZIMA: Muda mfupi kutokea sasa Askofu Gwajima atakuwa LIVE akifundisha NENO LA UZIMA: Unatupata kutokea kona gani ya Dunia?
Baba nikikusimlia habari za mke wangu mwenye umri wa miaka 28 mimba 13 zimemwagika, kufunga tumefunga maombi tumeomba na sadaka tumetoa lakini mambo bado magum, ndio maana nakata rufaa kwenye mamraka ya juu, tia neno lolote mimba ya 14 isimwagike
This is for those who said Bishop Gwajima when is going to be nominated as Mp for kawe he will be not seen on platform now come and see for urself he play giter he sing and he is online on utube
Hii Tv Rufusha ya Bishop. Gwajima inapatikana kwenye Chanel ipi. Au kingamuzi kipi? Naomba nijulishenifatilie. Kwa sasa namfuatilia kwenye UA-cam tuu. Watching from Songwe Tunduma
Mliopo nje ya Tanzania leteni mitaji tulimeeeeee! Ardhi ipo mitaji ya kufuga na kilimo chenye tija hamna; NAWAITA KWA JINA LA YESU! hapa home tunapuuzana tu hatuaminiani.
HONGERA MTUMISHI UKIJA BUNGENI NINAOMBA MUNGU KIBALI CHA KUFUNGUA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA . HUWA NAFUATITILIA MAFUNDISHO YANANIBARIKI SANA MUNGU AKUINUE ZAIDI. AMEEEENI.
Sauti ipo chini,mngefungua group la watsap mngekuwa mnaturushia haya mafundisho jamani,tunapenda ila huku UA-cam wakati mwingine inasumbua kama ivyo sauti
Leo iyi nakomba ni Rudi Akiri , afya , utajiri , urembo , ufaamu , etc .... Aciya weye urinifanya kiraro cako nakuwa zamu wamisukure ukooo leo bomoka teketeya achia kunivika yako nakucukuwa yangu leo Mungu nipe kuishi nakufanya uricho niumbiya Kwa sifa zako badiri i am very very ans very tide do same think tout day
Karibu katika SAA YA UFUFUO NA UZIMA: Muda mfupi kutokea sasa Askofu Gwajima atakuwa LIVE akifundisha NENO LA UZIMA: Unatupata kutokea kona gani ya Dunia?
Niko lamadi na nina shida na baba nataka nikate rufaa kwake, maana yeye ni mtu wa Mungu na ni mtumishi wa BWANA YESU KRISTO
Baba nikikusimlia habari za mke wangu mwenye umri wa miaka 28 mimba 13 zimemwagika, kufunga tumefunga maombi tumeomba na sadaka tumetoa lakini mambo bado magum, ndio maana nakata rufaa kwenye mamraka ya juu, tia neno lolote mimba ya 14 isimwagike
Naitwa Margaret Niko upande Italy
Kahama; Shinyanga TZ.
Burundi Bujumbura
Amen amen. Nimebarikiwa kabisa na neno la Mungu. Ninafuata online nikiwa Boise, Idaho, America. Mungu akuzidishiye mtumishi wa Mungu.
Amen baba askofu Bibilia yote iko kinywani doh najifunza sana may u live long
Amen amen 🙏🏾
Neno lisilo ghoshiwa. Chakula cha watu wazima hasa. Mungu ibariki Rudisha TV, Mungu bariki Ufufuo na Uzima.
Amen baba
Amen Amen God bless you pastor Gwajima Josephat 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
Asante baba askofu tunabalikiwa sana
Mungu akujaze nguvu zakipeke
Baba una mafunzo na ufunuo Wa kipekee. Mungu akustawishe maisha yako yote uzidi kutufunulia.
Mungu akubariki, ongezeni sauti
Watching from Nairobi..
Nakufatanga sana
Amen Amen Amen watching from nairobi
Nice
This is for those who said Bishop Gwajima when is going to be nominated as Mp for kawe he will be not seen on platform now come and see for urself he play giter he sing and he is online on utube
Hallelujah
Naamka kwa Jina la Yesu
Ubarikiwe Baba yetu kibaha kwa mathias tunakupenda sana
Najuwa kama uyu siyo mimi wame shindwa kunisaidiya peke yako tuuu nakusubiriya leo iyi now tomorow
Asante
Majeshi majeshi majeshi ya bwana pls naomba nr y benjaze nipeni 👍🏿🙏🏽
Amen amen amen! Halelujah!!!
U ishi milele. Baba
Amen Amen
sauti
Hii Tv Rufusha ya Bishop. Gwajima inapatikana kwenye Chanel ipi. Au kingamuzi kipi? Naomba nijulishenifatilie. Kwa sasa namfuatilia kwenye UA-cam tuu. Watching from Songwe Tunduma
Ameeeeen
Amen
Baba ni kweli kabisa ,Kuna vitu naona mpaka nashituka
Yes! From Kahama; Shinyanga TZ.
Mliopo nje ya Tanzania leteni mitaji tulimeeeeee! Ardhi ipo mitaji ya kufuga na kilimo chenye tija hamna; NAWAITA KWA JINA LA YESU! hapa home tunapuuzana tu hatuaminiani.
Please Côme toi Canada
mafundi mitambo uwa mnatuangusha kwenye upande wa sauti
Ameen. Tafadhali naomba message za Watsapp zifunguliwe ama tupewe number nyingine.
AMINA
HONGERA MTUMISHI UKIJA BUNGENI NINAOMBA MUNGU KIBALI CHA KUFUNGUA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA . HUWA NAFUATITILIA MAFUNDISHO YANANIBARIKI SANA MUNGU AKUINUE ZAIDI. AMEEEENI.
Ameeeeeeeeeeeen
Kweli hata mi sishindani nao nasonga mbele nilikoona mambo yangu mazuri
Sauti ipo chini,mngefungua group la watsap mngekuwa mnaturushia haya mafundisho jamani,tunapenda ila huku UA-cam wakati mwingine inasumbua kama ivyo sauti
No volume
NENO LA BWANA LIISHI MILELE
.
Leo iyi nakomba ni Rudi
Akiri , afya , utajiri , urembo , ufaamu , etc .... Aciya weye urinifanya kiraro cako nakuwa zamu wamisukure ukooo leo bomoka teketeya achia kunivika yako nakucukuwa yangu leo Mungu nipe kuishi nakufanya uricho niumbiya Kwa sifa zako badiri i am very very ans very tide do same think tout day
Mungu akubariki Mtumishi naomba namba zako jaman Mimi huwa nakuelewa Sana na ninakuamini Sana Mtumishi wa Mungu
Sauti ya kutosha please
NYIE NDUGU WA TEHAMA; HAISIKIKI VIZURI! KUANZIA ROBO HIVI.
Amen
Ameeeeeeeeeeeeen