SUPU YA SEAFOOD YA CREAM NZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024
  • Mahitaji ya stock
    Magamba ya kaa nimetumia kaa kiasi gram 900 unaweza kutumia kilo
    Carrot 1
    kitunguu maji 1
    Celery miche 2 - ( sio lazima )
    kitunguu thom chembe 3-4
    Karafuu - 2
    majani makavu ya bay leaf 2
    Majani makavu ya thyme - kiasi
    Maji kiasi vikombe 6 yaani kiasi lita 1 na nusu
    Kwa supu:
    Siagi vijiko 3 vikubwa
    Unga vijiko 3 vikubwa
    Pilipili ya paprika au yoyote nyekundu isiyowasha - kjk 1 kidogo
    Supu ya broth - kiasi vikombe 3-4 inategemea na uzito utakao penda
    Zafarani kiasi nyuzi 10 hivi
    Chumvi kiasi
    Heavy whipping cream - 1/2 kikombe kama utapenda
    Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    www.instagram....
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

КОМЕНТАРІ • 43

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar  6 років тому

    IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLS FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/NglKiYASZwQ/v-deo.html

    • @desertblade1874
      @desertblade1874 6 років тому

      Should have used coconut milk instead of whipping cream? Vipi sis... Or did I miss something?

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому +1

      @@desertblade1874 I could but coconut has a strong flavour and I did not want to loose bouillabaisse taste that I was after.

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 5 років тому +1

    Shukran

  • @badeeh22
    @badeeh22 Рік тому

    بارك الله فيك على الوصفة القيمة والمميزة وفي انتظار جديدك الأروع والمميز لك مني أجمل التحيات وكل التوفيق لك يا رب
    #وصفات_ليتني_همك

  • @badeeh22
    @badeeh22 2 роки тому

    This recipe is always at the top of the splendor, your recipes are distinguished and you always choose the most beautiful and wonderful.

  • @sarahramadhan2861
    @sarahramadhan2861 5 років тому

    Yani nilikua naitatufa hii supu lkn nlikua sijui nitafute kwa jina gan alhamdullah nmeipata sasa shukran sana Allah akuzidishie

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 6 років тому

    Mashallah nice supu mashallah tawajifunza vizuri kwa upishi muzuri Sana'a mashallah mungu akubarki akupe afia ameen thuma ameen

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 6 років тому

    Mimi hunywa hi supu marnyingi kwa hoteli za thailand na naipenda. Nimetamani kujuwa vile ina pikwa hahaha leo nimejuwa shukraaan sana allah akupe afya

  • @alikhamis4055
    @alikhamis4055 6 років тому

    Shukran mamy ALLAH akubark

  • @didahassanhassan687
    @didahassanhassan687 5 років тому

    Mash aallah soup balaaaahhh.

  • @ummuasmaa2255
    @ummuasmaa2255 6 років тому

    MashAllah Nitaijaribu Hio InshAllah

  • @Zainablicious
    @Zainablicious 6 років тому

    Shukran dear, nitaijaribu hii soup, it looks delicious 😋😋

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 6 років тому +1

    Ahsante sist ..jomoniii jana tu nimechambua prowns kilo 3 ivo vichwa na magamba yote nimevitupa oh usilolijua usiku wa kiza ahsante sist ubarikiwe .nimejifunza

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Pole sana, sikuwa na mda wa kuonyesha nilivyofanya video ya Paella

  • @umamuri4004
    @umamuri4004 6 років тому

    mashaAllah nimependa hii shukran habibty

  • @alriyami09
    @alriyami09 6 років тому

    Ok thank you I will wait

  • @rukiahhdbdn4798
    @rukiahhdbdn4798 6 років тому

    Maa shaa Allah

  • @maryamsaid3089
    @maryamsaid3089 6 років тому

    Thanks for the recipe mamy

  • @desertblade1874
    @desertblade1874 6 років тому

    Vyakula ya unguja 👌

  • @a.856
    @a.856 6 років тому

    Mashaallah look tasty😋😋😋

  • @fahas6779
    @fahas6779 6 років тому

    Mashaa Allah

  • @azizamauji3629
    @azizamauji3629 6 років тому

    Mashaallah nakupenda sana dada

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 6 років тому

    Ahsante kwa recipe 🙈🙈

  • @midagirlbasalim614
    @midagirlbasalim614 6 років тому

    Mashallah

  • @adangubi9822
    @adangubi9822 6 років тому

    mashaallah

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому

    😋😋😋

  • @alriyami09
    @alriyami09 6 років тому

    Salam alaikum can I use this souup recipe with Octupus

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      Yes dear you can but inshallah I will bring octopus soup recipe as well

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 6 років тому

    Unaweza kuweka tuwi yanazi ama lazima crim

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому +1

      Kama utapenda sio vibaya mimi sikutaka kutumia hapa kwa ajili nilikua nahitaji ladha fulani hivi ambayo nisingeipata kwa nazi

  • @hudaaljabry2480
    @hudaaljabry2480 6 років тому

    Oh !what a waste of vegetables

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar  6 років тому

      You have made your point dear, that's how professional stocks are made be it beef, chicken or vegetable stock , if you have leftover veggies those unwanted stuff at the end you can use those but most of the time its full veggies especially if its large quantity.

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 6 років тому +1

    MaashaAllah