Woeeeeeeeee mungu wangu haki Okoa Kitoo....this sound so painful haki....Jay Shikilia ule Dem wa kwanza mtruck huyo Gaidi...gaiiiiiiiiiiiiiii .....nimeisha nguvu haki.....💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
God please Kitoo is your son,protect him from the hands of evil people, God please we need your help,send your Angels to protect kitoo,natuma moto wa roho mtakatifu choma kila aina ya wachawi na waganga,nawaong'oa katika anga ya kitooo mungu wangu,ondoa huyu kijana katika mikono mwa huyu jambazi,baba jidhihirishe kuwa uhai wetu umo mikononi mwako baba twaomba utusaidie na utupiganie,mungu zingira kitoo kila kona,
So yule dem alikua anasema ukweli kwamba kitoo alichapwa sana😢😢May God intervene.. As a parent haki I feel for him. May that goon never know peace.May angel Michael protect Kitoo wherever he is. All that time anagongwa kichwa na mgongo surely? Why are some people so inhuman?Alafu ghasia zingine wanasema ni vipindi
Aki sijui kitoo in person. But usiku nilikuwa tu nastuka kwa usinguzi nakumbuka kitoo. I dont know why my spirit was soo much disturbed. Dear God, mahali kitoo ako, I cover him with the blood of Jesus Christ
Jay hauna huruma na kitoo kabisa,,,jiulize kama sisi wenye hatumujui kabisa just a mere funs tunaskia hivi na wazazi ama watu wao wakiskiza hii😢hungetuwekea hii akh kama wazazi tunamalizika
Sometimes si kuna wanyama ya watu. I always pray God nisiwai patana na hawa magaidi walai. Jay make sure umesanitize simu ya huyo madam anawapeleka msitu coz auwezi trust gaidi ivo. Sasa hii serikali iko rotten pia ww kitoo watakiwa kunyenyekea mara niuwe mara nisamehe where are u.
Kika mahali saa hii in kidnapped stories,senior Dave, Samaritan eastern tv and now kitoo truek TV...hii job in ngumu basis,kumbe criminals ni wengi Kenya
Huyu jabazi anasema akhi yenye mlinifanyia meaning ni mtu aliwai fanyiwa sanitizations na akapatikana na makosa ....just listen the voice kwa wale wamepitiwa back na atajulikana .that voice is very clear
my heart is bleeding.. nikisikia hio sauti ya kitoo akilia tu Ivo nafeel alot of pain as mother... bt I pray God to send an angle to rescue this innocent boy..
We Jay uliyataka hayo ungewezaje kuacha Kitoo. Achukuliwe wakati nyie mko wawili na nayeye yuko peke yake. Jamani toka saa hizi uanze kimtafuta jamani mbona anateswa si afadhali hata mungemshika saa hiyo hiyo ingalau awauwe hapo hapo kuliko kumchukua amuue huko kwa mateso nyie mnaogopa mtu mmoja
Thankyou heavenly Father our boy kitoo is alive.Send your angel Michael to rescue him
Alive we're is he?😭😭😭
Ohhhh my GOD
Who's Michael?🤔
Wanawake huyu mtoto ni wetu guys continue praying as we watch nimeshidwa kufanya kitu
Mungu wetu n mwaminifu kama champee amepatikana pia kitoo ataonekana in Jesus name
Blood of jesus, sending Angel's Michael, Gabriel to protect our kito in Jesus name Amen.
Kitoo toka kwa hii job akii tafuta kazi nyegine ona unao yapitia pekeyako mm imeniumiza kabisaa😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔
Kali imenishinda kusikia mpaka mwisho
Hii ni kurisk, hope atatafuta another side hustle
Wewe ni mbinafsi sana
Wapenzi wa kitoo please tuendelee na maombi cos hatujui.
Mungu tuko chini yako tunaomba kitoo apatikane 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mungu wng tenda miujiza Kitoo apatikane in Jesus name
Jesus Christ of Nazareth, God send your angel's to deliverance ktioo 😢😢😢😢😢😢
Mungu yupo nawe kito 😢
Kito you back you love you very much mungu akulide tu
Mungu ni mwema tena ni muweza ❤❤❤kitoo usijali mungu atafugua njia paspo na njia atapatikana tu kwa jina la yesu alie hai ❤
Woeeeeeeeee mungu wangu haki Okoa Kitoo....this sound so painful haki....Jay Shikilia ule Dem wa kwanza mtruck huyo Gaidi...gaiiiiiiiiiiiiiii .....nimeisha nguvu haki.....💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
God of heaven sent your Angel Michael to fight for him.
Hii ni Kenya ama tuko nchj ya wenyewe coz tangu mambo ya Brayo no one came to stop all this.
Kama champe amepatikana mungu tunashukuru fungulia kito mlango pia
Hawa bodyguards wanakapitia aki.. mwingine anakula nyasi aki.. Mungu kumbuka watoto wetu
Uiii Ngai kwanini unapeanga watu kma hawa nguvu ya kufaulu mission zao😭😭😭
Kito siumuite Mungu to mungu to atakusikia pia sisi tunakuombea akh🙏😊
Ooh my God 😢😢😢😢😢😢😢😢tuwe na imani atapatikana
God please Kitoo is your son,protect him from the hands of evil people, God please we need your help,send your Angels to protect kitoo,natuma moto wa roho mtakatifu choma kila aina ya wachawi na waganga,nawaong'oa katika anga ya kitooo mungu wangu,ondoa huyu kijana katika mikono mwa huyu jambazi,baba jidhihirishe kuwa uhai wetu umo mikononi mwako baba twaomba utusaidie na utupiganie,mungu zingira kitoo kila kona,
Mungu uliehai twaoba kitoo apatikane in Jesus name
Jay don't post again till you tell us you have rescued kito nothing else🙏🙏🙏🙏🙏
Aki mungu wa nazareth protect kitoo,wooi mungu geuza mawazo y hawa jangili, waconfuse hadi dakika y mwisho
Woooi jamani jamani mungu wamasikini uko wapi wakati huu huyu mtoto anaumia jamani shuka twakuhitaji mungu wetu
So yule dem alikua anasema ukweli kwamba kitoo alichapwa sana😢😢May God intervene.. As a parent haki I feel for him. May that goon never know peace.May angel Michael protect Kitoo wherever he is. All that time anagongwa kichwa na mgongo surely? Why are some people so inhuman?Alafu ghasia zingine wanasema ni vipindi
Uyo gadi sikia akisema waende msitu maliwanajenga kwanyumba ammalisie uko, oh my God sasa niwapi apo sasa
Kitoo kitoo, hizi Sauti zatoka wapi,?
Ukitendea mwezako pia wewe utatendewa vile, uchungu ni hile hile, wenda ikawa nu zaidi saana.
Wooooia mungu wa huruma tenda miujiza.Sant Antony,St Rita of the impossible things onekaneni pale
Kwani watu waligeuka wakakua Wanyama hawana huruma GOD have mercy
Jay wewe Ni muoga Sana napenda Kito juu ako na bidii, sio muoga then anatake risks za ku protect.
😭😭😭😭😭💔💔💔💔 woooiii Ngai moyo wangu 💔💔💔 woooiii kitoo wetu 😭
Mungu na awawezeshe na azidi kumlinda pia
Atapatikana in Jesus name 🙏🙏
Oh God now we know our brother kitoo he is oky not what we need it's to protect him wherever he is
Jay please hii kazi ni risk sana, akitafuteni ata business mufanye, aki kitoo mungu akufunike upatikane mzima,
I couldn’t continue listening to the video, it’s heartbreaking 💔. Our God is faithful 🙏🙏
Thank our Almighty God you are alive our brother
Aki soo emotional God remember your child sorround him with your blood mungu msaidiye 🙏🙏
Ooh God have mercy upon kitoo apatikane akiwa mzima
Kitoo Mungu akujalie maisha marefu, wwe ni Daniel mwenye alirushwa kwa tundu la simba, it's so painful
We thank God for kitoo, please jay hao magaidi wapigwe watupwe river yala Yao hyo😢
Uyo kijana si ameteswa kweli ooh mungu mponye kitoo in Jesus name
Ooooh no 😭😭😭😭 it's the voice of the same guy who kidnapped him haki. May God help Kitoo to come out alive woiyee. This is so heartbreaking 😭 😭😭
God send private angle to rescue kitoo vile umeokoa champee 🙏🙏🙏🙏kutoka chini ya kitanda
😭😭why am I crying,,,kito God is with u
My Lord of Nazareth,,nakuomba mungu wangu uokoe uyo kijana kwa damu ya yesu kristo iliomwangika msalabani kwa ajili ya dhambi zetu,,
Mungu wetu Linda kitoo aki
Jay please chukua yule dem alikuwa na yeye mpee simu amwongeleshe😢😢😢please
Tumbo langu jamani Mungu wangu linda huyu mtoto mahali yuko mbona ana pitia haya yote
Siku hizi ata wa nyama ni wazuri kuliko watu. We are living in a world full of wicked people
Woooyi ata sitaki kusikia na sikia kulia😭😭 mungu anekania kitoo mungu wangu
Aki sijui kitoo in person. But usiku nilikuwa tu nastuka kwa usinguzi nakumbuka kitoo. I dont know why my spirit was soo much disturbed. Dear God, mahali kitoo ako, I cover him with the blood of Jesus Christ
Glory and honor back to God DCI,JAY and all the term thx for rescuing kitoo I'm happy lord
Mungu wangu nakuomba ukuwe mtetezi wa huyu kijana.
Woiye Ngai😢😢😢😢 mbona hii mateso yote
Oh my God ,,,,
Let kitoo be rescued alive
Lord we are crying and more so his parents back home.lord God hear our prayers.
Na nikama ako na yule nyangau mkisii😢😢😢...ooh mu GOD...sorry kitoo
Ohh GOD MSAIDIE MTOTO WAKO POPOTE ALIPO ANAYO PITIA MUNGU KUA KATI YAKE 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😢😢
😭😭😭😭huyu mkisii naomba Mungu ashikwe ,we Mungu wangu ,kitoo 😭😭😭😭
I speak the blood of JESUS!!JEHOVAH GOD! TO DELIVER,,,,,!
Aki this is painful, God protect kitoo
Mungu wetu tetea kitoo mahali ako baba 😢😢😢😢💔💔💔🧎♀️🧎♀️🧎♀️🙏🏽🙏🏽🙏🏽😭😭😭😭😭
Woi muñgu saidia 🙏🙏🙏aki riho yangu inauma😭😭😭 since nione champee ameharibiwa aki sina amani
YESU AKUSINGIRE NA DAMU YAKE ILIO TIRIRIKA MUSALABANI INA WEZA MAMBO YOTE
My God help kitoo blood of Jesus protect him ,no weapon formed against us shall prosper in Jesus name
Jay hauna huruma na kitoo kabisa,,,jiulize kama sisi wenye hatumujui kabisa just a mere funs tunaskia hivi na wazazi ama watu wao wakiskiza hii😢hungetuwekea hii akh kama wazazi tunamalizika
Seed😭😭😭😭😭😭ghai ghaki what is that ghaki mungu Saidie kijana WA mtu aki
Woiye kichwa jamani 🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Woooy Kitoo haki haki mungu protect Kitoo wetu
Aki Jay y can't Yu save this boy pliz.Badala ya kutuwekea hii Sauti nendeni mkamtafute.
Inahurumisha jamani hope mlipata kitoo
Aki J tumia njia ulitumia kupata Bella plz
KITO akipatikana walahi aaChane na hii kazi😢😢😢😢😢 atafte kazi ikona amani
Ooh God saidia kitoo apatikane aki
Huyu jangili Pia nae ateswe pia kama alimfanyia Kitoo.musimuwache kabisaa😢😢
Ndio musimuhurumie kabisaa😢
Sometimes si kuna wanyama ya watu.
I always pray God nisiwai patana na hawa magaidi walai.
Jay make sure umesanitize simu ya huyo madam anawapeleka msitu coz auwezi trust gaidi ivo.
Sasa hii serikali iko rotten pia ww kitoo watakiwa kunyenyekea mara niuwe mara nisamehe where are u.
Yaani kidnapper have ruled this country ama?this is too much my God
😢😢😢😢Gai Mungu msaidie Kitoo wetu atoke akiwa salama
Jay sasa hizi nini aki 😢😢😢😢i can't hold on my tears 😭😭😭
Mungu nakuomba umuokoe kitoo, kama vile umemuokoa Champee na Anita
Mungu saidia kitoo hafai kupitia ii kuja um okoe plz
Jay please harakisha utafte Kitoo haraka sikoa tu kilio chake vile anateswa juu ya kazi yako
Oh, God almighty, please preserve kitoo. It's painful to hear a man in such pain
Kika mahali saa hii in kidnapped stories,senior Dave, Samaritan eastern tv and now kitoo truek TV...hii job in ngumu basis,kumbe criminals ni wengi Kenya
woiiiih mungu wangu😢😢😢😢jamenii do something in kito' s live why this😢😢😢😢 OMG
Huyu jabazi anasema akhi yenye mlinifanyia meaning ni mtu aliwai fanyiwa sanitizations na akapatikana na makosa ....just listen the voice kwa wale wamepitiwa back na atajulikana .that voice is very clear
Gaiiii plz jay is that kitoo😢😢😢😢😢😢 mbona unatustua plz jay plz😢😢😢😢😢😢😢😢
Jay na Afande mkipata hio mbwa ya mtu msiwe na second thot pls,fungua kichwa.
Wooiye aki Sina nguvu😭😭😭 can't finish this!
Waaaa tunashukuru mungu
Jay what you do mingeeka Hao magaidi kwa room moja alafu huweke camera wasione
Mungu saidia kito
my heart is bleeding.. nikisikia hio sauti ya kitoo akilia tu Ivo nafeel alot of pain as mother... bt I pray God to send an angle to rescue this innocent boy..
We Jay uliyataka hayo ungewezaje kuacha Kitoo. Achukuliwe wakati nyie mko wawili na nayeye yuko peke yake. Jamani toka saa hizi uanze kimtafuta jamani mbona anateswa si afadhali hata mungemshika saa hiyo hiyo ingalau awauwe hapo hapo kuliko kumchukua amuue huko kwa mateso nyie mnaogopa mtu mmoja
Sasa unatuekea sauti ya kitoo ya nini😢😢😢 kutuogeza uchungu 😢😢 bure tu jay hufanyi poa
katika jina la yesu kito atapatikana akiwa mzima
Jay pliz report this to the government bure watu watauliwa wengi na macullt na wakora wote
Mungu umponye jehova
Mungu hawa watu wakoseshe amani milele