Don't fear death even where u r hujui adui also remember death has no escape the death which occurred kijabe nobody was aware ni mungu tu atatuzingira.
Allah hanatakua na huruma na mtu mwenye anamushirikisha na kintu chochote ,allah hanamusamaha namutu mwenye kujiuu , huyo kijana alidanganyw eti akijiuu ataenda mbingini
Jay jay aki wewe nikama usomi comment aki sasa umepeleka Alshabaab kwa office yako surely jay are you ok 😢 okay be careful please uhame kwa hiyo office
Weeeh 'J ' utatuletea udaku mingu bro😂. Alshabab ndio wanatuangaishanga huku Mombasani. Pia nashangaa sasa wamesimamisha DCI MPOA HIVI JOB WAMEBAKI NA WALE WAKUSHOOT GEN-Z? GOD HAVE MERCY ON OUR NATION. GUY'S CONGRATS
Sasa dj umeanzana na Alshababu? Wewe ndie mkubwa kushinda Dedan kimathi? Sasa umengeza studio yako mahali pa kulete magaidi? Hurumii yourself na family yako?kitakuramba peke yako
Dunia simama mimi ni shuke ...likes tukisonga 😮
DCI nakupenda Tu bure Kwa kazi yako poa
Imagn ata nguvu ya Bibi kumwacha sijui anatowa wapi
May God bless this DCI
Huyu jamaa jay mnafaa mumpeane Kwa kambi ya Jeshi na sio polisi,it's a terror case,polisi wataachilia hii mutu na bond
Ma police ni bure xana
Police wakipewa kitu kidogo that is it.
By the way ni ukweli anafaa apeanwe kwa kabi ya jeshi,,kwa makarao atawapea hongo na atatoka
And ako happy analipua watu...this world surely...Mungu saidia watu wako
Brain washed
Jay tuko nyuma yako with prayers,,,lazima Kenya ibaki na Amani
This person is a dreadful even to enviroment. Dci pls do something to save lifes of innocient souls
As Muslim woman I agree. This is gang using religion
Msichana 🏃🏃🏃apo akuna mapenzi usijaribu kurudi uyo Mjiga aiiiiiiiyaaaaaa 😢😢😢
Jay keep up good work like like
Kitu napendea huyu kijana ni muwazi tokea mwanzonii
DCI nakupenda tu bure❤
Pls pls Jay, DCI and all your team... kindly pls... don't accept bribe with expense of innocent blood to be shed!;!!!
Of course they can't take the bribe as long as Jay is there.. God forbid.
Sincerely speaking DCI is doing great job and should be taken back to his work yawa anyway we salute you guys for work well done
Director J.read the messages.we are listening 🎧, might be through this we can safe our families in those areas,wasije wakalipuliwa.Pls expose them
😂😂😂 hadijah you nail it
Nope he is
Jay kabla upeleke Dci kwa Job nje unauliza yeye kama amekula food please
I hope he will consider this comment, jay please do so
🤔🤔🤔
I second you please please
Huyu dem ni mrembo woi uliangukia mkono mbaya
Wasichana wengi wana tamaa ya pesa ndio maana wa naingia kwenye shida kila wakati.
Juu ya tamaa ya pesa
Jay you have done a very big mistake kupeleka hio ghaidi kwa studio
Don't fear death even where u r hujui adui also remember death has no escape the death which occurred kijabe nobody was aware ni mungu tu atatuzingira.
Kabisaa hiyo ni big mistake
True
Na ILE ilikua Westgate Westland , walionyehwa na nani. Fearing death aaih....God knows everything.
Jay hii case huezi handle ungempeana mbele na kumbuka kàma madamu and governor walikushinda hii nayo itakulemea zaidi
Hand over this guy to antiterorist unit,atahudumiwa hapo
Aki jay and your team doing good job
Hee jaman hii dunia imekwisha mtuy kavaa kanzu na yupo kajiingiza kwa mambo kam haya duuh
Waaa jey sasa ujipange wezake wasikukujie❤
Yeah
Nikubaya
Good job director jay and dci
😅😅😅😅😅 mofa ulikataa 50k😅😅 ushikwa shikwe😅 nice work mofaaa 😂 ed team jay our dci❤❤pigeni like tukieda😅
Naona jay akiwa next Walai cos kuna wenzake wanamuowatch so utatafutwa walai😂na hakuna hapo kujitetea
Kabisaa tena amemleta studio hii ni hatari sana wanaweza lipua hapo hii sii rahisi aki
Facts
CDI ❤ Mungu akubariki uko poa sana
Alafu kama ni alshababu angekuwa hapo sai angekuwa police wacheni kutubeba ufala
J huyu nugu chunga sana atolewe hapo mukifunika uso sababu ninaona akirudi au kutumana team yake waje kulipia hapo ama ni mimi ninafikiria vibaya
Dr jay hiyo ni nguo tu kama nguo zingine hai husiani na mungu
😂😂😂😂😂wah ii planet iko na mambo ,,,chukueni iyo 300k nyuma ya camera at least itasaidia 😢
Then watu waendelee kufa😢😢
@@user-hp2rd2md3g wakichukua si ati ataachiliwa ,atakua Hana za kueda kuhongana Dani
Weuh jay be carefully pls🙏🙏🙏
Sura peke yake inaogopesha wanawake tuna nguvu ati kuna mwenye anaringa na yeye ati my love my heart
Kito nakuambia usomage message halaf forward kwa cm nyingine kabla hujasoma hadharani ili kuhifadhi ushahidi
Waaa😅😢. Mungu saidia Kenya. The attitude with these young people,they think everyone can be purchased
Toa hiyo kanzu ni ya kuheshimiwa
Wooooooiiiiii😮 uyu ni kevo dunia kwesha....
Case ya crime kama hii ati mna discuss hapa,acheni kubeba watu ufala,the guy should be in custody
Jey jey ..unarisk maisha yko .wewe unacheka to
How foolish they are told 17 virgins waiting for them paradise.
Master wao ashikwe mwenye alikua hanawatuma kuipua
Mm nauliza aje...wakishalipua watu wanafaidika na nini..iyo pesa wanaliowa inatoka wapi...ama pia mi mmbo na cult wadau
I think so
Hiyo ndo raha yao
Unalipwa ukiua "kafiri"
I love DCI ❤️
Can they be serious 4 once
Allah hanatakua na huruma na mtu mwenye anamushirikisha na kintu chochote ,allah hanamusamaha namutu mwenye kujiuu , huyo kijana alidanganyw eti akijiuu ataenda mbingini
Wah!! Jay b careful this is more than dangerous!!
Director Jay be careful na wale unadeal na wao sasa umeletewe alshabab wah noma kumbe kenya imeficha mambo mingi sana chini ya maji
😂😂😂😂Nahurumia mtu namsave baby face....hata si type yangu😂😂😂😂😂
Some messages bro
Kwani nyinyi mnafikiri al shabanu ni ugaidi?Al shababu is arabu name vijana in English guys
Acha ujinga wewe fala sana😏
Jay watu Kama Hawa sio wakuleta studio
Hio gaidi ikienda cell itatoka ,karao gani atakataa 300k.i think mshike wote then risasi ya kichwa
Sound Iko down
DCI wetu woooiye
LADY YOUR COMPLAINING NOW AND YOUR EVEN WEARING THE DRESS& AND SHOES HE BOUGHT FOR YOU GIRL
Huyu ajui Sheria kweli🎉😢
Woiye sijui tunaelekea wapi? This is sad
I'm 14:10 Hawa nimagaidi hakuna Dini yakuuwa kunajisi namaovu Yote hawawanadanganya watu kwapesa niushenzi wako nao washikwe wrote plz
Dini zingine ni za ajabu bikira kwa kuua watu innocent wapi na wapi😢 😢😢😢😢
Ni kweli ameongeza makosa🎉
Huyu niaende ndani atlist watu wa Lamu wapone😢😢😢😢
HAWA AKIKA KUTOELEWA QURAN NI VIBAYA ALLAH YUPI ULIPA MAOVU NKT WAUWAJI NYINYI IN THE NAME OF ISLAM
J please try to get Khamisi please remember this lady family please.
Hakuna pepo ya kuuwa watu wasiyokuwa na makosa usiharibu uislamu 😢😢😢
Kweli hawa watu wanaharibu majina ya waislamu.hata haeleweki mara anaitwa Kwa Bibi wafula.kwa KAZI ni Abi.na huujui uislamu wewe kabisaa
@@shhjab3621 wallah tena
nimecheka tu vile Moha anamgonga akisema unanikatia mimi
Weeeeee wewewwweweeeeee
Yani jay mpaka kwa matanga unacheka tu
Mambo nimazito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu msichana maybe alifuhiswa na pesa
Hii Kenya ukiwa na Pesa huenda popote
Ati baby face 😂😂😂😂💔
Huyu anatumika na hao watu and u are still young....
Nikiwasaidia nyinyi mimesaidia mayatima weee
Huyo sio muislamu Kwanza NI mzinzi atoe hiyo nguo nguo siomungu Bali nguonikama nguo zinginetu za kujistiri 😢siokmuslim huyo toahizo nguo
Case closed. Funga
Jay jay aki wewe nikama usomi comment aki sasa umepeleka Alshabaab kwa office yako surely jay are you ok 😢 okay be careful please uhame kwa hiyo office
An terrorist unit sio police cz akifika kwa Kambi ataongea zote
Na ni mwanamume smart
Na enyewe huyo hozambee wetu ni mkiut sana hehe
Atajilipua na alipue mataa yote, this is a bandit, afinywe na awekwe ndani!
Weeeh 'J ' utatuletea udaku mingu bro😂.
Alshabab ndio wanatuangaishanga huku Mombasani. Pia nashangaa sasa wamesimamisha DCI MPOA HIVI JOB WAMEBAKI NA WALE WAKUSHOOT GEN-Z? GOD HAVE MERCY ON OUR NATION. GUY'S CONGRATS
19:21 Wana tutukansha tuonekane soote niwabaya hii sidini niugaidi Hana uislamu Wowote
Ooh
This is an extremely serious matter,report and hand him over to the police
Sitawai tamani life styles ya watu 😢😢😢😢😢😢😢
J huyo nigaidi hakuna gaidi Muslim hawana dhalilisha dini zawatu hataukimtoa hizonguo hufungwi na sheria
Huu jamaa akili si timamu
Malaya😂😂😂😂
kwani hakupata down payment, hiyo kiatu anaiibisha shehe sijui shege.
Wapi waislamu wenye usema usiaibishe waislamu😂huyu hata ni guy si muaji tu,i honour Only God Mambo ya religion hapana
Si tumeona ataenda kujilipua.
😅😅😅
Hakuna kwa dini ya ki Islam kama kulipua watu alafu mbinguni uta pewa wanawake 7 hiyo ni dini yao si uislamu
Ukweli huo kutuchafulia Jina la dini
Mukimwachilia atawalipua nyinyi kwanza
Finya yeye makende....
Watu kama pastor Makenzie na alshabab wanaharibia dini
Jay wewe unajua alishabaab kweli!!!umejiweka kwa shida pamoja na familia yako yote
Kiswahili kimepotelea wapi
Sasa dj umeanzana na Alshababu? Wewe ndie mkubwa kushinda Dedan kimathi? Sasa umengeza studio yako mahali pa kulete magaidi? Hurumii yourself na family yako?kitakuramba peke yako
Haki Moha unakaa Khadija kabsaa😅😅
Si uyu aki aende alipue state house nawaomba mlize kama ataweza ni urgent please
Back to the sender