Nashkuru kwa kunifundisha kupika mkate wa mchele yaani umekuja mzuri kuliko wako natamani nikupigie picha uuone Mungu aibariki kazi ya mikono yako my queen
Sio rahisi kurejea video wakati ilokuweko haina viewers wengi inavunja moyo, nafanya kwa kutaka watu wafaidike ttu kwa kile nnachokijua mie habibty. So hata kama nimeahidi lakin na nyie mtupe moyo ku tutafutia viewers pia.
Mashaallh ila naona km cjaelewa hiv tufanyie nyegine lakin ukate tuwone ndani plz tulisha zowea kwanza uwache umuke kwenye bakuli Kisha ndio utiwe kwenye pan xx huu wakutiwa kwenye pan umetuwacha mkon kidogo
Asalam Alaykum. Kwanza kuna makosa tofauti tofauti unaweza kusababisha mkate ufanye shimo. lakin hapo kwa haraka haraka ulitakiwa usipunguze moto hiyo 180c usinge punguza ulipotia moto ulikuwa mzuri lakin uka punguza so mkate umefanya shimo kwa kuwa moto haukuwa sahihi. Pia ukitia kwenye oven usifungue na kufunga mlango wa oven atlist kwa dakika 30 unakuwa ushaanza kuiva so hata ukitikisiq oven kwa kufungua mlango basi hautafanya shimo kwa kuwa ulishaanza kuiva. 3) sababu nyengine ukiwa umeufanya lile rojo la mchele umaji sana hufanyika hivo. Ila jambo jengine jaribu tena na tena mwisho utapata perfect na utajifunza na kujia kosa liko wapi na utengeneze wapi.
MashaAllah mzury asante sn habibty 😋
Wow it looks very nice MashaAllah 🤩🥰
Asante kwa receipe hiyo nazi umetumia ni aina gani
MashaAllah Tabarakallah Wala haula Wala kuwata ila Billah.
Nashkuru kwa kunifundisha kupika mkate wa mchele yaani umekuja mzuri kuliko wako natamani nikupigie picha uuone Mungu aibariki kazi ya mikono yako my queen
Ma sha allah nimefurahi ulivotokezea mzuri na wa kwako alhamdulilah, nitumie picha kwenye DM yangu ya instagram @queenshibas_kitchen shukran
Ni mchele aina gana naomba msaada
Mashallah nice
Shukran dear, kunipa moyo.
Mashallah tabarak Rahman shukran
Mashallah .huu mkate watu wanaona dıffıcult kuupıka but nı very easy kuupıka
Very nice recipe mashallah...🍝❤️
Thank u dear
Mashaa Allah
Mashaa Allah hii nazi ya kibox ni yote umetiya au nusu apo please
Maashaallaah
Mashallah
Mashallh Mashallh Mashallh
Thanks for sharing
Mashalha
Mashallah alf mashallah hasbiyallah alf mashallah hasbiyallah
Nice recipe 🤤🤤
MashaAllah
Thank you
Asante kwa receipe tufanyie yenye umekata kama ulivo tuaihidi😄
Sio rahisi kurejea video wakati ilokuweko haina viewers wengi inavunja moyo, nafanya kwa kutaka watu wafaidike ttu kwa kile nnachokijua mie habibty. So hata kama nimeahidi lakin na nyie mtupe moyo ku tutafutia viewers pia.
Assalam aleikum shukran kwa kupika mkate wa sinia wa sponge .lakini naomba utengeze mkate wa Sonia wa tundutundu.matobwa
Kwa kweli sukari huweki
Way mkate tamu Sana naamini nitajaribu pia mm
👍
Asante saana umenikombowa Kwa wangu asante lkn SASA Sisi tuko Kenya tutumie mshele gani?
Biking powder huweki
Hellow naomba utufundishe kupika vipopoo
In shaa allah nitafanya hivo
Umeweka sukari kiasi gani? Maana hukusema wala haipo kwenye description
Nishaandika angalia , thanks
What temperature are u baking for how long
❤❤
Mashallah mashallah shukran sana manukitakankupika mkate wa kawaida pia waeza tumia mchele huo wa Tesco?
Eehe tesco value long grain mzuri kwa mikate na vitumbua mie natumia huo au wa Aldi
Mashallah shukran aunt kwa mkate mzuri ila naomba kuuliza unaweza kufanya kwa unga wa mchele kipimo hichi hichi?
Shukran, kwa kipimo hicho sidhani, habibty mimi kitu chochote cha mchele chakuumuwa nafanya mchele fresh ndio napata kitu best, sorry 🙈.
Ok dear shukran
Asante Sana!
Tunaomb upike ten hii resp tuone mwisho ukiukata
Mashaallh ila naona km cjaelewa hiv tufanyie nyegine lakin ukate tuwone ndani plz tulisha zowea kwanza uwache umuke kwenye bakuli Kisha ndio utiwe kwenye pan xx huu wakutiwa kwenye pan umetuwacha mkon kidogo
Angalia tena vizuri utaelewa dear.
Yani nazi umesaga ikiwa vipande? Hapo sijaelewa
Nazi nlotumia si umeiyona mpenzi ni ready-made inatoka kwenye kibox sio fresh.
Assalam Aleykum. Baking tin ni size gani hii?
Waleikum salam 10 inch
Hii baking tin umetumia ya size gani?
Size ya 10inch zile refu kwenda juu za kufanyia cake.
Sorry naomba mkate wa sinia ule wa kizamani wa matobwa
Nmeupika umefanya shimo na haujakauka vzuri sijui nmekosea wap
Mchele nmetumia basmat kikombe kimoja, tui la nazi kikombe kimoja, sukar nusu kikombe na iliki na hamira
Nmewasha jiko mwanzo 180 nlpoutia nkaweka 150
Asalam Alaykum.
Kwanza kuna makosa tofauti tofauti unaweza kusababisha mkate ufanye shimo. lakin hapo kwa haraka haraka ulitakiwa usipunguze moto hiyo 180c usinge punguza ulipotia moto ulikuwa mzuri lakin uka punguza so mkate umefanya shimo kwa kuwa moto haukuwa sahihi.
Pia ukitia kwenye oven usifungue na kufunga mlango wa oven atlist kwa dakika 30 unakuwa ushaanza kuiva so hata ukitikisiq oven kwa kufungua mlango basi hautafanya shimo kwa kuwa ulishaanza kuiva.
3) sababu nyengine ukiwa umeufanya lile rojo la mchele umaji sana hufanyika hivo.
Ila jambo jengine jaribu tena na tena mwisho utapata perfect na utajifunza na kujia kosa liko wapi na utengeneze wapi.