Legend. He made it look easy. Made me want to watch live matches.
Truly a living legend in Kiswahili broadcasting. His mastery and delivery of the LUGHA ya Kiswahili is amazing. Stay blessed Kaka JOS!
Jack oyooo... Boss you made me love afc leopard.. I knew the whole squad
Ninapenda sana umilisi wa Kiswahili wa Jack Oyoo Silvester. Kwa kweli una talanta.
Njema sana . asante sana mhadhiri kwa kuniletea mzee ambaye namfuatilia sana
Golden years , Erina Sifuna Chitheka, Peter kimeu, Khadijah Ali, Ali Salim Manga, Jacob William Maunda, Elizabeth Obege
Long live legend, you made our days memorable
Kulikua pia na Joseph onyango Joel..wako wapi watangazi wa voice of Kenya zamani.
Wow! Great legend Jack Oyoo
Very passionate about his Job
Nimemiss hii sauti hasa kwa habari
The commentator so far......long life kaka josh
Long live Bingwa mtanganzaji Bora.
Nakumbuka ukisema jina langu ni Jack oyoo silvester ukiwa Huna muda uite kaka J.O.S
Kibao kichezacho kwa background chaitwaje?
Iyo wimbo inacheza nani anaifahamu please
Nakumbuka huyu jamaa enzi hizo. Hadi tulikuwa tunashindana nani anaweza kuiga Sauti ya Jack Oyoo Sylvester tukiwa darasa la 6 hadi sekondari.
Kumbe Churchill kweli alikuwa na ari ya kuwa mtangazaji wa kambumbu!
Classic
Pia alikuwa rafiki wa ndugu yangu mwengine mkubwa Faraji Khamisi na rafiki wa karibu sana Mohammed Mwakimbi-Homa Bay
Nakumbuka ukija stadium na radio cassette kubwa ukitangaza kandanda za mashinani huku ukirekodi kabla hata hujaanza kuzipeperusha rasmi kituoni ,nilikuwa mdogo,mwanzo wa miaka ya 80
Ana kumbukumbu kichwani
Kinyozi Iko wapi nikuje mkuu
Anaishi wapi jack oyoo silvester.nilimsikia sana kwa v.o.k
Name of that lingala song please
America material
Jack oyoo silvester
JACK OYOO SYLVESTER and FRED AROCHO tungependa kuwaona wakitangaza pamoja na pia DEBRO KABERIA
Ha ha. Diblo Kaberia na Arocho walikua wanapenda ugomvi radio Jambo. My late brother used to listen to them sana.
Pia ulikuwa mwalimu wa ndugu yangu mkubwa Omar Kassim katika shule ya upili ya Dr Aggrey -Homa Bay
Kaka JOS
Whare is guy?
Ako wapi CHURCHILL 🤣🤣🤣
Kulikua pia na Joseph onyango Joel..wako wapi watangazi wa voice of Kenya zamani.
I was named after this legend 😊😊💯👑
Very nice. He was strong