Paul Clement ft Melanie Anthony - Kumbukumbu (official audio lyrics)
Вставка
- Опубліковано 8 жов 2023
- #paulclement #kumbukumbu
Songwriter: Paul Clement
Artists: Paul Clement ft Melanie Anthony
Producer: Gripa Music
Mixing and mastering: Dickson Griper
Graphics & lyrics: Art Majah
Kalamu iliyojaa revelation ya kiungu, brother Paul Mungu azidi kukuinua zaidi, uzidi kuandika(kutunga) nyimbo nyingi zaidi na zaidi kwa MAELEKEZO YA BWANA you always the best kaka GROLY TO GOD 👏👏👏🔥🔥🔥
God blesss ue unatuma ujumbe kwangu kama majibu ya maswali yangu kwa Mungu God grant ur favourss
😢 ilifika wakati nikaona😭 Mungu hayupo tena upande wangu, ni kama vile ameniacha kabisa, hata kuomba na kusali kukakoma ndani yangu, 😢 kila nikikumbuka hali ngumu nlioipitia,, lakini kwa harufu ya maji mmea ukachipuka tena, ndipo nikakumbuka kuwa ni Mungu ameruhusu hata nifike hapa leo,😢 Hakika Mungu ni mwema sana🙇♂️😔.
All the glory belongs to Jesus.
Ubarikiwe sana brother Paul, hakika wimbo huu umefika kwa wakati sahihi.🙏🙏🇹🇿
Ameeni ndo wakati napitia mimi kwa Sasa ila Naamini Mungu atanivusha tena kwa sababu Mungu siku zote yeye ni mwema nyakati zote😭🙌🙌
Always God is there for us!
Hakika Mungu ni mwema wakat wote kwa maana alisema jaribu litakapo kuja ataweka mlango wa kutokea😊, amini tu.
This song umenifanya nilie🙇🙇Mungu azidi kukuinua sana mpendwa 🙌🙌
Pamoja Sana brooo Kila nyimbo unayotoa inakuwa nzur na pia inakuwa na ujumbe mzur Sana
Kaka usipoe unatusaidia wengi, endelea kutupa dozu hivi hivi kila mwezi. Barikiwa sana❤
Mungu akubariki kaka angu,, this song is targeting to me,, i had bad memories ila Nakumbushwa Mungu ananipenda🥹😭🙌🏻🙌🏻
I remember when you taught this to Karura Voices last month,what a message!!!🙌🙌🙌🙌
Indeed MUNGU ni mwema na mawazo yake kwetu ni mema tu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Congratulations Melanie 🎉so happy you have done this 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Roho Mtakatifu aendelee kutumia kumbukumbu zetu kutukumbusha Neno na Wema wa Mungu kwetu. 🙌🏽
I found myself crying while listening to this song🔥🔥🔥❤
This man never disappoint ❤❤
Mungu azidi kukuinua brother paul clement
Kazi zako nzuri sn
Mungu ni mwema,,, ananipenda sanaa❤ mawazo yake ni mema kwangu❤ Glory ministers
Ahsante kwa ujumbe mzur
mungu akufidie sasa isiwe buree kumtumikia
Mungu ni mwema ,huyu dada anakitu atafika mbali🙏🏾
This song has been composed with high creativity......
❤ ila leo nakukumbusha...... Amazing sana ubarikiwe sana brother paul
Mungu ni mwema😭🙌
This song ,calmly healing a soul ❤.
Mungu ni mwema
nakosa maneno sahih ya kusema ila mungu anafanya kazi ndani yako bro sio kawaida
Asante Mungu kwakunikumbusha jinsi gani uko na mimi ,ujaniacha na unanipenda.
Naendelea kujipa moyo Mungu nisaidie nangoja Bwana unitendee
Sitoacha kungoja
A reminder that God loves me...this speaks to the depths of my soul. Thank you sir!
Amen.This song bears witness to God's love in my life.I began to cry out to him this morning, praising him for his unconditional love.May his love pour into our lives.
Premier gang🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ndo maana sahihi ya mwimbaji wa ufalme wa Mungu Pool Mimi muumini wa kazi Yako na mahubiri Yako yenye upako wa Jehova from🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Anasema Mungu kwa kuniwazia mema. Asante Kwa Upendo wako kwangu
Kali sana
Good one 🎉
Someone sounds like @Guardian Angel in this jam. Mungu ananipenda ❤
🕊️MUNGU AKUBARIKI SANAA KAKA ❤️❤️❤️
Great song 💖💖💖💖💖💖
Just what I wanted to listen
Kumbukumbu, l love this song
Ila leo nakukumbusha Mungu atakuinia kimataifa sanaa kaka clement your talented😘
Good song
Asantee Yesu kwa neno lako 🙌 nyakati zote kwenye maisha yetu bado wewe ni mwema sana🙏
Yan kwa jinsi Mungu anakutumia mm sina wazo juu ya hilo na kibaraka tele izidi kumiminika juu yako kaka Paul we ❤❤
Huu wimbo mzuri jamanii...kweli umenikumbusha makuu ya Mungu
God bless Paul
You're creativity is just out of this world man of GOD 🙌🏽🙌🏽
You're healing us 🙌🏽
The LORD keep you 🙏
Absolutely. Munngu ni mwema 🔥🔥🔥
Amen my brother Paul, thanks for such blessing song. May GOD ALMIGHTY bless your ministry.
Amen nimebarikiwa mnoo Mungu aendelee kukuinua zaid
Big love from Congo DRC
Hongera sana kwa wimbo mzuri na wenye kutia moyo
Asante MUNGU Kwa kuwa ww ni mwema
Woooow Mungu akuinue zaidi, azidi kukutumiaaa
I'm blessed... continue dropping the songs bro Paul
watching❤
Amen. Amen. Spoke to my heart. Mungu ananipenda.
What a great healing song brother 💓
May God Bless You Paul Clement 🙏
Zidi kuinuliwa viwango vya juu brother
❤❤❤❤❤
God😭🙌
I remember you singing it in Eldoret at IVC
UBARIKIWE SANA MTUMISHI PAUL.
HAKIKA MUNGU NI MWEMA.
Indeed God is Good❤
Gloorey
Hhaaa your song so ameizing bro paul
Nyie 🥺❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Mungu Huyu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Powerful song ❤❤❤Mungu akubariki sana sana
Thanks for that🙏🙏
AMAIZING SONG
❤❤❤
Nice one bro be sceid
Amazing grace
Broh hii nyimbo...
Ubarikiwe tuuu😢
Mungu ni mwema hakika🙌🏻😊
🎉
AMEN AMEN MUNGU NI MWEMA sana😭😭😭
♥️♥️
🎉🎉🎉🎉
Mungu Akubariki Kwa Hii Kumbukumbu🙏
Anatuwazia mema kweli ❤
Barikiwa ndugu
Barikiwe saana my Brother 😭😭
🙏🙏🙏🙏
Mimi nickumbukumbu
MUNGU ni mwema ❤
There was a deep thinking on the song making...
Bro unazid kunibariki na kubaliki wengne kaka
📌
This Is amazing😢🙏💓
😊😊😊😊
ALWAYS BLESSING MY HEART
God's faithfulness
Bwana yesu asifiwe mtumishi ninaombi kwako natamani kuwasiliana na wewe nitumie namba yako
Message🙌🙌🙌🙌
This is amazing ❤❤
❤❤❤ where's the vid?........🎉
On time song
Amen Amen Amen
God bless you
Amen amen
🙌🙌🙌
🔥🔥
❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉