CAMARTEC NA NISHATI MBADALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024
  • Wakati Wiki ya mazingira ikizinduliwa rasmi Juni 3 na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko, Tanzania ina fursa lukuki vya #NishatiSafiYaKupikia.
    Je, umewahi kufikiria thamani ya kinyesi kama chanzo cha Nishati? CAMARTEC ni Taasisi ya serikali ambayo imepewa dhamana ya mafunzo na kuunda mifumo ya nishati hiyo.
    Msikilize hapa Mhandisi Nicholous Mwakisambwe

КОМЕНТАРІ •