Mbowe alitaka kutowa darasa hakugombea kutaka uwenyekut alijuwa lisu ameiva na lisu ana kubalika na atashinda tu.lengo lake nikufundisha ainagani ya uchaguzi unatakiwa uwe. Na pia alitaka huu mnyukano ikae ktk anteshen bila mboe kugombania kusingekuwepo na ufatiliaji na mvuto kama huu.Na hilo ndio lilikua lengo lake.huo nimtazamo wangu
Dude baya anajierewa ndiomaanaawamuariki ccm kwenye mikutano yao wanajua ni mtuuu mwelewa sana Godfrey tumaini mamba konky master simika misisi halahalaa dar skendo.beby
Waambie CCM Waache kubaka matokeo. Kupigwa za uso kuwe halali. Hakuna mahali CHADEMA inashindwa ki vile. Tuache kuwazomea CHADEMA hali wanashinda wanapora matokeo. Basi wajifunze kwa kwa CHADEMA.
hamuna uchaguzi Hilo ni tawi letu la ccm subili uchaguzi hata COVID 19 wanaludi hatuwapi tena walicho Fanya Dr. silaa na lowasa kitamaliza dudu ni dudu hajuwi vyama vingi wamupelekeye Dr. silaa na zito na musigwa na familiya zao
Uchawi ni Hekima weweee! Acha ushamba. Mwafrika yeyote mwenye roho na akili ya kiafrika anajua uchawi ni hekima. Sasa wewe hiyo "uchawi ni shetani umeipata wapi?"
Ila hapo mi najifunza kitu kwa mbowe.alijua atapewa nafasi ila akachukua form ili awaonyeshe kitu kama Uhuru wakuchagua kam ambavyo wanaidai serekali.manayake watanzania wajue madai ya chadema ni haya.uchaguzi huru na wa haki.hivyo alitaka kuionyesha serekali wanachadai ni hiki.hivyo ni serekali kuiga hilo,kwani nijambo la kuijenga ichi na kuwa na amani.na wote kusimama pomoja kwa kuigenge ichi bila kinyongo.
Kati ya watu wanaozunguza vitu kwa hekima na Nia njema Dudu Baya ni mmoja wapo anajiheshimu anaheshimu watu big up
Safi sana broo nakuelewa mtumishi! umependezaila punguza na ndevu kidogo
Asanten mambaaa... Dah leo mkubwa naona upo kwenye muonekano sawa kabisa kk... Thank nimefurah Sana nywele!! Ndevu ziko good konk
Dudu you are like prophet, real mwanaharakat mzalendo, very fine!
Prophet gani alisema Lissu hashindi
❤
😂😂😂😂@@Expedito2512
Hujazungumza kwa uadilifu kuhusu serikali za mitaa, CCM waliiba na kuuwa na kupora
😢aongee akamatwe na kubambikiwa kesi😂
Kenyans gonga like tukisonga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Vizuri sana Kwa kurekebisha nywele,binafsi nataman urekebishe na ndevu ikibidi kuzitoa kabisa,then tutakuelimisha namna ya kurudi kwenye voice nzuri.
Punguza na ndevu kaka😂😂😂😂😂
Yaambie mafisiemu. Yenzio yasiweke mpira.kwapani tunataka te huru muone mtakavyopigwa misa ya asubuhi
Ccm imepora na si Chadema kushindwa. Jua ukweli wa mambo ufungke na kujielimisha zaidi.
Mamba uko vizuri kwenye interview, umeshiba busara .
Bado unaweka akiba .....ya maneno ....haupo real.....mzee unaakibaa...
Mamba mamba cku Zote uwa nakukubali umenyooka kwa ushauri bigup sana kwa ushauri wako
Mbowe alitaka kutowa darasa hakugombea kutaka uwenyekut alijuwa lisu ameiva na lisu ana kubalika na atashinda tu.lengo lake nikufundisha ainagani ya uchaguzi unatakiwa uwe. Na pia alitaka huu mnyukano ikae ktk anteshen bila mboe kugombania kusingekuwepo na ufatiliaji na mvuto kama huu.Na hilo ndio lilikua lengo lake.huo nimtazamo wangu
Is very phact
Hiki ndio nilikuwa naamini
Ungeshauri hiyo ccm ikubali katiba mpya na wasimamizi wa uchaguzi ili uchaguzi uwe huru siyo kupongeza wakati uwanja hauko fair
We dude mpinzani wako Mr,nice yuko wapi? Jilinganishe nae siasa hujui kitu we niziro kabisa kabisa,,,,
Dude baya anajierewa ndiomaanaawamuariki ccm kwenye mikutano yao wanajua ni mtuuu mwelewa sana Godfrey tumaini mamba konky master simika misisi halahalaa dar skendo.beby
Dudubaya kanyoa nywele kapendeza sana
Dudu bata uko vizuri waambie wasilete siasa za curious.
Ikulu sio reo katiba mpya inahitajika
Huyu nae apunguze ujuaji ..mwisho ataonekana wa kawaida
Unamkumbuka mtikila na mrema kaka konky ???waritikisa kuliko wa ccm
Waambie CCM Waache kubaka matokeo. Kupigwa za uso kuwe halali. Hakuna mahali CHADEMA inashindwa ki vile. Tuache kuwazomea CHADEMA hali wanashinda wanapora matokeo. Basi wajifunze kwa kwa CHADEMA.
Dudubaya ni nabii WA uwongo hahaha
Tatizo dudu baya. Unajifanya hujui uchakuzi wa serkali za mitaa ilivyokuwa. Polisi walipora uchguzi dudu baya.
Dudu baya umekuwa huna akili siku hizi inamaana haujui kama uchaguzi wa haki hakuna CCM inapora kutumia porisi mbona hunyoshi hapo
Huyo siyo Mwanasiasa
Ni nani
Kama ccm wanajiamini wafanye uchanguzi wahaki nahuru kama chadema
Wale wala inchi wanawezea wapii😅
Chadema baby kubwa sana lisu namwamini hawezi uza chama kamwe😊
Ngojeni muone. Lissu ni CCM damu!
Aliapa kwamba Mbowe atashinda na kwamba wengine hawajui zaidi yake!
Umesema vizuri conk wanaoitakia mabaya chadema ndo wanaongea maneno ya uchochezi.Tunamuomba mwenyezi mungu awakinge na maasi yote vutina na chuki.
Yaah kapendeza
Akili ya mende
Hili jamaa hata halielewi siasa zinavyo endelea! Anajua kilichotokea ktk chaguzi anazo kuongelea?
Iyo UA-cam channel yako ya mambas 24 mbona imechina tena tatzo nn ilipaswa izi videos zingelkua zinaluka na iyo vip wew ??
Nyie waandishi huyu mnamuhoji anajua nini kuhusu siasa?
Wewe unamsikilizaje asiye jua kitu? Hama chaneli
24/7 aya buana
Leo amependeza sana Konkiii❤
Daadeki mmeona nguvu ya Diaspora
Hivyo unawahakuna watu wa maana wa kuwaoji
no reform no election
Ulisema tukuulize lissu akishinda
Wewe ongea ukweli usiongope wacha kujipendekeza kwa ccm tatizo ccm haweki uchaguzi sawa unajifanya hujuwi kuongea ukweli uchaguzii ukiwa sawa ccm hapati chochote
Uchaguzi bora na wa ki konk kabisa
Chadema hamna chakuongea nyie kilamwaka mtakuwawakugaragazwa hivihivi
wewe mwandishi elimu yetu Niya kutiwa shaka sasa wewe una muhoji dudu BAYA ninani ? muache apumuzike anaumwa sana
Hata mm nashangaa dudu n ninan mpaka upate mda wa kumhoji dudu nonamashaka na elim Yako
hamuna uchaguzi Hilo ni tawi letu la ccm subili uchaguzi hata COVID 19 wanaludi
hatuwapi tena walicho Fanya Dr. silaa na lowasa kitamaliza dudu ni dudu hajuwi vyama vingi wamupelekeye Dr. silaa na zito na musigwa na familiya zao
Uchawi ni Hekima weweee! Acha ushamba. Mwafrika yeyote mwenye roho na akili ya kiafrika anajua uchawi ni hekima. Sasa wewe hiyo "uchawi ni shetani umeipata wapi?"
Konki masta
Hata mm nilishaachaga kuangalia bunge
Saruti mkuu
Sasa kwa uchaguzi wa kubwanwa na mapolis unadhani vurugu hazitakuwepo au haufikir sawasaw
Alfu kumbe ili jamaa Bado li jank kbx sema linajiachiaga TU mindevu
Hili ni lichawa la ccm, si lilisema lissu hawezi shinda
hata ww ukisema
Ila hapo mi najifunza kitu kwa mbowe.alijua atapewa nafasi ila akachukua form ili awaonyeshe kitu kama Uhuru wakuchagua kam ambavyo wanaidai serekali.manayake watanzania wajue madai ya chadema ni haya.uchaguzi huru na wa haki.hivyo alitaka kuionyesha serekali wanachadai ni hiki.hivyo ni serekali kuiga hilo,kwani nijambo la kuijenga ichi na kuwa na amani.na wote kusimama pomoja kwa kuigenge ichi bila kinyongo.
DUDU baya wewe ulisema lisu atachinda
Mbona we unaponda tu wenzio
Konk
Sikupendi maana hujui siasa wewe
Unasemaje unampenda Mungu ambae haumuoni angali binadamu unaemuona unasema haumpendi?!😂😂
Dudu unajitahidi maneno yako , yanaonekana yana utukufu ndani yake.